Kwani lazima kuoana?

Kwani lazima kuoana?

Swali: Kwani hujaoa?
Jibu: Kwa sababu wewe ni MHUNI.
 
Nina umri miaka 28, sijaoa. Rafiki zangu kadhaa wameoa, mmoja katimiza mwaka last month tulifanya anniversary yao. Ajabu ni kuwa mkewe amekuwa akinizoea sana mazoea yasiyofaa kwa mke wa mtu. Hivi karibuni nilivyoona amezidi nikaona nikidhi haja yake, katika sehemu na muda aliopanga mwenyewe. Nilishangaa sana! Baada ya kitendo kile akawa ananiuliza "wewe unafanyaje inakuwa tamu hivi jamani! Mfundishe basi rafiki yako, unajua mimi sipendi tabia tuliyofanya lakini basi tu!"

Nilichoshangaa ni kuwa, hii ni akili ya vipi? Yaani anadhani naweza kumfundisha mumewe hiko kitu! Na cha ajabu basi, mimi si kwamba ni mjuzi sana wa hiyo habari.

Naogopa kuoa!
Mzee hufai hata kidogo!Kama kweli jamaa ni best yako,jutia nafsi yako.Usioe eti kwa sababu rafiki zako wote wameoa,oa kwa sababu muda wako na malengo yako yametimia.Kuna vitu vichache tu vya kuangalia kukuhusu wewe na huyo unayetaka kumuoa:
1.Mmefahamiana vya kutosha(Muda)
2.Mnaweza kuchukuliana(kuvumiliana)-Kitabia.Hapa ikumbukwe kila mmoja kakulia
katika maisha tofauti na mwenzake.
3.Kuna uwazi wa kutosha baina yenu.
 
Kimsingi umefanya kosa lakini sitaki kukulaumu sana because kuna wanawake vichefuchefu wenye tamaa mbaya
 
ila husirudie tena kaka, mabya sana kumla mke wa mtu tena wa rafiki yako mpendwa, ila hujiandae kutafuniwa mkeo na wewe, hiyo ni lazima yaani lazima utafuniwe tu mkeo hata hufanye nini mkuu, hata ukioa mwaka 2020, sikutishi ila ndio ukweli
 
Jamani chance inapotokea tumia hakuna kulemba..Huwezi kufunuliwa eti kwa vile mke wa rafiki yako ndio uache hiyo kitu hamna unakula mambo then unatulia..

N.B

Tusisahau kwamba mwenyezi mungu hapendi utembee na mke wa mtu na kila unachokifanya anakuona so adhabu ambayo atakupatia siku hiyo hutosahau kwenye maisha yako..ila na nyinyi wanawake muache kujiregeza.....!!
 
Nina umri miaka 28, sijaoa. Rafiki zangu kadhaa wameoa, mmoja katimiza mwaka last month tulifanya anniversary yao. Ajabu ni kuwa mkewe amekuwa akinizoea sana mazoea yasiyofaa kwa mke wa mtu. Hivi karibuni nilivyoona amezidi nikaona nikidhi haja yake, katika sehemu na muda aliopanga mwenyewe. Nilishangaa sana! Baada ya kitendo kile akawa ananiuliza "wewe unafanyaje inakuwa tamu hivi jamani! Mfundishe basi rafiki yako, unajua mimi sipendi tabia tuliyofanya lakini basi tu!"

Nilichoshangaa ni kuwa, hii ni akili ya vipi? Yaani anadhani naweza kumfundisha mumewe hiko kitu! Na cha ajabu basi, mimi si kwamba ni mjuzi sana wa hiyo habari.

Naogopa kuoa!

Jamani samahani sana.

Mtu B,

The chorus is for you and your tiny mind.[ame="http://www.youtube.com/watch?v=-XcYv85Ro5g&feature=related"]Gonga hapa.[/ame]
 
Last edited:
Mbona unamkandia mshikaji namna hiyo? kwani huyo mke wa rafiki yake alitongozwa naye au alijitongozesha yeye mwenyewe? Kama angelimuacha unajua angelicho sema? Angesema jamaa jogoo wake hapandi mtungi!!! Hivyo alivyofanya kwa maoni yangu ndiyo sawa haswa. Kama huyo mwanamke kashindwa kujiheshimu mwenyewe nani atakayelazimisha heshima kwa nguvu bwana?
 
Malaya mkubwa wee tena asiye na haya.

Eti mke amekuwa akikuzoezoe kumbe ulikuwa unamtongoza, nyooo, fedhuli wee

Mkuu malaya ni mwanamke na mwanaume muhuni! Ila alichokifanya huyo jamaa kama ni kweli anastahili kufungwa kamba huo mguu wake wa tatu a.k.a uume kisha kuburuzwa mtaani kama tela la gari hadi afe!
 
Jamani kwa kuwa ukumbi huu ni wa ukweli mtupu na mie niseme yanonisibu moyoni.

Kuna mke wa mtu kanitongoza, kwa kifupi alinikuta nimesimama nikisubiri mvua, akaanza kuniongelesha (kuhusu mvua) mara akkanza story kwamba mvua inamchelewesha kwenda kwa gynaecologyst wake na mambo kibao, mara akaniambia anapenda suti niliyovaaa, na mie nami si mtoto mdogo, nikaona alama zote nikajua hili goli la kisigino, lakini mama kavaa midhahabu kedekede nikashindwa kujua kama amevaa pete ya kuolewa ama hajavaa.Tukapeana mi digit poa.

Sasa tumepiga story wiki kama sita hivi, naona kama anajiuliza "jamaa anagojea nini?". Tunatoka lunch na dinner sometimes, spend a lot of time together, she goes back home late at night and all.Mzee mpaka chungwa nimekula (anachezesha ulimi huyo, kama ufundi ndio huu haki ya nani majaribu makubwa nikifikiria vingine)

Ananiuliza maswali fulani yanayonifanya nione anataka kuja kwangu nimkwangue, most recently ananiambia tena "napenda suti zako, ningefurahi kuona warbrobe yako" basi mimi nikasema sheepishly "I hope you will get the chance". Lakini moyoni najua ni mke wa mtu, nilishawahi kumuuliza kama ana matatizo na mme wake akajibu ndiyo, nikamwambia sasa reconciliation inaelekeaje, akasema mumewe ni kama amekubali kwamba kila mtu aende kivyake -translation mumewe ana nyumba ndogo-. Basi kiasi fulani inaweza kuwa justification, lakini pia sitaki kuwa sababu ya kuimaliza kabisa ndoa yao.

Mwisho kabisa kaniambia akikaa kwenye gari sana mgongo na makalio yanamuuma na angependa nimfanyie massage, nikamwambia I am at your service. Yarabi Toba.

Zaidi ya kumkatia mawasiliano kabisa, kitu ambacho amehint na kusema kitam devastate, nifanyeje? Nimmege na kumwambia arudi kwa mumewe au niwe mchovya asali?

U Al-Watan kazi, but somebody has to do it.

Now that I have this out of my system, Astaghfirullah Astaghfirullah Astaghfirullah.
 
Najaribu kuona jinsi gani watu wasivyokuwa realistic. Mi iosni sababu kwa nini watu wasimpongeze huyu jamaa kwa kuwa mkweli. Watu wote waliochangia kwenye thread hii wakipata fursa ya kuweza kufanya km huyu jamaa alivyofanya, wanafanya, laknini ushangae michango yao ni tofauti kabisa na mawazo yao ya kila siku kichwani. MAN'S (BINADAMU) REAL CHARACTER IS WHAT HE WOULD DO IF HE KNEW HE/SHE WOULD'NT BE FOUND! R u all contributors sure, under same conditions and circumstances, could not do the same? Tuwe wakweli, ndiyo maana taifa letu limeangamia kwa ufisadi, sababu tunachooongea ni opposite ya kile tunachofanya. Na kumbukeni there may be a better change in tanzania may be after 2000 years at least. Kwa hiyo mlioko live leo na mpaka wajukuu wa wajukuu zenu 2 the power or 23 (mathematicians only) bado hamtayaishi "MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA". Hii nchi hatuendi sababu ya intentional destructive planning. Tunapanga ktu maksudi kilicholenga kutoa loop holes za uharibfu mkubwa hapo baadaye, provided planner atafaidika. Huyu jamaa aliyemega siyo tu kwamba vile mwanamke alikuwa anataka, hata yeye pia ilikuwa kichwani kwake, ila the way alivyoi-present hapa anataka tumwelewe kuwa eti kuwa yeye kabisaaaa hakuwa na nia hiyo, VERY STUPID! Tukubaliane ukweli kuwa WATU WOTE WANAMEGA/WANAMEGWA, WATAENDELEA KUMEGA/KUMEGWA. ukpata chance ya kumega/kumegwa km uko willing then do it, bcause that is the way life it is! Haya maneno mengne ni theory au siasa. If I'm wrong, naomba mtu ani-attack km ni mkweli halafu nitarudi!

Naamini ..siasa na mapenzi ni sawasawa!
 
That is entirely not true. Hila siasa na kuwa kwenye ndoa ni sawasawa. Kwikwikwi.
ni kitu hicho hicho... uongo mwingi..unafiki.... ufisadi....
umeshaona wanasiasa wakiomba kura wanavyonyenyekea na kutoa promises kibao? ngoja wapate kura ..utaona wanavyobadilika.Hivyo hivyo...courtship ni sawa na kuomba kura.... ahadi za kutimiziana kila kitu... halafu mwisho wake nini?.....
 
Jamani kwa kuwa ukumbi huu ni wa ukweli mtupu na mie niseme yanonisibu moyoni.

Kuna mke wa mtu kanitongoza, kwa kifupi alinikuta nimesimama nikisubiri mvua, akaanza kuniongelesha (kuhusu mvua) mara akkanza story kwamba mvua inamchelewesha kwenda kwa gynaecologyst wake na mambo kibao, mara akaniambia anapenda suti niliyovaaa, na mie nami si mtoto mdogo, nikaona alama zote nikajua hili goli la kisigino, lakini mama kavaa midhahabu kedekede nikashindwa kujua kama amevaa pete ya kuolewa ama hajavaa.Tukapeana mi digit poa.

Sasa tumepiga story wiki kama sita hivi, naona kama anajiuliza "jamaa anagojea nini?". Tunatoka lunch na dinner sometimes, spend a lot of time together, she goes back home late at night and all.Mzee mpaka chungwa nimekula (anachezesha ulimi huyo, kama ufundi ndio huu haki ya nani majaribu makubwa nikifikiria vingine)

Ananiuliza maswali fulani yanayonifanya nione anataka kuja kwangu nimkwangue, most recently ananiambia tena "napenda suti zako, ningefurahi kuona warbrobe yako" basi mimi nikasema sheepishly "I hope you will get the chance". Lakini moyoni najua ni mke wa mtu, nilishawahi kumuuliza kama ana matatizo na mme wake akajibu ndiyo, nikamwambia sasa reconciliation inaelekeaje, akasema mumewe ni kama amekubali kwamba kila mtu aende kivyake -translation mumewe ana nyumba ndogo-. Basi kiasi fulani inaweza kuwa justification, lakini pia sitaki kuwa sababu ya kuimaliza kabisa ndoa yao.

Mwisho kabisa kaniambia akikaa kwenye gari sana mgongo na makalio yanamuuma na angependa nimfanyie massage, nikamwambia I am at your service. Yarabi Toba.

Zaidi ya kumkatia mawasiliano kabisa, kitu ambacho amehint na kusema kitam devastate, nifanyeje? Nimmege na kumwambia arudi kwa mumewe au niwe mchovya asali?

U Al-Watan kazi, but somebody has to do it.

Now that I have this out of my system, Astaghfirullah Astaghfirullah Astaghfirullah.

Pole sana Al-Watan. Wewe na mimi tuna tofauti mbili tu hapa. Ya kwanza ni kwamba umetoa details za bidii alizofanya huyo mama. Mimi sikutoa details, labda ndiyo maana wengi hawakuelewa majaribu niliyopitia, wakaishia kunishutumu tu! Tofauti ya pili ni kwamba unasema hujamega hadi sasa. Lakini ninavyoona unakoelekea ni hukohuko kwenye kumega, kwa hiyo tafadhali chunga sana. Mimi sikufichi, nilijitahidi ikafikia kipindi nikashindwa, yaani nilifika ile limit nikajikuta tayari niko mle. Wewe mwenzangu naona bado unayo nafasi ya kutoingia humo kama ukiweka distance fulani, hasa kama hata huyo mumewe humjui. Mimi kuweka distance ilikuwa tabu, nilishindwa kuacha kwenda kwake maana wao ni marafiki zangu, na sikuweza kumzuia kunitembelea. Mtihani mzito sana nilikuwa nao. Lakini nimeanza kuushughulikia kwa mbinu zangu flani ingawa bado kazi ngumu, maana sasa ananitisha atamwambia mumewe kuwa huwa namtongoza! Na hakyanani vile sijawahi kumtongoza hata siku moja, sijui ni ana pepo au ni kitu gani!

Jitahidi utashinda mtihani huo, ukichelewa itakuwa kazi ngumu sana.

Na je umeoa au bado? Hiyo pia ni factor katika hii shida, kwa sababu nimeona kama vile wanawake walioolewa wenye tabia za hivyo wana tabia ya kuwakwaza sana ambao hawajaoa.
 
Unavyoichomekea utafikiri ulishafikwa na makuu hayo?
 
Mtu B:

Kwanini ukumkatalia na kutoa visingizio vya kum-turn off huyo mke wa mtu? Ungesingizia kwa kusema huko mwezini.
 
Nina umri miaka 28, sijaoa. Rafiki zangu kadhaa wameoa, mmoja katimiza mwaka last month tulifanya anniversary yao. Ajabu ni kuwa mkewe amekuwa akinizoea sana mazoea yasiyofaa kwa mke wa mtu. Hivi karibuni nilivyoona amezidi nikaona nikidhi haja yake, katika sehemu na muda aliopanga mwenyewe. Nilishangaa sana! Baada ya kitendo kile akawa ananiuliza "wewe unafanyaje inakuwa tamu hivi jamani! Mfundishe basi rafiki yako, unajua mimi sipendi tabia tuliyofanya lakini basi tu!"

Nilichoshangaa ni kuwa, hii ni akili ya vipi? Yaani anadhani naweza kumfundisha mumewe hiko kitu! Na cha ajabu basi, mimi si kwamba ni mjuzi sana wa hiyo habari.

Naogopa kuoa!

hahahahaha jamani uwiiiiii mbavu zangu miye!....watu wanapenda kujipa ujiko hahahahahaah!..... yaani i am on the floor laughing my ass off....mwaume bwana huwa wananifurahisha sana kwa kujipa ujiko....heheheheheheh!...this is so classic.......mweeeeh!....mahokaaaaaaa
 
Wewe unaogopa kuoa kwa sababu, unahofia mkeo naye atakwenda nje kama mke wa rafiki yako au hujiamini na utaalamu wako wa kutoa 'utamu'?

Ukitaka kula basi kubali uliwe -JK
 
hahahahaha jamani uwiiiiii mbavu zangu miye!....watu wanapenda kujipa ujiko hahahahahaah!..... yaani i am on the floor laughing my ass off....mwaume bwana huwa wananifurahisha sana kwa kujipa ujiko....heheheheheheh!...this is so classic.......mweeeeh!....mahokaaaaaaa

😀, "...kitu ndani ya boksi"...;

..."wewe unafanyaje inakuwa tamu hivi jamani! Mfundishe basi rafiki yako, unajua mimi sipendi tabia tuliyofanya lakini basi tu!"

...'vicheche' hutumia sana kauli hizi kwenye 'fake Orgasm' zao! ha ha haa...
 
Jamani kwa kuwa ukumbi huu ni wa ukweli mtupu na mie niseme yanonisibu moyoni.

Kuna mke wa mtu kanitongoza, kwa kifupi alinikuta nimesimama nikisubiri mvua, akaanza kuniongelesha (kuhusu mvua) mara akkanza story kwamba mvua inamchelewesha kwenda kwa gynaecologyst wake na mambo kibao, mara akaniambia anapenda suti niliyovaaa, na mie nami si mtoto mdogo, nikaona alama zote nikajua hili goli la kisigino, lakini mama kavaa midhahabu kedekede nikashindwa kujua kama amevaa pete ya kuolewa ama hajavaa.Tukapeana mi digit poa.

Sasa tumepiga story wiki kama sita hivi, naona kama anajiuliza "jamaa anagojea nini?". Tunatoka lunch na dinner sometimes, spend a lot of time together, she goes back home late at night and all.Mzee mpaka chungwa nimekula (anachezesha ulimi huyo, kama ufundi ndio huu haki ya nani majaribu makubwa nikifikiria vingine)

Ananiuliza maswali fulani yanayonifanya nione anataka kuja kwangu nimkwangue, most recently ananiambia tena "napenda suti zako, ningefurahi kuona warbrobe yako" basi mimi nikasema sheepishly "I hope you will get the chance". Lakini moyoni najua ni mke wa mtu, nilishawahi kumuuliza kama ana matatizo na mme wake akajibu ndiyo, nikamwambia sasa reconciliation inaelekeaje, akasema mumewe ni kama amekubali kwamba kila mtu aende kivyake -translation mumewe ana nyumba ndogo-. Basi kiasi fulani inaweza kuwa justification, lakini pia sitaki kuwa sababu ya kuimaliza kabisa ndoa yao.

Mwisho kabisa kaniambia akikaa kwenye gari sana mgongo na makalio yanamuuma na angependa nimfanyie massage, nikamwambia I am at your service. Yarabi Toba.

Zaidi ya kumkatia mawasiliano kabisa, kitu ambacho amehint na kusema kitam devastate, nifanyeje? Nimmege na kumwambia arudi kwa mumewe au niwe mchovya asali?

U Al-Watan kazi, but somebody has to do it.

Now that I have this out of my system, Astaghfirullah Astaghfirullah Astaghfirullah.

Al- watan,

kwa jinsi ullivyoielezea hii habari, huyo Bibie anabidii ya kufikisha idadi ya wenye maambukizi...

(astaghafirullah) Ningekushauri uende naye kwanza Angaza kabla nawe hujawa Takwimu...
 
😀, "...kitu ndani ya boksi"...;

...

Mbu Hon....tupo pamoja...ila kijana kaniacha hoi sana tuuu yaani kila nikisoma comment yake najichekea mwenyewe kwa kweli....he is such a character,,,,,,kuna scenario moja hivi mbu ngoja nikumegee...wanaume wengi wanaopenda kujielezea sana kuwa wao ni vibajaji when it comes to sex....hahaha asikwambie ntu hao ni maji mara moja tuu akigusa paja tuu keshaachia shahawa......so huyu ni wale wale tuu!...ndiyo maana nacheka sana...
 
Back
Top Bottom