Kwani mkiachana lazima muwe maadui?

Kwani mkiachana lazima muwe maadui?

Mimi pia mke wangu alihamishiwa Dodoma kikazi, akawa analiwa na bosi wa wizara! Nikagundua tukaachana,

Lakini nyumbani nilipobaki na watoto chumba cha wageni ndio kilikuwa chake akija kusalimia watoto.

Akapata kesi kikazi mimi nilimchomoa kwenye msala kupitia kwa mjomba wangu aliye na nafasi kwenye vyombo vya sheria.

Sikukuu ya pasaka alikuja nyumbani tukafurahi kama hakuna jambo baya kati yetu.
Watoto wanaona sawa tu hawajui kinachoendelea.

Hatulali pamoja na hatushiriki ngono,ni marafiki sana,akiwa ana shida najiotoa kusaidia,hivyo hivyo nikiwa na shida namcheki.

Tunataniana pia ikibidi.

Pamoja na yaliyotokea bado ndiye mwanamke bora kabisa kuwahi kuwa naye , namuheshimu na kumpenda pia.
Hii imeniumiza moyo wangu honestly..pole sana kamanda na hongera...je mliachana kisheria na kugawana stahiki zenu???
 
Hapana nimeshaharibika! Tukio hilo lilinitikisa sana...

Nimekuwa malaya mno mkuu[emoji1][emoji1] ,nina wanawake wengi mno hadi najionea huruma.

Kurudiana ni ngumu kwasasa namuona kama mama yangu mzazi ,sitaki hata kuona paja lake,sina mzuka nae kabisa.
Aisee pole sana chief..this is really a heart breaking thing..mapenz huwa yanatugeuza sanaaaa aiseee...
 
Mwanamke unaweza kumsamehe kama hajakucheat. Otherwise usimpe nafasi hata ya kukusogelea.

NB.
Ujitafakari mwenyewe kama unao uwezo wa kumuacha huyo mwanamke.
Kwel aisee..kama alishawishika atoe papuchi na dume huko nje. Bas ni rahis tu akuroge uwe chizi
 
View attachment 2627724

Muigizaji Vin Diesel aliachana na mpenzi wake wa miaka mitatu, lakini walipoachana, hakumtoa nje ya nyumba yake, aliogopa kwamba angeishi maisha ya chini, hivyo alimuachia nyumba yao na yeye akaenda kupanga nyumba nyingine.
Sio hivyo tu, aliendelea kulipia bili zote kwaajili yake na binti yao na alikataa kabisa chombo chochote cha habari kuingilia au kuchapisha chochote kuhusu kutengana kwao. Baada ya miaka 6 huyo ex wake alipata ajali na alihitaji kuongezewa damu. Vin Diesel aliwahi haraka hospitalini kwenda kumuongezea damu na alipopona wakarudiana!

𝗖𝗛𝗔 𝗞𝗨𝗝𝗜𝗙𝗨𝗡𝗭𝗔: Nadhani tunatakiwa kuishi pamoja kwa upendo na unyenyekevu Ila ikitokea tumetengana basi isiwe vita, upendo na heshima ubaki kati yetu bila kujali kitakachotokea!
Ndiyo huyu?
 
Mimi pia mke wangu alihamishiwa Dodoma kikazi, akawa analiwa na bosi wa wizara! Nikagundua tukaachana,

Lakini nyumbani nilipobaki na watoto chumba cha wageni ndio kilikuwa chake akija kusalimia watoto.

Akapata kesi kikazi mimi nilimchomoa kwenye msala kupitia kwa mjomba wangu aliye na nafasi kwenye vyombo vya sheria.

Sikukuu ya pasaka alikuja nyumbani tukafurahi kama hakuna jambo baya kati yetu.
Watoto wanaona sawa tu hawajui kinachoendelea.

Hatulali pamoja na hatushiriki ngono,ni marafiki sana,akiwa ana shida najiotoa kusaidia,hivyo hivyo nikiwa na shida namcheki.

Tunataniana pia ikibidi.

Pamoja na yaliyotokea bado ndiye mwanamke bora kabisa kuwahi kuwa naye , namuheshimu na kumpenda pia.
Safi sana mwanawane ndio inavyotakiwa. Hatuwezi kuwa wapenzi haimaanishi hatuwezi kuendelea kuwa marafiki
 
View attachment 2627724

Muigizaji Vin Diesel aliachana na mpenzi wake wa miaka mitatu, lakini walipoachana, hakumtoa nje ya nyumba yake, aliogopa kwamba angeishi maisha ya chini, hivyo alimuachia nyumba yao na yeye akaenda kupanga nyumba nyingine.
Sio hivyo tu, aliendelea kulipia bili zote kwaajili yake na binti yao na alikataa kabisa chombo chochote cha habari kuingilia au kuchapisha chochote kuhusu kutengana kwao. Baada ya miaka 6 huyo ex wake alipata ajali na alihitaji kuongezewa damu. Vin Diesel aliwahi haraka hospitalini kwenda kumuongezea damu na alipopona wakarudiana!

𝗖𝗛𝗔 𝗞𝗨𝗝𝗜𝗙𝗨𝗡𝗭𝗔: Nadhani tunatakiwa kuishi pamoja kwa upendo na unyenyekevu Ila ikitokea tumetengana basi isiwe vita, upendo na heshima ubaki kati yetu bila kujali kitakachotokea!
-Mkiwa wawili maana yake kulikuwa na mapenzi.KUPENDANA/UPENZI/UPENDO.
-Mkiachana wakati mlikuwa mnapendana huleta taharuki na hasira.
-Hasira huambatana na wivu.
-Hasira+Wivu huzaa mawenge.
-Mawenge huzaa kutokujikubali(kukubali hali).
-Kutokukubaliana na hali huibua chuki.
Hivyo basi,chuki ya bwana ukijumlisha chuki ya bibie huzaa KUCHUKIANA= UADUI.
 
Mimi pia mke wangu alihamishiwa Dodoma kikazi, akawa analiwa na bosi wa wizara! Nikagundua tukaachana,

Lakini nyumbani nilipobaki na watoto chumba cha wageni ndio kilikuwa chake akija kusalimia watoto.

Akapata kesi kikazi mimi nilimchomoa kwenye msala kupitia kwa mjomba wangu aliye na nafasi kwenye vyombo vya sheria.

Sikukuu ya pasaka alikuja nyumbani tukafurahi kama hakuna jambo baya kati yetu.
Watoto wanaona sawa tu hawajui kinachoendelea.

Hatulali pamoja na hatushiriki ngono,ni marafiki sana,akiwa ana shida najiotoa kusaidia,hivyo hivyo nikiwa na shida namcheki.

Tunataniana pia ikibidi.

Pamoja na yaliyotokea bado ndiye mwanamke bora kabisa kuwahi kuwa naye , namuheshimu na kumpenda pia.
Kwa hiyo umeoa mwingine na yeye anaendelea kuliwa na Boss?
 
View attachment 2627724

Muigizaji Vin Diesel aliachana na mpenzi wake wa miaka mitatu, lakini walipoachana, hakumtoa nje ya nyumba yake, aliogopa kwamba angeishi maisha ya chini, hivyo alimuachia nyumba yao na yeye akaenda kupanga nyumba nyingine.
Sio hivyo tu, aliendelea kulipia bili zote kwaajili yake na binti yao na alikataa kabisa chombo chochote cha habari kuingilia au kuchapisha chochote kuhusu kutengana kwao. Baada ya miaka 6 huyo ex wake alipata ajali na alihitaji kuongezewa damu. Vin Diesel aliwahi haraka hospitalini kwenda kumuongezea damu na alipopona wakarudiana!

𝗖𝗛𝗔 𝗞𝗨𝗝𝗜𝗙𝗨𝗡𝗭𝗔: Nadhani tunatakiwa kuishi pamoja kwa upendo na unyenyekevu Ila ikitokea tumetengana basi isiwe vita, upendo na heshima ubaki kati yetu bila kujali kitakachotokea!
wenzetu hao mahusiano na ndoa ni suala binafsi tofauti na huku ni suala la ukoo. Ikitokea mmehitilafiana ktk ndoa si ajabu ndugu ndiyo wakawa wa kwanza kuchochea muachane. Ndugu wa mume watataka uachane na mkeo/mpenzi wako na ndugu wa mke watataka mali ziuzwe haraka mgawane. Kati yenu wawili mmoja lazima atawasikiliza ndugu na chuki itaanzia hapo.
 
Hta Mimi nilipitia hlo tuliachana na mke wangu lakni yeye akawa mtu wa chuki iliyopitiliza kwangu tena kuachana kwetu kuna kitu Kilichangia mambo za vikoba hizi alikuwa asikii nikimkataza mwisho wa siku akapata msala wa kuwapiga vikoba wenzie yeye na wenzie 2 akawa anadaiwa kma m8 wakampeleka polisi than segerea rafiki zake wakamkataa mjini hana kaka zake lakni hawaelewani ikabidi nitafutwe mimi nikapambana nikamtoa Kwa bondi bonye mahakamani hakuamini kma ntafanya Kwa yale aliyokuwa akinizungumzia Kwa raia but now amebakia mshikaji sana sometimes tunaonana miksa kula gambe akijipindua namega kisera Kila mtu anapita vile
 
Hainihusu tena...sina hisia zozote za wivu! Nilishapoteza pambano. Amenipa watoto watatu, sina nachomdai.

Nilipopita kugumu mno kumenifanya niwe imara sana.

Wafundishe na wanaume wenzako wengine njia umetumia....

Pamoja na uhasama/kutofautiana ila mwanaume anatakiwa kubaki kama mwanaume kama baba....

Heshima kwako Mkuu, salute.
 
Wengi mkiachana wanakuona mnaa, sijui shida iko wapi. Mimi binafsi sioni tatizo akiwa rafiki wa kawaida, ila nikiona you don't comply naendelea na mambo yangu.
 
Mimi pia mke wangu alihamishiwa Dodoma kikazi, akawa analiwa na bosi wa wizara! Nikagundua tukaachana,

Lakini nyumbani nilipobaki na watoto chumba cha wageni ndio kilikuwa chake akija kusalimia watoto.

Akapata kesi kikazi mimi nilimchomoa kwenye msala kupitia kwa mjomba wangu aliye na nafasi kwenye vyombo vya sheria.

Sikukuu ya pasaka alikuja nyumbani tukafurahi kama hakuna jambo baya kati yetu.
Watoto wanaona sawa tu hawajui kinachoendelea.

Hatulali pamoja na hatushiriki ngono,ni marafiki sana,akiwa ana shida najiotoa kusaidia,hivyo hivyo nikiwa na shida namcheki.

Tunataniana pia ikibidi.

Pamoja na yaliyotokea bado ndiye mwanamke bora kabisa kuwahi kuwa naye , namuheshimu na kumpenda pia.
Mkuu ujapewa chai iliyochujwa vizuri na kafuli?
 
Mie ukiachana siweki kinyongo wala nini na kuwa piece tu, hapo itategemea na muachwaji anakuwaje nae akiwa piece maisha anaendelea na siku wakisema kaumisi ukuni nampigia MBUPU.

HAWARA HANA TALAKA.
 
Back
Top Bottom