Kwani mngegomea, mngepungukiwa na nini?

Kwani mngegomea, mngepungukiwa na nini?

Ushauri wako wa kwenye keyboard ni tofauti kabisa na hali halisi. Hata huyu diktekta uchwara alikuwa ame-set mambo ili wapinzani wagomee. Alishaandaa na wapinzani bandia ili washiriki kwenye uchaguzi wa bandia na wapewe viti vichache. Hali ilikuja badilika pale alipokuja Lissu na kubadilisha upepo hivyo ikabidi technics zibadilike. Kuhusu upinzani umepata nini kwa kushiriki uchaguzi well mimi nadhani watanzania wote na Magufuli mwenyewe wamejua hali halisi ya wananchi wanaionaje serikali ya Magufuli. Nadhani hata Magufuli mwenyewe ameshangaa jinsi alivyokataliwa pamoja na kudhani anapendwa sana. Kwa kifupi hisia za wananchi zimejionyesha hadharani.
Sawa.

Endeleeni kushiriki.
 
Mashinikizo kwenye hizo taasisi wanayaweka kwa style gani mkuu hebu toa techniques ni jinsi gani watoe hayo mashinikizo kwa hizo taasisi?
Wala hakuna haja ya kuwapa ‘game’ watu wasiosikia.

Acha wafanye wanavyotaka.

Shauri yao.
 
Sawa.

Endeleeni kushiriki.
Ukiwa kama mtanzania mwenye upeo na mambo ya demokrasia na maendeleo hebu tuambie wewe unadhani njia gani zitumike kudai tume huru? Kwangu mimi nadhani wakati mzuri sana wa kudai tume huru ni kushiriki kwenye uchaguzi halafu matokeo yanapobakwa kama yalivyobakwa sasa hivi watu wanapata ''hasira na hamasa'' ya kuingia mitaani kudai tume huru. Kenya ilitokea hivi hivi. Kina Odinga wangekuwa wameamua kususia kama unavyo-suggest wewe mpaka leo pengine tusingekuwa na tume huru Kenya.
 
Uchaguzi ujao watu kiduchu as long as mshindi anajulilana kwa nini upoteze muda?
 
Ukiwa kama mtanzania mwenye upeo na mambo ya demokrasia na maendeleo hebu tuambie wewe unadhani njia gani zitumike kudai tume huru? Kwangu mimi nadhani wakati mzuri sana wa kudai tume huru ni kushiriki kwenye uchaguzi halafu matokeo yanapobakwa kama yalivyobakwa sasa hivi watu wanapata ''hasira na hamasa'' ya kuingia mitaani kudai tume huru. Kenya ilitokea hivi hivi. Kina Odinga wangekuwa wameamua kususia kama unavyo-suggest wewe mpaka leo pengine tusingekuwa na tume huru Kenya.
Niseme mara ngapi ilhali nishasema tokea 2010?

Nyie endeleeni tu kushiriki hizo chaguzi.

2025 nendeni na Shangazi.

2030 nendeni na Mange.
 
Hivi ni vyama vya waganga njaa, hawapiganii values. Wanatafuta ruzuku. Wakigoma hawapati ruzuku, ndio maana wanajitutumua angalau wapate chochote kitu.
Kweli kabisa, lakini sometimes we have to learn in hard way. Mashabiki maandazi labda watapungua turudi kujadili mustakabali wa Taifa letu bila mihemuko.

Upinzani hadi sasa wanashindwa kusimamisha wagombea majimbo yote, hili nani alaumiwe? Just a simple case, lazima tufahamu haitokuja siku CCM watawapa fair platform.

Kelele za JF na Tweeter huwadanganya sana kama vile zitageuka kura. Baada ya uchaguzi huu, kama wataingia tena awamu ijayo na mguu ule ule kama walivyopuuza maoni yetu baada ya zile blunders za 2015 watakula kisago kile kile.
 
Back
Top Bottom