Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Marekani kuna masikini na mafukara waliopigika na ambao hawana tumaini la kutoka kimaisha maisha yao yoote. Marekani kuna magereza mengi kuliko vyuo na taasisi za kutoa elimu. Marekani ndo nchi inayoongoza duniani watu kuuana kwa kutumia bunduki, n.k.
Kwani Marekani ni mbinguni? Au ukiingia marekani unapewa hela za bure? Au ukiingia marekani ni alama ya kufanikiwa na kutoka kimaisha? Marekani kuna nini mpaka kutishia watu "URUHUSIWI KUINGIA NCHINI MAREKANI" This is the highest level of stupidity!