Kwani South Africa kuna maisha mazuri?

Kwani South Africa kuna maisha mazuri?

Kwa nini watu wanakimbilia South Africa na wakati wa south hawawataki? Kwani South Africa ni special sana?
Ni kweli kuna maisha mazuri au wengi wanavutiwa na yale mazingira?

Tuboreshe nchi yetu watu wasiwe wanakimbilia nchi za watu kwenda kudhalilishwa
Wepesi/Mazingira ya biashara Africa Kusini ni bora zaidi kuliko popote Africa.
 
Hapana mzee, Marekani ni tofauti na ina opportunities nyingi kwa watu wenye ujuzi, au wasomi nk. Fursa ni nyingi Marekani

South Africa ni tofauti, kule hamna hizo opportunities kwa wananchi wa kawaida wa Kitanzania. Wengi wao wanaenda kuishi uswazi kwenye mazingira mabovu, mabandani. Sio kama Marekani
South Africa ina fursa nyingi kuliko nchi yoyote Africa.
 
Hakika, shida vipaumbele vya maana hawavijui. Wako radhi kuspend billions kukarabati uwanja wa Mkapa kila baada ya miezi kadhaa ili wachote hela kuliko kutatua shida za wananchi
Mfumo unajuwa hilo

Ili umtawale mtu na kumkandamiza we mnyime vitu fulani,ili awe anakupigia magoti

Ova
 
South Africa ina fursa nyingi kuliko nchi yoyote Africa.
Nilikuwa nafananisha na Marekani kwenye hiyo post
Sio nchi za Africa. Africa nchi nyingi ni masikini tu
 
Umeona Wasouth wanavyofukuza waafrika? Waafrika wengi kazi walizokuwa wanazifanya huko ni kushona nguo, kufungua duka la rejareja nk
Sio kama Africans wanavyokuwa employed USA au scholarship nk
Mi naonaga wanaoenda S.A wengi wamekimbilia umasikini tu, coz si sawa na waafrika tunaoona wanaishi Marekani
Maisha kwa ujumla yana mambo mengi sana, swala ha za sauzi kuwashambulia wageni sioni kama ni jambo kubwa maana hata nyumbani pia ukienda upareni ukiwa wewe ni mgogo unaweza shambuliwa vilevile

Vurugu za sauzi sio tuu kwa wabongo pale kwa watu wamataifa mbalimbali walioko hayo maeneo ambayo kuna vurugu
 
South ndo Beach zuri kwa wapambanaji compared to other African countries

Pia ni shortcut nzuri kwa wale wanaohitaji kwenda majuu
 
Viongozi na wananchi kwa pamoja ndio wanafix nchi
Wananchi wenye utayari tunao, viongozi ndio bado hatujapata
Sasa unaijengaje nchi wakati viongozi hawana utayar ni sawa na KUWA tayari kujenga nyumbani kwenu wakati baba YAKO hataki.

South Kuna fursa , south ni patamu shida ya south ni raia wavivu wasiotaka kutafuta mkate Kwa jasho , ni sawa TU na wazanzibari kutwa barazani halafu wanasoma wageni wanqchakalila na Kupata Mali wanaona wanawaibia fursa.

Uvivu SABABU, kule kuna ushindani mkubwa babu
 
Kwa nini watu wanakimbilia South Africa na wakati wa south hawawataki? Kwani South Africa ni special sana?
Ni kweli kuna maisha mazuri au wengi wanavutiwa na yale mazingira?

Tuboreshe nchi yetu watu wasiwe wanakimbilia nchi za watu kwenda kudhalilishwa
kuna mademu wakali
 
Hamna lolote hao waswazi wanaishi maisha ya tabu huko kwenye mitaa mizuri makaburu hawajaondoka na wao wameshika kila kitu.
Hawa manyani wanasema wanapigania nchi yao nchi gani ambayo waholland wako pale mazima.
 
Maisha kwa ujumla yana mambo mengi sana, swala ha za sauzi kuwashambulia wageni sioni kama ni jambo kubwa maana hata nyumbani pia ukienda upareni ukiwa wewe ni mgogo unaweza shambuliwa vilevile

Vurugu za sauzi sio tuu kwa wabongo pale kwa watu wamataifa mbalimbali walioko hayo maeneo ambayo kuna vurugu
Kuna sehemu inaitwa kitandalilo,njombe huko kuna kijiji wanaua wageni na polisi hamna hicho kijiji........mimi ilibaki kidogo niwe r.i.p
 
Back
Top Bottom