Kwani lazima kuoana?

Kwani lazima kuoana?

2ache kuchezeana jaman ukishndw kuoa au kuolewa uwe na wito wa upadr au usister othr wise chos 2 mary
 
wana JF kuana kuna raha yake na matatizo yake naona huyo dada labda hana maringo sana sasa anaona muda unaenda na watu wanaaza kumkimbia ila naomba aweke wazi uwa anatongozwa au la ili tuweze kumsaidia
 
Ulazima upo endapo mtakuwa mnaheshimiana na kupendana.
 
Mwanamke nikuolewa bana, akikaa bila mme ndo anavyo zidi kujiangusha thamani yake hata awe nani.
 
Ukitumia kitu kimoja kila siku kwa muda mrefu kinakinai kama ni chakula ama kinachoka kama ni kifaa ama kitu kingine chochote. Na mkioana ni hivohivo. Kila siku demu/man yule yule na style zilezile lazima utamchoka na kuhitaji kupata kitu kipya. Ndiyo mwanzo wa kutoka nje ya ndoa. Manake kwa akina dada unakuta hata matiti yamelala kama ndala baada ya kuzalishwa, na zile sehemu nyeti hata hazivutii tena. Mwanaume naye ndo kama bongo lala ktk kuitumia bakora yake basi ndiyo hivyo hivyo kila siku maisha yake yote. Nani kasema? Vinginevyo unaidhulumu nafsi yako ewe ndugu. unaweza kuwa umeolewa ama kuoa mpenzi mwenye kikwapa, inamaana wewe uwe ni wa kunukishwa kikwapa maisha yako yote? Acha uzembe, ili uishi maisha marefu lazima uwe una-enjoy sex. Tembezeni huduma na mpate kubadilishana uzoefu. Karibu kwa mchango wako mwanaJF.
 
Ukitumia kitu kimoja kila siku kwa muda mrefu kinakinai kama ni chakula ama kinachoka kama ni kifaa ama kitu kingine chochote. Na mkioana ni hivohivo. Kila siku demu/man yule yule na style zilezile lazima utamchoka na kuhitaji kupata kitu kipya. Ndiyo mwanzo wa kutoka nje ya ndoa. Manake kwa akina dada unakuta hata matiti yamelala kama ndala baada ya kuzalishwa, na zile sehemu nyeti hata hazivutii tena. Mwanaume naye ndo kama bongo lala ktk kuitumia bakora yake basi ndiyo hivyo hivyo kila siku maisha yake yote. Nani kasema? Vinginevyo unaidhulumu nafsi yako ewe ndugu. unaweza kuwa umeolewa ama kuoa mpenzi mwenye kikwapa, inamaana wewe uwe ni wa kunukishwa kikwapa maisha yako yote? Acha uzembe, ili uishi maisha marefu lazima uwe una-enjoy sex. Tembezeni huduma na mpate kubadilishana uzoefu. Karibu kwa mchango wako mwanaJF
 
Back
Top Bottom