Kwani marekani (USA) kuna nini cha kutishia watu wasiende?

Morning_star

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Posts
6,042
Reaction score
17,320
Marekani kuna masikini na mafukara waliopigika na ambao hawana tumaini la kutoka kimaisha maisha yao yoote. Marekani kuna magereza mengi kuliko vyuo na taasisi za kutoa elimu. Marekani ndo nchi inayoongoza duniani watu kuuana kwa kutumia bunduki, n.k.

Kwani Marekani ni mbinguni? Au ukiingia marekani unapewa hela za bure? Au ukiingia marekani ni alama ya kufanikiwa na kutoka kimaisha? Marekani kuna nini mpaka kutishia watu "URUHUSIWI KUINGIA NCHINI MAREKANI" This is the highest level of stupidity!
 
Swadakta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwulize Bashite alikuwa anaenda kufanya nini.Ndio ujue US ni mbinguni au sio.Inaweza isiwe mbinguni ila ni taifa kubwa.Tukicheza halitaishia hapo korosho,pamba,kahawa hawa ndio wanunuzi wakubwa duniani sasa wekeni kithembe chenu msipofikia Zimbabwe.Pia ARV za watu 2m plus wananchi kwa miaka karibu 5 iliyopita ni kwa msaada wao Sasa nyie hata hela ya uchaguzi mnajikuna kichwa.Kujenga madarasa mnakopa ndio wakiwawekea ban wote mtatangaza kwanza janga la kitaifa .Think twice usijifikirie mwenyewe we are 55m Tz opposed to few government officials wanaoharibu Tanzania
 
Marekani kuna masikini na mafukara waliopigika na ambao hawana tumaini la kutoka kimaisha maisha yao yoote. Marekani kuna magereza mengi kuliko vyuo na taasisi za kutoa elimu. Marekani ndo nchi inayoongoza duniani watu kuuana kwa kutumia bunduki, n.k.

Kwani Marekani ni mbinguni? Au ukiingia marekani unapewa hela za bure? Au ukiingia marekani ni alama ya kufanikiwa na kutoka kimaisha? Marekani kuna nini mpaka kutishia watu "URUHUSIWI KUINGIA NCHINI MAREKANI" This is the highest level of stupidity!
mtu alikuwa rafiki yako mara ghafla anakwambia usije kwangu tena na nisikuone, ujue kuna shida, ni vyema ukaijua shida na ukaitatua, huyo mtu munaweza kutana kwa bahati mbaya akukupiga na jiwe au akakuchoma kisu yaani akakudhuru. Ni vyema ukafatilia na kutafuta ufumbuzi eidha muyamalize au ukae nae mbali kabisa.
 
Marekani kuna masikini na mafukara waliopigika na ambao hawana tumaini la kutoka kimaisha maisha yao yoote. Marekani kuna magereza mengi kuliko vyuo na taasisi za kutoa elimu. Marekani ndo nchi inayoongoza duniani watu kuuana kwa kutumia bunduki, n.k.

Kwani Marekani ni mbinguni? Au ukiingia marekani unapewa hela za bure? Au ukiingia marekani ni alama ya kufanikiwa na kutoka kimaisha? Marekani kuna nini mpaka kutishia watu "URUHUSIWI KUINGIA NCHINI MAREKANI" This is the highest level of stupidity!

Marekani si ni donor country[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ukipewa barua inayokutaka ukafanye kazi MAREKANI sidhani kama utajiuliza hayo maswali.
Marekani kuna masikini na mafukara waliopigika na ambao hawana tumaini la kutoka kimaisha maisha yao yoote. Marekani kuna magereza mengi kuliko vyuo na taasisi za kutoa elimu. Marekani ndo nchi inayoongoza duniani watu kuuana kwa kutumia bunduki, n.k.

Kwani Marekani ni mbinguni? Au ukiingia marekani unapewa hela za bure? Au ukiingia marekani ni alama ya kufanikiwa na kutoka kimaisha? Marekani kuna nini mpaka kutishia watu "URUHUSIWI KUINGIA NCHINI MAREKANI" This is the highest level of stupidity!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, kama Marekani hawana cha kukutishia, hakuna haja ya wewe kuumia, shangilia.
 
Back
Top Bottom