Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
-
- #21
Sawa.Ushauri wako wa kwenye keyboard ni tofauti kabisa na hali halisi. Hata huyu diktekta uchwara alikuwa ame-set mambo ili wapinzani wagomee. Alishaandaa na wapinzani bandia ili washiriki kwenye uchaguzi wa bandia na wapewe viti vichache. Hali ilikuja badilika pale alipokuja Lissu na kubadilisha upepo hivyo ikabidi technics zibadilike. Kuhusu upinzani umepata nini kwa kushiriki uchaguzi well mimi nadhani watanzania wote na Magufuli mwenyewe wamejua hali halisi ya wananchi wanaionaje serikali ya Magufuli. Nadhani hata Magufuli mwenyewe ameshangaa jinsi alivyokataliwa pamoja na kudhani anapendwa sana. Kwa kifupi hisia za wananchi zimejionyesha hadharani.
Umelenga.Ruzukuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu period.
Wala hakuna haja ya kuwapa ‘game’ watu wasiosikia.Mashinikizo kwenye hizo taasisi wanayaweka kwa style gani mkuu hebu toa techniques ni jinsi gani watoe hayo mashinikizo kwa hizo taasisi?
Mkuu saidia tu hizo mbinu nasi wakereketwa wa democracy tutawapigia kelele wazifanyie kazi, wewe zi-mention tu inatosha kabisa.Wala hakuna haja ya kuwapa ‘game’ watu wasiosikia.
Acha wafanye wanavyotaka.
Shauri yao.
Ukiwa kama mtanzania mwenye upeo na mambo ya demokrasia na maendeleo hebu tuambie wewe unadhani njia gani zitumike kudai tume huru? Kwangu mimi nadhani wakati mzuri sana wa kudai tume huru ni kushiriki kwenye uchaguzi halafu matokeo yanapobakwa kama yalivyobakwa sasa hivi watu wanapata ''hasira na hamasa'' ya kuingia mitaani kudai tume huru. Kenya ilitokea hivi hivi. Kina Odinga wangekuwa wameamua kususia kama unavyo-suggest wewe mpaka leo pengine tusingekuwa na tume huru Kenya.Sawa.
Endeleeni kushiriki.
Sidhani kama atakuwa Rais wa maisha.Magufuli ana roho mbaya sijapata kuona. Walimwita JK dhaifu. Kweli Magufuli sasa atakuwa Rais wa maisha ila wananchi wajiandae kulia.
Niseme mara ngapi ilhali nishasema tokea 2010?Ukiwa kama mtanzania mwenye upeo na mambo ya demokrasia na maendeleo hebu tuambie wewe unadhani njia gani zitumike kudai tume huru? Kwangu mimi nadhani wakati mzuri sana wa kudai tume huru ni kushiriki kwenye uchaguzi halafu matokeo yanapobakwa kama yalivyobakwa sasa hivi watu wanapata ''hasira na hamasa'' ya kuingia mitaani kudai tume huru. Kenya ilitokea hivi hivi. Kina Odinga wangekuwa wameamua kususia kama unavyo-suggest wewe mpaka leo pengine tusingekuwa na tume huru Kenya.
Nope.mkuu saidia tu hizo mbinu nasi wakereketwa wa democracy tutawapigia kelele wazifanyie kazi, wewe zi-mention tu inatosha kabisa.
Haondoki huyu. Katiba inakwenda badilishwa. Kisingizio ni ili amalizie miradi yake.Sidhani kama atakuwa Rais wa maisha.
Ataindoka 2025.
Ila atahakikisha anamweka mtu wake.
We mzee ulikufia wapiHivi ni vyama vya waganga njaa, hawapiganii values. Wanatafuta ruzuku. Wakigoma hawapati ruzuku, ndio maana wanajitutumua angalau wapate chochote kitu.
2035 the latest.Haondoki huyu.Katiba inakwenda badilishwa.Kisingizio ni ili amalizie miradi yake.
Kweli kabisa, lakini sometimes we have to learn in hard way. Mashabiki maandazi labda watapungua turudi kujadili mustakabali wa Taifa letu bila mihemuko.Hivi ni vyama vya waganga njaa, hawapiganii values. Wanatafuta ruzuku. Wakigoma hawapati ruzuku, ndio maana wanajitutumua angalau wapate chochote kitu.
Huo ni utabiri tu kwa sasa.Haondoki huyu.Katiba inakwenda badilishwa.Kisingizio ni ili amalizie miradi yake.
Kwa Tanzania hilo halipo. Ni propaganda tu, ila kwa jinsi alivyojipanga, anaweza kufanikiwa kuweka mtu wake.Haondoki huyu.Katiba inakwenda badilishwa.Kisingizio ni ili amalizie miradi yake.