Kwani mngegomea, mngepungukiwa na nini?

Kwani mngegomea, mngepungukiwa na nini?

Hivi ni vyama vya waganga njaa, hawapiganii values. Wanatafuta ruzuku. Wakigoma hawapati ruzuku, ndio maana wanajitutumua angalau wapate chochote kitu.
Na CCM wao wakipata ushindi hela wanampelekea bibi yako....pumbaf sana
 
Kugomea ku atakuwa jiwe sustained.

Mambo ya kisiasa huwa hayana matokeo ya papo kwa papo.

Hata makaburu wa Afrika Kusini walipotengwa na jumuia ya kimataifa, hawakuacha ubaguzi wao siku ya kwanza.
Halafu siasa zina mambo mengi. Watawala watatafuta namna ya kujenga uhalali.

Wakususa CHADEMA, ACT.

CCM ikatoa pesa na uwezesho kwa ADA TADEA, CUF, SAU, DEMOJRASIA Makini tayari watahalalisha mchakato mzima.
 
Kweli kabisa, lakini sometimes we have to learn in hard way. Mashabiki maandazi labda watapungua turudi kujadili mustakabali wa Taifa letu bila mihemuko.

Upinzani hadi sasa wanashindwa kusimamisha wagombea majimbo yote, hili nani alaumiwe? Just a simple case, lazima tufahamu haitokuja siku CCM watawapa fair platform.

Kelele za JF na Tweeter huwadanganya sana kama vile zitageuka kura. Baada ya uchaguzi huu, kama wataingia tena awamu ijayo na mguu ule ule kama walivyopuuza maoni yetu baada ya zile blunders za 2015 watakula kisago kile kile.
Nawe hujielewi, tunajadili free and fair elction, wewe unaleta habari ya kusimamisha wagombea majimbo yote, kwani wakisimamisha ndio uchaguzi utakuwa huru?

Unaweza vipi kujadili mustakabali wa taifa kwa kichwa kibovu hivyo?! ukongwe wenu huku jf sometime ni bure kabisa, mnajidai tu.

This time wapinzani wamejitahidi kusimamisha wagombea sehemu kubwa sana ya nchi, matokeo yake wamepunguzwa kwa mapingamizi feki, na kura feki, sijui unaishi dunia gani!

Na kama unaona wapinzani hawawezi kupewa fair platform, then unataka tujadili nini?!
 
Unataka kusema kwamba udhalimu, unyanyasaji na ukadamizwaji unaofanywa na Chama tawala ni sawa hata Kama vyama pinzani havikugoma kushiriki katika uchaguzi?

Je wangegoma kushiriki katika uchaguzi mambo yangebadilika?

Je kugomea uchaguzi ndiyo njia sahihi ya kupambana na udhalimu unaofanywa na Chama tawala?
 
Hiki ulichoandika hapa kinaonyesha jinsi ulivyo ZERO BRAIN. Unajadili vipi mustakabali wa Taifa na dikteta asiyetaka mawazo mbadala wala kushauriwa na kishasema hadharani yeye hashauriki!?[emoji15]
Ndugu, nani kasema mjadiliane nae? In short upinzani wenyewe from within wana matatizo makubwa kabla hata hawajafikiria kuifurumusha CCM.

Kama mpaka uchaguzi huu bado hamjajifunza basi labda tusubiri kizazi kingine cha upinzani. Mnaposhauriwa mnajibu kwa matusi, mnataka mapambio tu na tuitukane CCM tu ndio muone tupo pamoja?

Mliingia mkenge kwa Lowasa,hamkujifunza bado mkaanza kushangilia mifarakano ya akina Nape, Makamba na baadae mkaletewa Membe kabisa. Mfumo wa siasa huu wa kudandia ovyo kila tukio sio ulioikuza Chadema tokea enzi za akina Bob Makani! Mbowe anapaswa kuachia ngazi damu mpya ziijenge upya Chadema na kuachana na kudandia siasa za CCM.
 
Nawe hujielewi, tunajadili free and fair elction, wewe unaleta habari ya kusimamisha wagombea majimbo yote, kwani wakisimamisha ndio uchaguzi utakuwa huru?

Unaweza vipi kujadili mustakabali wa taifa kwa kichwa kibovu hivyo?! ukongwe wenu huku jf sometime ni bure kabisa, mnajidai tu.

This time wapinzani wamejitahidi kusimamisha wagombea sehemu kubwa sana ya nchi, matokeo yake wamepunguzwa kwa mapingamizi feki, na kura feki, sijui unaishi dunia gani!

Na kama unaona wapinzani hawawezi kupewa fair platform, then unataka tujadili nini?!
Sikia wewe, hakuna atayekuja kukupa hiyo free and fair election! NEVER! mnamdai nani free and fair election? CCM?
 
Ndugu, nani kasema mjadiliane nae? In short upinzani wenyewe from within wana matatizo makubwa kabla hata hawajafikiria kuifurumusha CCM.

Kama mpaka uchaguzi huu bado hamjajifunza basi labda tusubiri kizazi kingine cha upinzani. Mnaposhauriwa mnajibu kwa matusi, mnataka mapambio tu na tuitukane CCM tu ndio muone tupo pamoja?

Mliingia mkenge kwa Lowasa,hamkujifunza bado mkaanza kushangilia mifarakano ya akina Nape, Makamba na baadae mkaletewa Membe kabisa. Mfumo wa siasa huu wa kudandia ovyo kila tukio sio ulioikuza Chadema tokea enzi za akina Bob Makani! Mbowe anapaswa kuachia ngazi damu mpya ziijenge upya Chadema na kuachana na kudandia siasa za CCM.
Hapa napo kuna uhusiano gani na kura feki zilizokamatwa kila mahali?!

Unazumgumzia matatizo ya upinzani "from within" hayo ndio yamesababisha kura feki?!

Unajaribu ku justify uhuni uliofanywa na Tume na CCM kwa kurudisha lawama zako kwa upinzani, this one from you is fake also.
 
NN mbona tumeliongelea miaka mingi! Tulisema wasusie badala ya kampeni wadai katiba na tume huru.
Mimi sikutegemea lolote tofauti na kilichotokea, hii ni open book exams , wameshindwa

Lakini kuna somo nimelipata bila kutarajia, aisee ! Inachukiwa, anachukiwa na wanachukiwa
Yaani hadi naona huruma. Mungu amenijaalia nimeishi awamu zote na kuona mengi, lakini hili la chuki linatisha
 
Hilo mbona linajulikana toka 1995!

True but 1995 unamskia Lyatonga analalamika kuibiwa tu na ITV filtered news.

In 2020 unaona live kwenye social media askari na bags za kura feki.

Even a doubting Thomas now believes.
 
Hizi ndio akili zenu! Bila mabadiliko Chadema from within msitegemee lolote huku nje. Ukitaka baki na ushabiki wako ila hutoona mabadiliko.
Unaambiwa ukweli wacha kujiliza!

We nawe ni shabiki tu sema hujioni, ushauri gani unao wakati unahamisha magoli hata ku stick kwenye point huwezi!
 
Naona unatetea majambazi wa ccm..
Wangegomea uchaguzi ili iweje?.
Swali kwanini ccm waibe kuraa?.
Kwanini unawashambulia upinzani kosa lao nini?.
Au ndo mahaba niue?
 
Hizi ndio akili zenu! Bila mabadiliko Chadema from within msitegemee lolote huku nje. Ukitaka baki na ushabiki wako ila hutoona mabadiliko.
Kwahiyo huwezi hata kukemea mauaji yanayofanywa na CCM huko Zanzibar hata kwasababu za kibinadamu tu kwakuwa wapinzani wana migogoro ?
 
Wewe nimekuuliza asubuhi ukakimbia, now nakuuliza tena;

Kama unaona kugoma ndio solution, mbona Seif aligoma Znz maisha yakaendelea? na mbona wapinzani waligoma S/M last year mambo yakaendelea?

Huoni huo utetezi wako ni wa kitoto, unataka wagome kila mwaka wa uchaguzi mwisho wake uwe nini?

Wewe unaejidai mpenda demokrasia umetoa mchango gani kwenye hili?au ndio unashikilia hoja moja tu; WAGOME, kitu kilichokuwa proved wrong over and over again!

Ningekuona wa maana kama atlist ungekuwa na idea tofauti ya kutafuta Katiba Mpya, unavyoendelea kushikilia wagome we ni kilaza tu.
Anasumbuliwa na Enterobius Vermicularis huyo mzee. Kisa ni platinum member basi anajikuta ameshakuwa lodi lofa kumbe mpuuzi mmoja tu ambaye ana hoja za kipuuzi kabisa.
 
Back
Top Bottom