Kwani lazima kuoana?

Kwani lazima kuoana?

Wanawake Hawataki ndoa kuishi,wanachotaka wao wavae ile pete ya ndoa na sherehe ya Harusi ila maisha ya ndoa Hawayapendi sio Wote lakini,tuwe makini wanaume wenzangu
 
Kama heading inavyojieleza hapo juu hii mada si mpya bali leo ipo kivingine na haiwahusu wanawake maana wao si waowaji.

Its really boaring now kundi la wanaume wazima mmekaa kwenye kupiga dubai na senene wa kutosha linatoka jitu linaanza kukuwekea ultimatum ya mwaka huu lazima uoe!!

Ukiangalia huyo mtu hata ukiwa na dharura ya laki moja hawezi kukusaidia kwa lolote na kwa wadakuzi unakuta anatombewa tu na watoto wa kitaa na kanisa analosali yule padri anayempigia magoti na kumwona mwenye busara ni mtombaji mzuri tu kitaa naye hana mke na hatooa milele, swali langu je ni kwa nini Watanzania ni wanafki sana tunashindwa kuhamasishana kuhusu elimu na afya na maswala ya ndoa liwe ni swala binafsi la mtu?

Kwa mfano mimi binafsi nina shangazi yangu ana kansa ya kizazi na mtoto amemgharamia mpaka ameishiwa imebidi niingilie kati na kuchangia matibabu na niliwaomba ndugu tukutane tuchange pesa za kugharamia matibabu yake badala ya kuchangia foaster ya kusafirisha maiti yake lakini kila mtu yuko kimya kama siyo yeye, hivi sisi tukoje au tumelaaniwa? Ni binadamu wanaopenda sherehe tu na hawajari kuokoa maisha ya wengine?
 
Matola, suala la kuoa, si jambo baya, bali ni jambo jema linalopendeza mbele za Mungu na wanadamu pia! Lakini si jambo linalohitaji kukurupuka au kushinikizwa, ni jambo ambalo huitaji utayari wa mhusika kiakili na pengine hata kiuchumi. Zaidi ya hapo suala hili pia hutegemea kama mhusika amepata mwenza kwa maana ya wife material ambaye atakuwa tayari kuchukuliana nawe kwa namna zote za raha na shida. Choice ya partner si jambo la kukurupuka na hivyo huwezi kulifanya kwa kushinikizwa.

Under ideal situation, tunategemea ndoa ilete amani, furaha, baraka, ijenge familia na kumfanya mume na mke kujua wajibu wao iwapasavyo ndani ya familia yao kwa kuzaa na kuwalea watoto wao ipasavyo. Na pia tungetegemea ipunguze uzinzi (Ingawa baadhi ya wanandoa bado ni wazinzi!), na kuongeza heshima ya mtu nyumbani na kwingineko.

Nina wasiwasi kuwa inawezekana wanakushinikiza kwa kuona kuwa labda ka umri kako kamesogea sana, au age mate wako wote wameoa au una uwezo wa kujimudu wewe na familia tarajiwa au pengine unakutwa ukibadili vibinti kila mara kiasi cha kuwatia ukakasi mashuhuda wa hizo tabia!

Mkuu nakubaliana na wewe, kwamba si jambo la busara kuoa kwa kushinikizwa hasa ukizingatia unyeti wa taasisi yenyewe na complications zake. Ila pia si vibaya kama ka umri kamesogea sana, na kama umempata yule ambaye umempima ukaona anafaa, kujitumbukiza kwenye taasisi hii. Lakini kama hivyo vigezo hujavifikia, basi kaka endelea kuwepo kuwepo tu!

Best of luck,
HP.
 
Ninavyoamini hakuna binadamu anayemshauri binadamu mwenzake mambo mema wengi ni wanafiki,ndio maana makanisani misikitini kote migogoro,mtu anakushauri uoe anajua wazi kwamba ukiwa single unaweza ukampita kifedha kwa7bu utakuwa huna majukumu ya kifamilia anakushauri uoe ili kwenye vikao ile akiba yako ya mil4 bank uitumie yote kwenye harusi,cha msingi washauri kama hao waambie bado sijajipanga nikitaka kuoa naoa bila mchango wa mtu wowote na ikifika hio siku oa fanya kama alivyofanya kamanda Henry kileo na shemeji Joyce Kiria
 
Last edited by a moderator:
kuoa si lazima na kwenye katiba yetu ya nchi hakuna kitu kama hicho ila kuwa tofauti na jamii unayoishi nalo ni tatizo na kama siyo lazima kwa nini mungu aliumba kiumbe chenye jinsia ya ME na KE ni maswali ya kujiuliza wakati anaumba alijua umuhimu wake ila kwa watu wenye mtazamo finyu watazidi kuona kam kitu cha kipuuzi kwa kujidai wanabadili wanawake kadili wanavyotaka
 
Kuoa ni lazima? La hadha sio lazima na hiyo ni kwa mujibu wa Mtume Paulo katika Biblia Takatifu.

Lakini sasa ukiamua kutokuoa inabidi uishi kwa adabu na uepuka tamaa za uasherati.

Adabu hii huwashinda wanaume wengi na kujikuta ama anaishi na mwanamke kinyumba au anakuwa ni mtu wa kubadilisha k kila leo.

Sasa kwa kutumia busara ndogo tu, mtu wa namna hii hushauriwa kuoa ili walau fikra zake zihamishwe kutoka kutokuwa na majukumu na kwenda kuwa na majukumu ambapo ndoa ni chachu ya mabadiliko hayo.

Ndugu mleta mada ingawa sina hakika sana ila nahisi kiini cha mada yako ni gharama za harusi vs kumlazimisha mtu asiye tayari kuoa kukabiliana na gharama hizo ilihali kuna mambo mengine ya msingi anashindwa kuisaidia jamii imzungukayo.
 
kuoa si lazima na kwenye katiba yetu ya nchi hakuna kitu kama hicho ila kuwa tofauti na jamii unayoishi nalo ni tatizo na kama siyo lazima kwa nini mungu aliumba kiumbe chenye jinsia ya ME na KE ni maswali ya kujiuliza wakati anaumba alijua umuhimu wake ila kwa watu wenye mtazamo finyu watazidi kuona kam kitu cha kipuuzi kwa kujidai wanabadili wanawake kadili wanavyotaka

Mkuu mimi sijui umri wako na wala sijui umepitia changamoto zipi za kimaisha, hivi inaingia akilini wewe ukiwa single na unapata matatizo na huoni msaada wowote, je ukiwa na mtoto wa watu si ndio hao hao watataka wakutombee mkeo kwa gia ya kumsaidia shemeji?

Ukija kwenye Family ndio vichekesho vitupu eti mama yako anataka uoe ili mkeo amtunze, hivi unao mke wa ukoo au unaoa mke wako wewe? Ndio maana humu Chris Lukosi juzi alimjibu mtu kwamba yeye siyo UNICEF kwamba afanye kazi ya kusaidia watu.
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada: Hata Mmasai kuvaa lubega si lazima, ila ni MILA NA DESTURI (utamaduni). Ukitaka kufuata au kuanzisha utaratibu wako ...it's all on you.
 
Tena wewe Matola inabidi uoe fasta itakusaidia kupunguza hasira za kila mara na kukupa maneno ya staha.
Oh samahani kumbe ke haituhusu sorry.
 
Last edited by a moderator:
Kama heading inavyojieleza hapo juu hii mada si mpya bali leo ipo kivingine na haiwahusu wanawake maana wao si waowaji.

Its really boaring now kundi la wanaume wazima mmekaa kwenye kupiga dubai na senene wa kutosha linatoka jitu linaanza kukuwekea ultimatum ya mwaka huu lazima uoe!!

Ukiangalia huyo mtu hata ukiwa na dharura ya laki moja hawezi kukusaidia kwa lolote na kwa wadakuzi unakuta anatombewa tu na watoto wa kitaa na kanisa analosali yule padri anayempigia magoti na kumwona mwenye busara ni mtombaji mzuri tu kitaa naye hana mke na hatooa milele, swali langu je ni kwa nini Watanzania ni wanafki sana tunashindwa kuhamasishana kuhusu elimu na afya na maswala ya ndoa liwe ni swala binafsi la mtu?

Kwa mfano mimi binafsi nina shangazi yangu ana kansa ya kizazi na mtoto amemgharamia mpaka ameishiwa imebidi niingilie kati na kuchangia matibabu na niliwaomba ndugu tukutane tuchange pesa za kugharamia matibabu yake badala ya kuchangia foaster ya kusafirisha maiti yake lakini kila mtu yuko kimya kama siyo yeye, hivi sisi tukoje au tumelaaniwa? Ni binadamu wanaopenda sherehe tu na hawajari kuokoa maisha ya wengine?

Sio lazima ila oa acha kupiga chenga. Mkuu inaonekana wenzako wanajukua ndio maana wanaku-tight.
 
Back
Top Bottom