Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Naunga mkono hoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaaaaaaa!!!!Pamoja mkuuuuuuuu..........!
nahisi harufu ya kuvurugwa na kuvurugika hapa
Kivipi hebu fafanuwa usomeke.
kuoa si lazima na kwenye katiba yetu ya nchi hakuna kitu kama hicho ila kuwa tofauti na jamii unayoishi nalo ni tatizo na kama siyo lazima kwa nini mungu aliumba kiumbe chenye jinsia ya ME na KE ni maswali ya kujiuliza wakati anaumba alijua umuhimu wake ila kwa watu wenye mtazamo finyu watazidi kuona kam kitu cha kipuuzi kwa kujidai wanabadili wanawake kadili wanavyotaka
Kama heading inavyojieleza hapo juu hii mada si mpya bali leo ipo kivingine na haiwahusu wanawake maana wao si waowaji.
Its really boaring now kundi la wanaume wazima mmekaa kwenye kupiga dubai na senene wa kutosha linatoka jitu linaanza kukuwekea ultimatum ya mwaka huu lazima uoe!!
Ukiangalia huyo mtu hata ukiwa na dharura ya laki moja hawezi kukusaidia kwa lolote na kwa wadakuzi unakuta anatombewa tu na watoto wa kitaa na kanisa analosali yule padri anayempigia magoti na kumwona mwenye busara ni mtombaji mzuri tu kitaa naye hana mke na hatooa milele, swali langu je ni kwa nini Watanzania ni wanafki sana tunashindwa kuhamasishana kuhusu elimu na afya na maswala ya ndoa liwe ni swala binafsi la mtu?
Kwa mfano mimi binafsi nina shangazi yangu ana kansa ya kizazi na mtoto amemgharamia mpaka ameishiwa imebidi niingilie kati na kuchangia matibabu na niliwaomba ndugu tukutane tuchange pesa za kugharamia matibabu yake badala ya kuchangia foaster ya kusafirisha maiti yake lakini kila mtu yuko kimya kama siyo yeye, hivi sisi tukoje au tumelaaniwa? Ni binadamu wanaopenda sherehe tu na hawajari kuokoa maisha ya wengine?
Matola...tasfida muhimu hata kama una expirience ya BAN
Sio lazima ila oa acha kupiga chenga. Mkuu inaonekana wenzako wanajukua ndio maana wanaku-tight.
Sawa mjanja....