Kwani mkiachana lazima muwe maadui?

Kwani mkiachana lazima muwe maadui?

Kifamilia tu hakuna mgawanyo wowote wa mali
Kwahiyo hakuna talaka..
Je mlioana na mna cheti cha ndoa?

Maana kama mlioana na hamjaachana kwa talaka basi hiyo ndoa bado imooo na huwez kuoa mke mwingine kama wewe ni mkristu
 
Kwahiyo hakuna talaka..
Je mlioana na mna cheti cha ndoa?

Maana kama mlioana na hamjaachana kwa talaka basi hiyo ndoa bado imooo na huwez kuoa mke mwingine kama wewe ni mkristu
Ndoa ya kikristo na cheti kipo
 
Mkuu idhindi wa mambo magumu tayari unao.
Huenda sasa unaogopa jamii au ndg.
Mrudishe mzinzi mwenzako mmalize uzee huenda amejifunza
Hata biblia imekataa kumrudia mwanamke mzinzi halafu ndio unataka arudiane nae kisa tu walizaa pamoja
 
Baada ya miaka 6 huyo ex wake alipata ajali na alihitaji kuongezewa damu. Vin Diesel aliwahi haraka hospitalini kwenda kumuongezea damu na alipopona wakarudiana!
Huko alikokuwa alikuachaje? Au anasubiri nako kuishiwe damu akimbilie kudonate
 
Ndoa ya kikristo na cheti kipo
Basi kumbe hamjaachana ila mlichofanya ni kukubaliana kutokubaliana ndio maana mnaweza kuendelea hivyo.
Ila mkiachana kwa taraka mkagawana mali ile set back ya kurudishana nyuma kiutafutaji ndio ambayo hutengeneza chuki na kutotaka hata kuonana
 
Mimi pia mke wangu alihamishiwa Dodoma kikazi, akawa analiwa na bosi wa wizara! Nikagundua tukaachana,

Lakini nyumbani nilipobaki na watoto chumba cha wageni ndio kilikuwa chake akija kusalimia watoto.

Akapata kesi kikazi mimi nilimchomoa kwenye msala kupitia kwa mjomba wangu aliye na nafasi kwenye vyombo vya sheria.

Sikukuu ya pasaka alikuja nyumbani tukafurahi kama hakuna jambo baya kati yetu.
Watoto wanaona sawa tu hawajui kinachoendelea.

Hatulali pamoja na hatushiriki ngono,ni marafiki sana,akiwa ana shida najiotoa kusaidia,hivyo hivyo nikiwa na shida namcheki.

Tunataniana pia ikibidi.

Pamoja na yaliyotokea bado ndiye mwanamke bora kabisa kuwahi kuwa naye , namuheshimu na kumpenda pia.
Acha uhuni bro.
 
Wanawake wa Kiswahili wanatapika nyongo utasikia:-
Kibamia hicho
Kimoja chali
Mbahili
Shetani/Jini
Yaani anatukana baba/mama mkwe kama wame mkosea[emoji1787][emoji1787]
Tuliwahi kugombana na mchumba wangu akanitukana "mbwa wewe" baada ya hilo tusi nilikaa kimya, sikuwahi kumtafuta kwa namna yoyote(sio text wala kupiga simu)

Baada ya wiki mbili alianza kunitafuta na kutaka tuonane kwa mazungumzo, sikumjibu, akaanza kuniomba msamaha, sikumjibu kwa lolote mpaka leo, imeshapita miaka 2.5 sijawahi kuwasiliana naye!
,
Kuna mahusiano mengine hata huko friends zone hayafai kuwepo, unamsahau mtu kana kwamba hujawahi kumjua kabisa!
 
Hta Mimi nilipitia hlo tuliachana na mke wangu lakni yeye akawa mtu wa chuki iliyopitiliza kwangu tena kuachana kwetu kuna kitu Kilichangia mambo za vikoba hizi alikuwa asikii nikimkataza mwisho wa siku akapata msala wa kuwapiga vikoba wenzie yeye na wenzie 2 akawa anadaiwa kma m8 wakampeleka polisi than segerea rafiki zake wakamkataa mjini hana kaka zake lakni hawaelewani ikabidi nitafutwe mimi nikapambana nikamtoa Kwa bondi bonye mahakamani hakuamini kma ntafanya Kwa yale aliyokuwa akinizungumzia Kwa raia but now amebakia mshikaji sana sometimes tunaonana miksa kula gambe akijipindua namega kisera Kila mtu anapita vile
Kwa hiyo mkeo kageuka demu wako, ila tofauti ni kwamba haumuishi pamoja basiii...
 
Mimi pia mke wangu alihamishiwa Dodoma kikazi, akawa analiwa na bosi wa wizara! Nikagundua tukaachana,

Lakini nyumbani nilipobaki na watoto chumba cha wageni ndio kilikuwa chake akija kusalimia watoto.

Akapata kesi kikazi mimi nilimchomoa kwenye msala kupitia kwa mjomba wangu aliye na nafasi kwenye vyombo vya sheria.

Sikukuu ya pasaka alikuja nyumbani tukafurahi kama hakuna jambo baya kati yetu.
Watoto wanaona sawa tu hawajui kinachoendelea.

Hatulali pamoja na hatushiriki ngono,ni marafiki sana,akiwa ana shida najiotoa kusaidia,hivyo hivyo nikiwa na shida namcheki.

Tunataniana pia ikibidi.

Pamoja na yaliyotokea bado ndiye mwanamke bora kabisa kuwahi kuwa naye , namuheshimu na kumpenda pia.
Nimeipenda couple yenu

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Mstari unaotenganisha chuki na upendo ni mwembamba sana.
 
Kwa bongo kurudiana na mtu aidha ameshindwa kule alikoenda au anarud kukufanyia mbaya....full kulogana yaan tafran
 
Hapana nimeshaharibika! Tukio hilo lilinitikisa sana...

Nimekuwa malaya mno mkuu[emoji1][emoji1] ,nina wanawake wengi mno hadi najionea huruma.

Kurudiana ni ngumu kwasasa namuona kama mama yangu mzazi ,sitaki hata kuona paja lake,sina mzuka nae kabisa.
Mkuu nakuelewa mwanaume anaumia sana akiwa na hakika "mkewe", narudia tena mkewe ameliwa na fulani hii huwaga haiishi milele hata kama ikitokea mmesameheana.

Mara nyingi matokeo huwaga ni hayo, mwanaume kubadilika sana, hasira zote anamalizia kwa wanawake wengine anakuwa Malaya sana, na asipokuwa makini anaweza pata magonjwa.

Ila, siku kaa chini tafakari, ya kuwa je wewe hukuwahi m' cheat mkeo? Au ni mara ngapi umefanya hivyo na mmeyaongea na yakaisha? Kama aliweza kukusamehe kwa hayo na mengine uliyoyafanya wewe bila yeye Kujua basi, mkuu piga moyo konde, mrejee mkeo na mlee watoto. Kwani madhara yatokanayo na kutengana kwenu ni makubwa zaidi kuliko mkipambana kurejesha ndoa yenu. Tafuteni mtu either mwanasaikolojia au kiongozi wa dini mzungumze nae kwa kirefu sana.

Mkuu, chini ya jua hakuna mkamilifu, sote tuna makosa na hukosea sababu ya ubinaadamu wetu, haukuanzisha familia ili siku ifike mtengane kwani muwape watoto madhira kwa mambo yenu binafsi- watoto wana haki ya kuenjoy raha ya kukua na familia na siyo vinginevyo, ndoa ina changamoto nyingi na ni Safari ndefu sana.

Lakini ndoa ina siri kubwa mnooo, ambazo kila mtu akizisema hapa unaweza Sema ya kwangu ni ya kawaida. Bro hakuna ndoa ambayo haina changamoto, ukiona watu wamezeeka kwe ndoa jua tu wamepita changamoto nyingi sana, busara ya hali ya juu imetumika pamoja na uvumilivu usiowa kawaida.

Muhimu mmepeana nafasi (space) kwasasa, ni jambo Muhimu kwa kila mmoja wenu kujitafakari wapi alikosea na nini anatakiwa kufanya kama fursa ya kurudiana.
 
Kiongozi wa dini tena,yani umerudie Mwanamke mzinzi eti kisa tu na yeye kama Mwanamke alishawahi kulala na wanawake wengine?,utakuwa ni upumbavu wa karne.

Tambua fika mwanamke aliyechepuka ataendelea kuchepuka mpaka Mwisho wa maisha yake.
 
Back
Top Bottom