Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
SwadaktaMarekani kuna masikini na mafukara waliopigika na ambao hawana tumaini la kutoka kimaisha maisha yao yoote. Marekani kuna magereza mengi kuliko vyuo na taasisi za kutoa elimu. Marekani ndo nchi inayoongoza duniani watu kuuana kwa kutumia bunduki, n.k.
Kwani Marekani ni mbinguni? Au ukiingia marekani unapewa hela za bure? Au ukiingia marekani ni alama ya kufanikiwa na kutoka kimaisha? Marekani kuna nini mpaka kutishia watu "URUHUSIWI KUINGIA NCHINI MAREKANI" This is the highest level of stupidity!
mtu alikuwa rafiki yako mara ghafla anakwambia usije kwangu tena na nisikuone, ujue kuna shida, ni vyema ukaijua shida na ukaitatua, huyo mtu munaweza kutana kwa bahati mbaya akukupiga na jiwe au akakuchoma kisu yaani akakudhuru. Ni vyema ukafatilia na kutafuta ufumbuzi eidha muyamalize au ukae nae mbali kabisa.Marekani kuna masikini na mafukara waliopigika na ambao hawana tumaini la kutoka kimaisha maisha yao yoote. Marekani kuna magereza mengi kuliko vyuo na taasisi za kutoa elimu. Marekani ndo nchi inayoongoza duniani watu kuuana kwa kutumia bunduki, n.k.
Kwani Marekani ni mbinguni? Au ukiingia marekani unapewa hela za bure? Au ukiingia marekani ni alama ya kufanikiwa na kutoka kimaisha? Marekani kuna nini mpaka kutishia watu "URUHUSIWI KUINGIA NCHINI MAREKANI" This is the highest level of stupidity!
Marekani kuna masikini na mafukara waliopigika na ambao hawana tumaini la kutoka kimaisha maisha yao yoote. Marekani kuna magereza mengi kuliko vyuo na taasisi za kutoa elimu. Marekani ndo nchi inayoongoza duniani watu kuuana kwa kutumia bunduki, n.k.

Wewe kibaraka wa mabeberu!Dislike,sindano imekuingia subiri maumivu yaishe kwanza
Marekani kuna masikini na mafukara waliopigika na ambao hawana tumaini la kutoka kimaisha maisha yao yoote. Marekani kuna magereza mengi kuliko vyuo na taasisi za kutoa elimu. Marekani ndo nchi inayoongoza duniani watu kuuana kwa kutumia bunduki, n.k.
Kwani Marekani ni mbinguni? Au ukiingia marekani unapewa hela za bure? Au ukiingia marekani ni alama ya kufanikiwa na kutoka kimaisha? Marekani kuna nini mpaka kutishia watu "URUHUSIWI KUINGIA NCHINI MAREKANI" This is the highest level of stupidity!
Wewe kibaraka wa mabeberu!
Kwa kweli.Mimi sio kibaraka mimi ni mtanzania mkristo nilielelewa kimaadili na nimefundisha kumpenda Mungu na jirani sio ubabeWewe kibaraka wa mabeberu!
uko busy!?
utakuwa Bashite
*Fanya kuniweka kwenye payroll yako kiongozi
au nije huko PM tuelewane?
Sent using Jamii Forums mobile app