GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,241
- 3,800
Nyie kumbe watu ni wajanja sana mjue. Sema tu nyie bado hamjastukia dili.
Zile mbwembwe zote za Lema kuita press na kuongea mambo kibao ya kumkandia Mbowe na kumuunga mkono Lissu kumbe ni sound tu? Duuuuuuh!
Kumbe bwana Lema kisirisiri anampambania Mbowe ili ashinde? Kaaaaaaaaaa!
Eti wenyewe wanajiita "wataalamu wa hizi kazi". Au ukipenda waite "Wakali wa Logistics za Siasa".
Kumbe chama hakiendi kanda ya kati Ng'ooooo hata mfanye nini. Kinabaki kaskazini hiyoooo? Doooooh!
Ule msemo Siasa ni Sayansi sasa wao ndiyo sayansi yenyewe. Kiiiiiiii kweli balaa.
Kwani tarehe 21 mbali basi. Mbona kufumba na kufumbua tu tarehe 21 hiyo. Sasa hapo ndiyo tutajua chama kinaenda Singida au kinabaki kwenye asili yake.
Ngoja tuone "Wakali wa hizi" watakavyotusapraiz hiyo tarehe 21. Hahahahahaaaaaaaaa.