Kwani mngegomea, mngepungukiwa na nini?

Kwani mngegomea, mngepungukiwa na nini?

Kwangu kushiriki uchaguz ni fursa isiopaswa kuachwa kwa sababu
[emoji3577]Tumekagua uhai wa chama to the grassroots
[emoji3577]Wamemuonesha mtawala vile hakubaliki.
[emoji3577]Wamefungua ufaham wa watu wengi zaid n kuongeza wanachama.
[emoji3577]Wamejenga Imani zaidi kwa watu.
[emoji3577]Wamesikiliza kero za watu.
Mwisho huwez msusia fisi bucha
Okay

Endeleeni tu kushiriki lakini mjue kamwe hamtoshinda chochote cha maana kama hakuna kitachobadilika.
 
Okay

Endeleeni tu kushiriki lakini mjue kamwe hamtoshinda chochote cha maana kama hakuna kitachobadilika.
Ushindi sio lazma kukalia kiti ata kufuta ujinga miongoni mwetun ushindi mkubwa. Tunarud kwenye chademanimsingi mtu kwa mtu[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]zaid2025
Transformation is a process n have a price
 
Alright.

All the best.
 
Risasi za moto na virungu haziepukwi! Kwa kifipu vifo na majeraha ndiyo sucrifies ya kudai haki. Hata nchi unazoona zina maendeleo na democracy siku hizi kuna wali-sucrify ili kuleta mabadiliko. Naposema watanzania ni waoga nina maana kuogopa virungu na kuuawa! And I am afraid kusema kwamba katu kina Magufuli watakuja kukuachia kuwaachia watu waingie barabarani eti kwa amani...
Kwa kweli kuhusu ushujaa wa ass-whoopin nawaachia wanaoweza! I don't wanna die easily!😂
 
Sawa.

Wafanye tu vyovyote vile wanavyotaka.

I don’t care no more.
Hahaha, wanakera sana. Ubishi ule ule, ikishuka nyundo wanalialia wiki moja mbili then maisha yanaendelea na kuanza kujipa matumaini upya.
 
Yeah, tayari e my name.

What’s the what?
Nilikuwa na shida hata ya kijikazi cha ndani huko US nko tayari niachane na huu ualimu wa chemistry my kaka
bongo nadhani hapatokalika kushinda ilivyokuwa
 
Okay

Endeleeni tu kushiriki lakini mjue kamwe hamtoshinda chochote cha maana kama hakuna kitachobadilika.
Mimi naona wagome kushiriki 2025, 2030, 2035, 2040 halafu possibly mwaka 2045 huku ccm watakumbuka, ACT na CHADEMA waligoma kushiriki uchaguzi mwaka 2025 Kwasababu hakuna Tume huru ya Uchaguzi, tuiweke ili waje tushiriki🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wizi mtupu yani saivi ni mwendo wa roho mbaya tu mizee zee yote na milofa mingine nitaifurahisha
Ona
tapatalk_1604058866525.jpeg
 
Swali kwa wapinzani.

Kwani mngegomea kushiriki haya maigizo ya uchaguzi wa 2020, mngepungukiwa na nini?

Na hivi mlivyoshiriki, mme-gain nini?

Mimi msimamo wangu uko wazi. Unajulikana.

Hakuna kushiriki chaguzi za maigizo ambazo mtu hauhitaji hata uwe genius kujua matokeo yake yatakuwaje.

Kushiriki chaguzi za hivyo, chaguzi za kutimiza wajibu tu, ni umajinuni.

Baadhi yenu mmetaja chaguzi za serikali za mitaa mwaka jana ambapo wapinzani walizisusia.

Kwanza, chaguzi za serikali za mitaa si sawa na uchaguzi mkuu.

Pili, migomo ya kushiriki chaguzi za maigizo ni lazima iwe endelevu.

Kama mwaka jana mligoma na CCM wakajipa ushindi wote, mwaka huu mmeshiriki na mmeambulia nini zaidi ya kipigo cha mbwa?

Zigomeeni hizo chaguzi. Wekeni mashinikizo mpaka zipatikane taasisi zilizo huru za kusimamia na kuendesha chaguzi.

La sivyo, mtaendelea kutegemea hisani ya CCM kupata ushindi.

Na siku mkikutana na jitu lenye roho mbaya, hata hizo nafasi chache mnazoshindaga, mtanyimwa.

Na jinsi mlivyo na vichwa vigumu, si ajabu mkaanza ule upuuzi wenu wa twende na Shangazi 2025.

Bure kabisa.
Umewapa za uso kweli kweli. Tunasubiri mabeberu waje kuwasaidia kuandamana.
 
Sina pakusema kilichomo moyoni kwangu mana naona jamiiforums inanibania kila nikileta uzi wangu unawekwa pembeni sijui shida nini huu ni ujinga.
 
Swali kwa wapinzani.

Kwani mngegomea kushiriki haya maigizo ya uchaguzi wa 2020, mngepungukiwa na nini?

Na hivi mlivyoshiriki, mme-gain nini?

Mimi msimamo wangu uko wazi. Unajulikana.

Hakuna kushiriki chaguzi za maigizo ambazo mtu hauhitaji hata uwe genius kujua matokeo yake yatakuwaje.

Kushiriki chaguzi za hivyo, chaguzi za kutimiza wajibu tu, ni umajinuni.

Baadhi yenu mmetaja chaguzi za serikali za mitaa mwaka jana ambapo wapinzani walizisusia.

Kwanza, chaguzi za serikali za mitaa si sawa na uchaguzi mkuu.

Pili, migomo ya kushiriki chaguzi za maigizo ni lazima iwe endelevu.

Kama mwaka jana mligoma na CCM wakajipa ushindi wote, mwaka huu mmeshiriki na mmeambulia nini zaidi ya kipigo cha mbwa?

Zigomeeni hizo chaguzi. Wekeni mashinikizo mpaka zipatikane taasisi zilizo huru za kusimamia na kuendesha chaguzi.

La sivyo, mtaendelea kutegemea hisani ya CCM kupata ushindi.

Na siku mkikutana na jitu lenye roho mbaya, hata hizo nafasi chache mnazoshindaga, mtanyimwa.

Na jinsi mlivyo na vichwa vigumu, si ajabu mkaanza ule upuuzi wenu wa twende na Shangazi 2025.

Bure kabisa.
Wangegoma huu uchafu uliofanyika usingekuwa exposed.
 
Wangegoma huu uchafu uliofanyika usingekuwa exposed.
Kwani kuna nini jipya ambalo lilikuwa halijulikani?

Tatizo lenu nyie ni we peso was kusahau!

2010 Slaa alilalamika kuibiwa kura.

2015 Lowassa naye hivyo hivyo.

Mlivyo wepesi kusahau, ikifika 2025 mtakuwa mshasahau haya ya 2020, mtaingia kwenye uchaguzi na mtaishia kupigwa tena na mtalia kama mliavyo hivi sasa!
 
Wewe ndiye utakuwa msahaukifu. Yakiyitokea 2010 na 2015 ni wizi wa kura.

Safari hii kura hazijaibiwa Bali wamejitangazia matokeo kama wanavyotaka.
 
Kugomea kunatakiwa kuwe sustained.

Mambo ya kisiasa huwa hayana matokeo ya papo kwa papo.

Hata makaburu wa Afrika Kusini walipotengwa na jumuia ya kimataifa, hawakuacha ubaguzi wao siku ya kwanza.
Kugoma bila support ya wananchi haisadii kitu.

Wanaopaswa kugoma ni wananchi na sio viongozi wa upinzani.
 
kugoma bila support ya wananchi haisadii kitu.

Wanaopaswa kugoma ni wananchi na sio viongozi wa upinzani.
Uongozi ni muhimu.

Wananchi hawawezi tu kujigomea wao bila ya kuwa na uongozi.

Movements za mabadiliko duniani kote huwa zina uongozi.
 
Uongozi ni muhimu.

Wananchi hawawezi tu kujigomea wao bila ya kuwa na uongozi.

Movements za mabadiliko duniani kote huwa zina uongozi.
Ndio na hao viongozi sio lazima wawe viongozi/wagombea wa upinzani.

Hapa hadi maisha yatupige vizuri ndio tutaelewa.Leo viongozi waupinzani wakigoma watu watapiga kura kama kawaida.
 
Back
Top Bottom