Kwani South Africa kuna maisha mazuri?

Kwani South Africa kuna maisha mazuri?

Hapana mzee, Marekani ni tofauti na ina opportunities nyingi kwa watu wenye ujuzi, au wasomi nk. Fursa ni nyingi Marekani

South Africa ni tofauti, kule hamna hizo opportunities kwa wananchi wa kawaida wa Kitanzania. Wengi wao wanaenda kuishi uswazi kwenye mazingira mabovu, mabandani. Sio kama Marekani
Ndugu South Africa ni marekani ya Afrika kama hujui.

Afrika yote kila taifa wananchi wake wako pale. Ulishawahi kujiuliza kwanini mzungu yuko pale asiende kenya wala Congo wala kwingine au wasije hapo Tanzania
 
South ipo juu kuanzia per capita, nominal na purchasing power. Hata demokrasia yao ni nzuri ukilinganisha na Tz. Hapa Tz tuna import bidhaa nyingi sana kutoka South. Hivo ni sawa watu wakizamia huko kutafuta fursa.
 
Zilifanyika jitihada kubwa kuwaondoa hao viongozi. Labda kama umesahau October 29 mapema hivi
Kama upo serious, kilichofanyika 29 oktoba haiwezi kukiita kililenga kuwaondoa hao viongozi.

Ndio maana watu walishia kuwatia umaskini , wananchi wenzao badala ya kuwa eliminate hao mafisadi.
 
Ndugu South Africa ni marekani ya Afrika kama hujui.

Afrika yote kila taifa wananchi wake wako pale. Ulishawahi kujiuliza kwanini mzungu yuko pale asiende kenya wala Congo wala kwingine au wasije hapo Tanzania
Umeona Wasouth wanavyofukuza waafrika? Waafrika wengi kazi walizokuwa wanazifanya huko ni kushona nguo, kufungua duka la rejareja nk
Sio kama Africans wanavyokuwa employed USA au scholarship nk
Mi naonaga wanaoenda S.A wengi wamekimbilia umasikini tu, coz si sawa na waafrika tunaoona wanaishi Marekani
 
South ipo juu kuanzia per capita, nominal na purchasing power. Hata demokrasia yao ni nzuri ukilinganisha na Tz. Hapa Tz tuna import bidhaa nyingi sana kutoka South. Hivo ni sawa watu wakizamia huko kutafuta fursa.
Good, then tunapaswa kufanya hizo fursa ziwepo hapa Tanzania
 
Ukifika na kuishi nao kuna mtazamo upya utaupata.
Mbona Black Americans huwa nawaona kwenye debate wakibishana kwa nini Waafrika wanaishi Marekani vizuri kuliko average Black Americans
Pia Nigerians ni one of the highest educated group of people in USA
Sijawahi kusikia hii South Africa. Wengi huko Mzansi nasikia wanajihusisha na madawa ya kulevya
 
Good, then tunapaswa kufanya hizo fursa ziwepo hapa Tanzania
Fursa zipo Tz shida ni mitaji, mfano huku mahenge kuna dhahabu nyingi na almasi pia ipo ila watu mitaji ndio shida ndio maana makampuni kama barrick utayakuta dunia nzima.
Pia serikali ingeweka nguvu kwenye small scale industries kama china kuna hatua tungepiga. Tofauti na hapo acha watu wachochore.
 
Mbona Black Americans huwa nawaona kwenye debate wakibishana kwa nini Waafrika wanaishi Marekani vizuri kuliko average Black Americans
Pia Nigerians ni one of the highest educated group of people in USA
Sijawahi kusikia hii South Africa. Wengi huko Mzansi nasikia wanajihusisha na madawa ya kulevya
Acha kutegemea sana media. Unalishwa kile wanachokipenda wao.

Ndio maana raia wa kiarabu akiua watu huko Marekani utasikia anaitwa gaidi, ila yule mwamba mzungu aliyetaka kumbutua kichaa Trump hakuwahi kuitwa Gaidi.
 
Fursa zipo Tz shida ni mitaji, mfano huku mahenge kuna dhahabu nyingi na almasi pia ipo ila watu mitaji ndio shida ndio maana makampuni kama barrick utayakuta dunia nzima.
Pia serikali ingeweka nguvu kwenye small scale industries kama china kuna hatua tungepiga. Tofauti na hapo acha watu wachochore.
Sahihi, kwa nini wasiweke nguvu kwenye small na medium scale industries
Kwangu naona ni muhimu kuliko kujenga viwanja vya mpira kwa ajili ya World Cup ya 2050s ambao naona Msigwa ndio anaiwazia muda wote, halafu vitu basic kwa wananchi wao hawavifikirii
 
Hapana mzee, Marekani ni tofauti na ina opportunities nyingi kwa watu wenye ujuzi, au wasomi nk. Fursa ni nyingi Marekani

South Africa ni tofauti, kule hamna hizo opportunities kwa wananchi wa kawaida wa Kitanzania. Wengi wao wanaenda kuishi uswazi kwenye mazingira mabovu, mabandani. Sio kama Marekani
Hata south afrika kuna opportunities nyingi tu
Inategemea unaendaje huko na kufanya nini!

Ova
 
Umeona Wasouth wanavyofukuza waafrika? Waafrika wengi kazi walizokuwa wanazifanya huko ni kushona nguo, kufungua duka la rejareja nk
Sio kama Africans wanavyokuwa employed USA au scholarship nk
Mi naonaga wanaoenda S.A wengi wamekimbilia umasikini tu, coz si sawa na waafrika tunaoona wanaishi Marekani
Sasa hao wanaowafukuza wageni wengi wao wapuz tu
Na wavivu tu
Najuwa wanasingizia kuwa wageni ndiyo wanafanya uhalifu +mambo ya madawa
Ila wazawa huko wengi wao ni wavivu
Wageni wakishaingia nchini mwako na kuwapa fursa lazima wataleta competition

Ova
 
Sahihi, kwa nini wasiweke nguvu kwenye small na medium scale industries
Kwangu naona ni muhimu kuliko kujenga viwanja vya mpira kwa ajili ya World Cup ya 2050s ambao naona Msigwa ndio anaiwazia muda wote, halafu vitu basic kwa wananchi wao hawavifikirii
Wangewekeza nguvu kwenye kilimo tu wangeona
Achana na mambo yao ya bbt sjui baba t siasa nyungi

Hakika, shida vipaumbele vya maana hawavijui. Wako radhi kuspend billions kukarabati uwanja wa Mkapa kila baada ya miezi kadhaa ili wachote hela kuliko kutatua shida za wananchi
 
Kwa nini watu wanakimbilia South Africa na wakati wa south hawawataki? Kwani South Africa ni special sana?
Ni kweli kuna maisha mazuri au wengi wanavutiwa na yale mazingira?

Tuboreshe nchi yetu watu wasiwe wanakimbilia nchi za watu kwenda kudhalilishwa
Hakuna maisha mazuri huko zaidi ya uharamia. Is the riskiest country in Africa.

Bora sehemu kama Botswana n.k
 
South Afrika kuna warembo. Binafsi niliishia Eswatini nikalowea kama miezi mitatu. Watoto wa South ni wakali, acha twende huko tukachanganye damu.
 
Back
Top Bottom