Kwani mngegomea, mngepungukiwa na nini?

I think migomo haisaidii. Haisaidii kabisa... wakae wajipange upya kimkakati. Hatakama wamechezewa foul.. lazima wajui wana counter vipi hizo mbinu.
Target yao kubwa iwe ni katiba katibaa.
 
Chama hakiwezi kua Kama kikigomea uchaguzi

Kumbuka hawajfanya siasa Miaka 5

Pamoja kuwa matokeo yamepikwa wazi wazi na kwa ubabe wa vyombo vya Dola

Ila wamesaidia kutoa elimu ya urai Hasa maeneo ya vijijini
 
Hapana!

Hakuna kilicho kipya!

Mazingira ya uchaguzi wa 2020 ndo yale yale ya 2015, 2010, 2005!

Tatizo ni usahaulifu wenu tu.
Sidhani uchafuzi wa miaka ya nyuma ulikuwa kwa kiwango hiki! Kumbuka miaka hiyo vyama vilifanya siasa wakati wote na pia wasimamizi wa uchaguzi si wote walikuwa makada wa CCM na pia hawakuteuliwa na Rais moja kwa moja bali walioteuliwa kulingana na seniority kulingana na utumishi serikalini.
Baadhi ya Wasimamizi wa sasa ambao ndiyo ma-DED hawakuwa hata watumishi katika serikali.
 
Boss, hapa tunajadili siasa hasa hatma ya upinzani. Chadema ni taasisi na hapa tunajadili hilo na hakuna uhusiano na mambo ya kitaifa kama uchumi, afya n.k .

Hapa tunaangalia Chadema kama taasisi na matatizo yake kama chama kikuu cha upinzani na jinsi hizo weakness zinavyochangia kukwamisha mabadiliko.

Kama unataka tuone tu makosa ya CCM hamtokuja kusaidia kushauri chama chenu ili iwe taasisi imara itayoweza kutwaa dola na kutawala kwa ufanisi.

Acheni behaviour kila mkishauriwa mnataka tulinganishe na CCM! Huo sio msingi wa chama mbadala.
 
Acha ujinga wewe! Unaangalia Chadema kama taasisi lakini unakwepa kuangalia UOZO unaoendelea Nchini kwa miaka mitano pamoja na huu uchaguzi FAKE! Akili za wapi hizi!? 😳😳😳
 
Ruzuku tamu aisee. Hadhi ya ubunge itarejea sasa kwamba mbunge huwajibika kwa wananchi kuliko ilivyokuwa kwa kina Mbowe. Huu mweleka waliopigwa, ni darsa tosha.
 
Acha ujinga wewe! Unaangalia Chadema kama taasisi lakini unakwepa kuangalia UOZO unaoendelea Nchini kwa miaka mitano pamoja na huu uchaguzi FAKE! Akili za wapi hizi!? 😳😳😳

Sijui alikua anatakaje ? Hamna white bila Black, hakuna kuongelea Chadema bila kugusa CCM

Mimi inaniuma sana,
 
Reactions: BAK
CCM siyo ya kuisusia uchaguzi bali kuitoa kwa maandamano ya amani tatizo hamna mpinzani mwenye uwezo wa kuita maandamano na watu wakaitikia wito na sababu ni moja tu.... wote ni hovyooo...kwasasa.
 
Mbona uncle akitukana wanawake au akitishia mnasema binadamu lakini upinzani ndo hawatakiwi kuwa na mapungufu.
 
uchaguzi 2020 fungua macho ya dunia about one notorious coward dictator
 
9
Acha ujinga wewe! Unaangalia Chadema kama taasisi lakini unakwepa kuangalia UOZO unaoendelea Nchini kwa miaka mitano pamoja na huu uchaguzi FAKE! Akili za wapi hizi!? 😳😳😳
Chadema tangu lini imekuwa taasisi?. Unajua maana ya taasisi wewe?. Acha ushabiki pori usio na mashiko. Kile chama cha Mbowe full stop. Kila kitu Mbowe, pesa Mbowe, viti maalum Mbowe unataka kuropoka nini?.
 
Waligomea Zanzibar, jamaa wakaendelea kutawala miaka mitano bila wao. Wamegomea chaguzi za mitaa, jamaa wakachukua 100% bila hata kusita. Safari hii wangegomea, CCM wasingefanya juhudi za ziada kuwashinda wakina Lipumba, Queen n.k. na wangeweza kusema kuwa wao wanaendesha uchaguzi wa haki na uwazi. Kwa CDM na ACT WAZALENDO kushiriki watu watapata nafasi wenyewe kuamua kama uchaguzi ulikuwa wa haki na uwazi. Na unawekaji shinikizo bila ushahidi?

Amandla...
 
I think migomo haisaidii. Haisaidii kabisa... wakae wajipange upya kimkakati. Hatakama wamechezewa foul.. lazima wajui wana counter vipi hizo mbinu.
Target yao kubwa iwe ni katiba katibaa.
Sawa.

Tuombe tu uzima ili tuwe mashuhuda na 2025!
 
Typical prisoner of the moment!

Hata 2025 si ajabu ukasema 2020 ilikuwa na afadhali!

Oh well...
 
Risasi za moto na virungu haziepukwi! Kwa kifipu vifo na majeraha ndiyo sucrifies ya kudai haki. Hata nchi unazoona zina maendeleo na democracy siku hizi kuna wali-sucrify ili kuleta mabadiliko. Naposema watanzania ni waoga nina maana kuogopa virungu na kuuawa! And I am afraid kusema kwamba katu kina Magufuli watakuja kukuachia kuwaachia watu waingie barabarani eti kwa amani...
 
Haya, sawa.

Na waendelee tu kushiriki kwenye hizo charade za CCM.
 
Tungepungukiwa na hayo masaburi yako makubwa ya kingosha
 
Maalim alishagomea na maisha yakaendelea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…