Kwani mkiachana lazima muwe maadui?

Una moyo wa pekee, hongera sana
 
Kwenye hiyo story sikusikia kile kipande cha huyo mkewe alipata bwana mwingine akahamia hapo... Hapo kila kitu kingebadilika na bill zikaachwa kulipa labda child support
 
Wachagga zamani walikuwa na sera ya kumwachia mama na watoto nyumba na kwenda tafta maisha mbali.
Changamoto ya wengi ni kuendelea kuhudumia pasipo kupewa utamuu, me wengi hawaezi kabsaaaa
 
Rudianeni acheni upuuzi huu mnafanya. Watoto wanajua kuwa hampo pamoja sio wajinga.
 
Maisha ya kuwa pamoja muda mrefu hala mmoja amuache mwenzake inauma sana lazima muwe maadui. Upendo hugeuka kuwa uhasama ni hatari kuna kutoana uhai hapo lazima mmoja ajiepushe aende mbali. Cha ajabu huwa kuna uwezokano wa kurudiana tena kwa mapenzi motomoto
 
Hebu rudia tena haya maelezo.
 
Wewe ni bwege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…