Nani wa kuboresha hii nchi? Kwa upande upi? Ajira? Haki na usawa? Barabara, huduma za kijamii? Ufisadi?Tuboreshe nchi yetu watu wasiwe wanakimbilia nchi za watu kwenda kudhalilishwa
Sahau kuiboresha hii inchi chini ya c.c.m naludia SAHAU.Kwa nini watu wanakimbilia South Africa na wakati wa south hawawataki? Kwani South Africa ni special sana?
Ni kweli kuna maisha mazuri au wengi wanavutiwa na yale mazingira?
Tuboreshe nchi yetu watu wasiwe wanakimbilia nchi za watu kwenda kudhalilishwa
Katiba mpya ikipatikana,hakushindwi kitu!Sahau kuiboresha hii inchi chini ya c.c.m naludia SAHAU.
Viongozi na wananchi kwa pamoja ndio wanafix nchi
Wananchi wenye utayari tunao, viongozi ndio bado hatujapata
Uliwahi kujiuliza kwanini pia watu hukimbilia marekani? Swali hilo hilo majibu yake ni hayo hayo kwa namna mmojaKwa nini watu wanakimbilia South Africa na wakati wa south hawawataki? Kwani South Africa ni special sana?
Ni kweli kuna maisha mazuri au wengi wanavutiwa na yale mazingira?
Tuboreshe nchi yetu watu wasiwe wanakimbilia nchi za watu kwenda kudhalilishwa
Viongozi wabaya au wazuri wanatokana na wananchi. Wanachi wa Tanzania waache kujidanganya kwamba wao wapo clean isipokuwa viongozi wao.Viongozi na wananchi kwa pamoja ndio wanafix nchi
Wananchi wenye utayari tunao, viongozi ndio bado hatujapata
Hapana mzee, Marekani ni tofauti na ina opportunities nyingi kwa watu wenye ujuzi, au wasomi nk. Fursa ni nyingi MarekaniUliwahi kujiuliza kwanini pia watu hukimbilia marekani? Swali hilo hilo majibu yake ni hayo hayo kwa namna mmoja
Swala la kuzalilishwa hata katika ngazi ya familia lipo, mkiwa 2 mmezaliwa mmoja akawa na hela na wewe hauna lazima asiyekuwanacho atajihisi anazalilishwa.
Maisha hayana cha mahali ulipo, maana hata huko unapoona ni salama kitu hicho hicho kinafanyika vile vile sema watu huwa hawakioni
Viongozi ndio wachafu zaidi, kwa sababu hata pamoja ya wananchi wengi kuwaona viongozi hawafai bado wameshindwa kuwatoa viongozi madarakani, wanang'ang'ania madarakani halafu hamna wanachofanyaViongozi wabaya au wazuri wanatokana na wananchi. Wanachi wa Tanzania waache kujidanganya kwamba wao wapo clean isipokuwa viongozi wao.
Najua ina itwa tz lakini c.c.m ndiyo wana ongoza tangu inchi ipate uhuru.Sijataja neno CCM ila. Si unajua hii nchi inaitwa Tanzania na sio CCM
Wananchi walio wengi wananufaika na ubovu wa hao viongozi ndio maana hauoni jitihada za makusudi zikifanyika kuwaondoa hao viongozi.Viongozi ndio wachafu zaidi, kwa sababu hata pamoja ya wananchi wengi kuwaona viongozi hawafai bado wameshindwa kuwatoa viongozi madarakani, wanang'ang'ania madarakani halafu hamna wanachofanya
Huwezi kukingia vifua viongozi wa Tanzania
Hivi ni kweli hakuna namna ya kuwatoa hawa mafisadi? Maana tumewachoka af mijitu migumu kutoka madarakani yani imeng'ang'ania wizi, hata hairidhikiNajua ina itwa tz lakini c.c.m ndiyo wana ongoza tangu inchi ipate uhuru.
Wewe una elewa nini ukisikia mafisadi wana takiwa watajwe tu ili waone aibu?
Wewe umewahi au kuishi kufika marekani?Hapana mzee, Marekani ni tofauti na ina opportunities nyingi kwa watu wenye ujuzi, au wasomi nk. Fursa ni nyingi Marekani
South Africa ni tofauti, kule hamna hizo opportunities kwa wananchi wa kawaida wa Kitanzania. Wengi wao wanaenda kuishi uswazi kwenye mazingira mabovu, mabandani. Sio kama Marekani