Kwani lazima kuoana?

Kwani lazima kuoana?

-1.Mwanamke unapokuwa na mwenzi wako hasa mbele ya marafikize tupunguze manjonjo jamani utamkuta mtu yuko na hawa shemejize na mpenziwe basi mara kaingiza ulimi sikioni mara kamtafuna ulimi yaani ili mradi atoe picha kuwa mpenzi wake anafaidi sana.

Hapo hapo dear umemaliza mimi iwa nakaa bar na jamaa angu mmoja anakinyumba kidogo iwa kinanikera balaa utakuta mala wanakumbatiana mara kinyumba ndogo kinachezea ikulu ya jamaa mara ulimi mara jamaa nae anaingiza mkono kwenye tiGo ya nyumba ndogo mimi nipo tu pembeni huu ni wizi mtupu manjonjo kibao sasa jamaa akisafiri mimi nikagongana maeneo na huyo binti si atanivulia sijui kwa nini watu wanashindwa kujiheshimu.
 
we nawe Fidel hata kuweka fullstop ama koma, yaani hapumui mtu! sasa akikuvulia utakataa?? sema tu ukweli!!!
 
Hahahaha umewahi ona mwanaume anakataa kitu?
Hata sehemu mtu anaambiwa wazi huyo kaathirika lakini wapi jamaa anakwenda tu na anamega nyie bana kama mna sumaku vile. Mkiamua kumegwa na mtu flani mtafanya juu chini mpaka muhusika anakumega.
 
kwa hao unawaowapitia labda wanaona hiyo ni cfa......
 
Nina umri miaka 28, sijaoa. Rafiki zangu kadhaa wameoa, mmoja katimiza mwaka last month tulifanya anniversary yao. Ajabu ni kuwa mkewe amekuwa akinizoea sana mazoea yasiyofaa kwa mke wa mtu. Hivi karibuni nilivyoona amezidi nikaona nikidhi haja yake, katika sehemu na muda aliopanga mwenyewe. Nilishangaa sana! Baada ya kitendo kile akawa ananiuliza "wewe unafanyaje inakuwa tamu hivi jamani! Mfundishe basi rafiki yako, unajua mimi sipendi tabia tuliyofanya lakini basi tu!"

Nilichoshangaa ni kuwa, hii ni akili ya vipi? Yaani anadhani naweza kumfundisha mumewe hiko kitu! Na cha ajabu basi, mimi si kwamba ni mjuzi sana wa hiyo habari.

Naogopa kuoa!

Hii ungeiweka kwenye udaku, maana imekaa kidaku. Mlifanya anniversary yao last month kutokana na maelezo yako hapo juu kwa mujibu wa madai yako ulikidhi haja zenu (maana c yake kwa sababu na wewe ulishiriki) baada ya kufanya hiyo anniversary. Wenzako walishaoa kitambo, kabla ya hili tukio mbona we ulikuwa bado haujaoa? Je ni hili tukio 2 ndilo lililosababisha wewe husiowe au umetaka 2 kuwadhalilisha wanawake. Mbona wewe haukukataa. Halafu eti unajidai kidume, kwamba alikusifia wewe unaua kuliko mume wake. Uzushi!!!!!
 
Hapo hapo dear umemaliza mimi iwa nakaa bar na jamaa angu mmoja anakinyumba kidogo iwa kinanikera balaa utakuta mala wanakumbatiana mara kinyumba ndogo kinachezea ikulu ya jamaa mara ulimi mara jamaa nae anaingiza mkono kwenye tiGo ya nyumba ndogo mimi nipo tu pembeni huu ni wizi mtupu manjonjo kibao sasa jamaa akisafiri mimi nikagongana maeneo na huyo binti si atanivulia sijui kwa nini watu wanashindwa kujiheshimu.

Kwa nyumba ndogo kufanya ivo kawaida kabisa kiongozi!😀
 
Nina umri miaka 28, sijaoa. Rafiki zangu kadhaa wameoa, mmoja katimiza mwaka last month tulifanya anniversary yao. Ajabu ni kuwa mkewe amekuwa akinizoea sana mazoea yasiyofaa kwa mke wa mtu. Hivi karibuni nilivyoona amezidi nikaona nikidhi haja yake, katika sehemu na muda aliopanga mwenyewe. Nilishangaa sana! Baada ya kitendo kile akawa ananiuliza "wewe unafanyaje inakuwa tamu hivi jamani! Mfundishe basi rafiki yako, unajua mimi sipendi tabia tuliyofanya lakini basi tu!"

Nilichoshangaa ni kuwa, hii ni akili ya vipi? Yaani anadhani naweza kumfundisha mumewe hiko kitu! Na cha ajabu basi, mimi si kwamba ni mjuzi sana wa hiyo habari.

Naogopa kuoa!

Ndoa isiyo na Mawasiliano cku zote huishia katika Kuumizana tu, Mke na Mume mnatakiwa kuwa wawazi cku zote, kwa nini wewe mwanamke uone aibu au uogope kumwambia mmeo kwamba leo hujanifikisha, its normal thing bana, hii kukaa kimya kila siku hufiki inakomaza tatizo na kulifanya lionekane kama ni suala la Kawaida. Hata kwa Mume unapofanya Mambo jaribu kupata Feedback kwa Mkeo kama amefika siyo lazima umuulize but face expression inaweza kuonyesha kwamba bibiye kafika au hapana.

Mtu B: Urafiki ni Pamoja na Kuheshimiana, yaani unamega mke wa Msela wako, umemkosea heshima msela yani
 
mwasherati wee mwanahizaya wee.
----------------------
..Wapendwa wote katika majina yenu hebu punguzeni jazba mbona mwamshambulia huyu bwana kwa kummega mke wa rafiki yake. Hivi kuna tatizo kubwa kiasi hicho jamani?? Kwani alipomega huyo demu ameondoka nayo? mi naona watu mmetawaliwa na ubinafsi na uchoyo uliopindukia. Bwana we huyo dada akijipendekeza mpe mambo tu yawezekana jamaa yake ameshindwa ku-perform na hakuna kuelezana si ndio malovee ya kibongo kila mmoja anaku na fundo lake akipata pa kuzimulia anasonga mbele?? Ndio mjiulize alimpenda kweli huyo mume aliyeolewa nae au alivutiwa na Harriers tu????
 
Nina umri miaka 28, sijaoa. Rafiki zangu kadhaa wameoa, mmoja katimiza mwaka last month tulifanya anniversary yao. Ajabu ni kuwa mkewe amekuwa akinizoea sana mazoea yasiyofaa kwa mke wa mtu. Hivi karibuni nilivyoona amezidi nikaona nikidhi haja yake, katika sehemu na muda aliopanga mwenyewe. Nilishangaa sana! Baada ya kitendo kile akawa ananiuliza "wewe unafanyaje inakuwa tamu hivi jamani! Mfundishe basi rafiki yako, unajua mimi sipendi tabia tuliyofanya lakini basi tu!"

Nilichoshangaa ni kuwa, hii ni akili ya vipi? Yaani anadhani naweza kumfundisha mumewe hiko kitu! Na cha ajabu basi, mimi si kwamba ni mjuzi sana wa hiyo habari.

Naogopa kuoa!

Yaani Siku Msela akijua umemega Mke wake Lazima na wewe Akumege tu
 
Mtu B, naamini mlikumbuka kutumia kinga😉.

Sasa bila huyo rafiki yako kujifunza si huyo 'shemeji' yako ataendelea kumegwa hovyo tu na mabazazi wengine? Jaribu kumwokoa rafiki yako kama bado unampenda maana kwa trend hiyo ya huyo mkewe, mtawazika muda si mrefu. Mashauri ajifunze kuhusu wanawake na namna ya kuwatendea 'chumbani' na 'sebuleni' huenda ikaokoa maisha yake.

Nimesikitika sana kuwa wengi wameniponda sana kuhusu hiki kisa. Lakini ninaamini wanaume wengine wanaelewa ugumu wa kumkatalia mwanamke aliyedhamiria, tena halafu ni mzuri. Kwa kweli kabla ya kuniingiza kingi siku hiyo, alikuwa amefanya bidii muda mrefu, natamani bidii hizohizo angefanyiwa mmoja wa nyie wanaume mnaoniponda humu, halafu ajitokeze mmoja ambaye ati angekataa halafu akamweleze mumewe. Wengi najua wangemega halafu wafunge midomo kimya. Hata miye mumewe sijamwambia na sitomwambia kamwe, napenda amani. Nimeisema hii kitu hapa kuonesha jinsi ilivyoniongezea hofu ya kutokuoa, hasa ukizingatia jinsi huyo shemeji yangu anavyoonekana kwa nje kama mtu mtaratibu wa maadili mema!

Na wewe ndugu unayetaka nikamshauri rafiki yangu namna ya kumtendea mkewe chumbani, unanitakia mema kweli? Unataka anieleweje? Ataniuliza nimejuaje kuwa hamtendei hivyo, nitamjibu nini?
 
Mtu B,

Hivi kesho yake ulipoonana na rafiki yako ulimudu kumsalimia au ulifanyaje mkuu?

Hata leo tunasalimiana vizuri na tunashirikiana vizuri sana katika mambo mengi, na sijaona dalili yoyote kuwa ameshtukia chochote kile. Naomba ikumbukwe kuwa sijawahi kumtongoza huyo mama, ni mwenyewe alinidhamiria na akafanikiwa kunishinda kama mtu mwingine yeyote anavyoweza kushindwa.
 
Hutaoa vip wakati wewe kutwa kucha unakula vya wenzako? Mungu nae anajua kulipa. Ukioa wewe ndo utajua uchungu wa kula vya wenzako. Kama nakuona utakavyokuwa unalia
 
Mtu B hiyo kitu mbona ni suala dogo sana!! We endelea kula mzigo tu hata ukija kuoa mke wako utamegewa pia na atakuwa anakupa na wewe kwani kuna ubaya gani ndio ubinafsi na uchoyo tunaosema huo. Mzee watu wakila hawaondoki nayo wala usijipe pressure mkubwa hakuna mwanamke wa peke yako kama Princess Diana alimegwa itakuwa hawa akina dada zetu huku Third world??
 
Hii ungeiweka kwenye udaku, maana imekaa kidaku. Mlifanya anniversary yao last month kutokana na maelezo yako hapo juu kwa mujibu wa madai yako ulikidhi haja zenu (maana c yake kwa sababu na wewe ulishiriki) baada ya kufanya hiyo anniversary. Wenzako walishaoa kitambo, kabla ya hili tukio mbona we ulikuwa bado haujaoa?

Nilikuwa bado sijaoa kabla ya hii tukio, lakini baada ya hii tukio nimeingiwa woga zaidi

Je ni hili tukio 2 ndilo lililosababisha wewe husiowe au umetaka 2 kuwadhalilisha wanawake.
Hii tukio siyo peke yake imenifanya nisioe, lakini imenitia hofu zaidi

Mbona wewe haukukataa.
Nilikuwa nimeshafanya jitihada za kukataa kwa miezi kadhaa, hadi hapo siku hiyo nilipozidiwa.

Halafu eti unajidai kidume, kwamba alikusifia wewe unaua kuliko mume wake. Uzushi!!!!!

Na wala sijajidai kidume, kwanza mwenyewe nimejishangaa kwa sababu nilikuwa nadhania kuwa siyajui hayo mambo kwa kiwango cha kuweza kusifiwa hivyo, kwa hiyo nikajishangaa kama ananisifia mimi ina maana huyo mwenzie ni vipi?
 
nyamayao unajua hapa kuna mambo mengi yanachangia ila nadhani lawama zinafaa ziende pande zote mbili. Ingawa kiini cha yote hayo ni mwanamke kwa sababu yeye ndiye mwenye uwezo na kauli ya mwisho ya kusema YES au NO ili uovu huo utendeke. Kuna vitu vingi vinachangia but mimi ninaona hivi (na ninakubali kukosolewa!)

Mpaka hapo uko uko sahihi kabisa. Lawama nyingi zimwendee mwanamke.

-1.Mwanamke unapokuwa na mwenzi wako hasa mbele ya marafikize tupunguze manjonjo jamani

Hapa ndipo unapoanza kukosea. Unapotumia neno "hasa" una maana gani? Una maana huyo mwanamke apunguze manjonjo tu awapo mbele ya marafiki wa mwanamme wake na akiwa mbele ya wanaume wengine it's okay? Wrong! Inatakiwa aache, sio apunguze, aache hayo manjonjo mbele wa mwanamme yeyote zaidi ya mumewe. Vivyo hivyo, mwanamme naye anatakiwa aache "manjonjo" yake mbele ya wanawake wengine wawe marafiki si marafiki wa mkewe. Anatakiwa aache hayo unayoyaita "manjonjo". Kama wote hamuwezi kuacha basi hamkuwa tayari kuishi maisha ya ndo in the first place na ndoa yenu tayari iko doomed kabla hata hamjaifunga.

utamkuta mtu yuko na hawa shemejize na mpenziwe basi mara kaingiza ulimi sikioni mara kamtafuna ulimi yaani ili mradi atoe picha kuwa mpenzi wake anafaidi sana. Sasa hivi vinaweza kuwatia marafiki shetani wa wao pia kutamani kuenziwa kama vile japo mara moja (ingawa wanatakiwa kujizuia) ndiposa mtu anaanza kumtongoza mke/ demu wa rafikiye ili tu aonje pepo apowayo mwenzie.

Kama couple wako comfortable na PDA sioni kwa nini wajizuie kufanya hivyo. Heck...si uhusiano wao bana? Sasa mwanamke kwa ujumla huwezi kabisa kumzuia mtu kukutongoza. Ila kama uko mwanamke mwenye maadili mazuri na unamheshimu mumeo, kwanza, utaji-carry kwa heshima na utakuwa na aura flani kwamba you don't play that na watu wakikuangalia tu mara nyingi wata sense kitu kama hicho. Pili, ikitokea umetongozwa na mtu wakati uko mke wa mtu unatakiwa umwambie huyo akutongozae kwamba umeolewa. Mwambie kwa heshima tu na wala sio kwa hamaki. Sio unam entertain huyo akutongozaye. Kwa nini um-entertain mwanamme mwingine wakati uko mke wa mtu? Huko ni kumdharau na kumdhalilisha mwenzi wako.

-Pia tunapoonyesha sana manjonjo mbele ya hao mashemeji wengine hutafsiri kuwa unamkaribisha kiaina so anapata nguvu ya kukutokea.

Wewe huwezi kuzuia jinsi matendo yako kwa mumeo yanavyopokelewa na watu wengine. Usijali jinsi watu wengine watakavyoyapokea au kuyatafsiri. Inapotokea unatokewa na jamaa kataa. Mwambie umeolewa na unampenda mumeo na kamwe hata siku moja hutafanya kitu kama hicho. Kataa katakata. Kwa nini uanze kuichekea chekea hiyo njemba ingine. Why? Si uko mke wa mtu? Basi kama ni hivyo mpende na mheshimu mumeo na yeye anatakiwa afanye vivyo hivyo kwako.

2. Tujaribu kuweka distance kati yetu na mashemeji (na userious flani) hivi kwani shemeji akiona unamchekea chekea hata kama ni kwa nia njema basi yeye ashakuteremsha kivazi. Ukiwa na distance na userious flani ni wazi kuwa hata ile wazo la kufikiria kujaribu kukutongoza halitakuwepo.

Sio tujaribu. Ni kwamba ni lazima uweke umbali kati yako na mashemeji zako na wanaume wengine zaidi ya mumeo. Lazima mheshimiane na shemeji yako/zako. Kama shemeji yako anakutongoza na wewe unakubali basi wewe ndio mjinga na mdhaifu zaidi kuliko hata alivyo huyo shemeji yako kwa sababu you should know better.

Where are our manners? je wazazi wetu nao zama hizo walikuwa wakifanya haya? kama hapana ni kwa nini?

Haya mambo yalikuwepo tokea enzi na enzi na yatakuwepo kadri uhai wa mwanadamu utavyoendelea kuwepo. Hakuna cha ajabu hapo.
 
Nina umri miaka 28, sijaoa. Rafiki zangu kadhaa wameoa, mmoja katimiza mwaka last month tulifanya anniversary yao. Ajabu ni kuwa mkewe amekuwa akinizoea sana mazoea yasiyofaa kwa mke wa mtu. Hivi karibuni nilivyoona amezidi nikaona nikidhi haja yake, katika sehemu na muda aliopanga mwenyewe. Nilishangaa sana! Baada ya kitendo kile akawa ananiuliza "wewe unafanyaje inakuwa tamu hivi jamani! Mfundishe basi rafiki yako, unajua mimi sipendi tabia tuliyofanya lakini basi tu!"

Nilichoshangaa ni kuwa, hii ni akili ya vipi? Yaani anadhani naweza kumfundisha mumewe hiko kitu! Na cha ajabu basi, mimi si kwamba ni mjuzi sana wa hiyo habari.

Naogopa kuoa!

Asee Mtu B kwangu wala usikanyage
 
Mpaka hapo uko uko sahihi kabisa. Lawama nyingi zimwendee mwanamke.

Hapa ndipo unapoanza kukosea. Unapotumia neno "hasa" una maana gani? Una maana huyo mwanamke apunguze manjonjo tu awapo mbele ya marafiki wa mwanamme wake na akiwa mbele ya wanaume wengine it's okay? Wrong! Inatakiwa aache, sio apunguze, aache hayo manjonjo mbele wa mwanamme yeyote zaidi ya mumewe. Vivyo hivyo, mwanamme naye anatakiwa aache "manjonjo" yake mbele ya wanawake wengine wawe marafiki si marafiki wa mkewe. Anatakiwa aache hayo unayoyaita "manjonjo". Kama wote hamuwezi kuacha basi hamkuwa tayari kuishi maisha ya ndo in the first place na ndoa yenu tayari iko doomed kabla hata hamjaifunga.

Kama couple wako comfortable na PDA sioni kwa nini wajizuie kufanya hivyo. Heck...si uhusiano wao bana? Sasa mwanamke kwa ujumla huwezi kabisa kumzuia mtu kukutongoza. Ila kama uko mwanamke mwenye maadili mazuri na unamheshimu mumeo, kwanza, utaji-carry kwa heshima na utakuwa na aura flani kwamba you don't play that na watu wakikuangalia tu mara nyingi wata sense kitu kama hicho. Pili, ikitokea umetongozwa na mtu wakati uko mke wa mtu unatakiwa umwambie huyo akutongozae kwamba umeolewa. Mwambie kwa heshima tu na wala sio kwa hamaki. Sio unam entertain huyo akutongozaye. Kwa nini um-entertain mwanamme mwingine wakati uko mke wa mtu? Huko ni kumdharau na kumdhalilisha mwenzi wako.

Wewe huwezi kuzuia jinsi matendo yako kwa mumeo yanavyopokelewa na watu wengine. Usijali jinsi watu wengine watakavyoyapokea au kuyatafsiri. Inapotokea unatokewa na jamaa kataa. Mwambie umeolewa na unampenda mumeo na kamwe hata siku moja hutafanya kitu kama hicho. Kataa katakata. Kwa nini uanze kuichekea chekea hiyo njemba ingine. Why? Si uko mke wa mtu? Basi kama ni hivyo mpende na mheshimu mumeo na yeye anatakiwa afanye vivyo hivyo kwako.

Sio tujaribu. Ni kwamba ni lazima uweke umbali kati yako na mashemeji zako na wanaume wengine zaidi ya mumeo. Lazima mheshimiane na shemeji yako/zako. Kama shemeji yako anakutongoza na wewe unakubali basi wewe ndio mjinga na mdhaifu zaidi kuliko hata alivyo huyo shemeji yako kwa sababu you should know better.

Haya mambo yalikuwepo tokea enzi na enzi na yatakuwepo kadri uhai wa mwanadamu utavyoendelea kuwepo. Hakuna cha ajabu hapo.

Naona tuko mstari mmoja tofauti ni namna ya kuelezea points
 
Back
Top Bottom