Kwani mkiachana lazima muwe maadui?

Kwani mkiachana lazima muwe maadui?

Ruhusu moyo upone.
Shida alifunuliwa...nawe umefunua sana.
Kubali muyamalize...umesema maisha mafupi na yamejaa ubatili
Bado anakidonda kinauma kwa ndani ndio maana imembidi kuwa na multi relationship kwa fujo aliamini na anaamini yamemponya maumivu lakini sivyo.
Ukiona mtu yeyote baada ya mahusiano kuvunjika amekuwa mrahibu wa pombe, umalaya, madawa au chochote jua aliumizwa na aliye mpenda sana hutamani kurudiana sababu ya bond iliyopo kabla tatizo bado hajafuta kumbukumbu mbaya iliyotokea kati yao.
 
na kwa nini uwahadhithie ndugu masuala yako na mkeo, na kama utawahadithia kwa nini usiweke mpaka wasikuingilie wakapitiliza? Kwa sababu unapaswa kujua kuwa huyo mnayeachana naye kama mmeshakuwa na watoto, lazima maisha yenu yote utawasiliana naye kwa njia moja au nyingine na si ajabu mkizeeka watoto wanaweza wakawakusanya kuwatunza. baba ukakaa kwa mtoto mmoja mama kwa mwingine.

Na hata hatma ya watoto baada ya kuachana haitakuwa juu ya ndugu zenu, itakuwa juu yenu ninyi wawili. Ni lazima ujue kufunga milango ndugu wasiwavuruge zaidi.
Safi sana,point nzuri sana hii
 
Sasa watoto hawaulizi kwann mama Yao analala chumba cha wageni ?
Niliwadanganya kila mtu na chumba chake kwahiyo hata wao kila mtu alala single ! Watajua wakiwa wakubwa kidogo ingawa huyu mkubwa ndio source wa haya yote.
Yeye alinisaniua kila kitu kinachofanywa na mama yake
 
U mwanaume wa tofauti wewe...

Uendelee na tabia hiyohiyo uiendeleze kwa watoto wako wa kiume, msimamo lakini wenye kuleta tija...[emoji106][emoji106]
Asante sana[emoji120]
 
Niliwadanganya kila mtu na chumba chake kwahiyo hata wao kila mtu alala single ! Watajua wakiwa wakubwa kidogo ingawa huyu mkubwa ndio source wa haya yote.
Yeye alinisaniua kila kitu kinachofanywa na mama yake
Pole chief Ila wakifika umri fulani let them know kabla mama hajawajaza uongo
 
Wafundishe na wanaume wenzako wengine njia umetumia....

Pamoja na uhasama/kutofautiana ila mwanaume anatakiwa kubaki kama mwanaume kama baba....

Heshima kwako Mkuu, salute.
[emoji120][emoji120]
 
Mkuu idhindi wa mambo magumu tayari unao.
Huenda sasa unaogopa jamii au ndg.
Mrudishe mzinzi mwenzako mmalize uzee huenda amejifunza
Hahaaa! Miye nilikuwa mtulivu sana akanivuruga akili...[emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom