Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #21
Sawa.Ushauri wako wa kwenye keyboard ni tofauti kabisa na hali halisi. Hata huyu diktekta uchwara alikuwa ame-set mambo ili wapinzani wagomee. Alishaandaa na wapinzani bandia ili washiriki kwenye uchaguzi wa bandia na wapewe viti vichache. Hali ilikuja badilika pale alipokuja Lissu na kubadilisha upepo hivyo ikabidi technics zibadilike. Kuhusu upinzani umepata nini kwa kushiriki uchaguzi well mimi nadhani watanzania wote na Magufuli mwenyewe wamejua hali halisi ya wananchi wanaionaje serikali ya Magufuli. Nadhani hata Magufuli mwenyewe ameshangaa jinsi alivyokataliwa pamoja na kudhani anapendwa sana. Kwa kifupi hisia za wananchi zimejionyesha hadharani.
Endeleeni kushiriki.