Wepesi/Mazingira ya biashara Africa Kusini ni bora zaidi kuliko popote Africa.Kwa nini watu wanakimbilia South Africa na wakati wa south hawawataki? Kwani South Africa ni special sana?
Ni kweli kuna maisha mazuri au wengi wanavutiwa na yale mazingira?
Tuboreshe nchi yetu watu wasiwe wanakimbilia nchi za watu kwenda kudhalilishwa
South Africa ina fursa nyingi kuliko nchi yoyote Africa.Hapana mzee, Marekani ni tofauti na ina opportunities nyingi kwa watu wenye ujuzi, au wasomi nk. Fursa ni nyingi Marekani
South Africa ni tofauti, kule hamna hizo opportunities kwa wananchi wa kawaida wa Kitanzania. Wengi wao wanaenda kuishi uswazi kwenye mazingira mabovu, mabandani. Sio kama Marekani
Mfumo unajuwa hiloHakika, shida vipaumbele vya maana hawavijui. Wako radhi kuspend billions kukarabati uwanja wa Mkapa kila baada ya miezi kadhaa ili wachote hela kuliko kutatua shida za wananchi
Maisha kwa ujumla yana mambo mengi sana, swala ha za sauzi kuwashambulia wageni sioni kama ni jambo kubwa maana hata nyumbani pia ukienda upareni ukiwa wewe ni mgogo unaweza shambuliwa vilevileUmeona Wasouth wanavyofukuza waafrika? Waafrika wengi kazi walizokuwa wanazifanya huko ni kushona nguo, kufungua duka la rejareja nk
Sio kama Africans wanavyokuwa employed USA au scholarship nk
Mi naonaga wanaoenda S.A wengi wamekimbilia umasikini tu, coz si sawa na waafrika tunaoona wanaishi Marekani
Sasa unaijengaje nchi wakati viongozi hawana utayar ni sawa na KUWA tayari kujenga nyumbani kwenu wakati baba YAKO hataki.Viongozi na wananchi kwa pamoja ndio wanafix nchi
Wananchi wenye utayari tunao, viongozi ndio bado hatujapata
kuna mademu wakaliKwa nini watu wanakimbilia South Africa na wakati wa south hawawataki? Kwani South Africa ni special sana?
Ni kweli kuna maisha mazuri au wengi wanavutiwa na yale mazingira?
Tuboreshe nchi yetu watu wasiwe wanakimbilia nchi za watu kwenda kudhalilishwa
Sasa una jam nini tuache tueende bhn woiUtajua mwenyewe
Hamna lolote hao waswazi wanaishi maisha ya tabu huko kwenye mitaa mizuri makaburu hawajaondoka na wao wameshika kila kitu.Kwa nini watu wanakimbilia South Africa na wakati wa south hawawataki? Kwani South Africa ni special sana?
Ni kweli kuna maisha mazuri au wengi wanavutiwa na yale mazingira?
Tuboreshe nchi yetu watu wasiwe wanakimbilia nchi za watu kwenda kudhalilishwa
Ukipata upenyo kimbia ,hiyo nchi inawenyeweFata mkumbo tu mtu mnaenda nchi za watu huna ujuzi wowote mnabaki kua Wala unga ndo maana vifo Kila siku
Kuna sehemu inaitwa kitandalilo,njombe huko kuna kijiji wanaua wageni na polisi hamna hicho kijiji........mimi ilibaki kidogo niwe r.i.pMaisha kwa ujumla yana mambo mengi sana, swala ha za sauzi kuwashambulia wageni sioni kama ni jambo kubwa maana hata nyumbani pia ukienda upareni ukiwa wewe ni mgogo unaweza shambuliwa vilevile
Vurugu za sauzi sio tuu kwa wabongo pale kwa watu wamataifa mbalimbali walioko hayo maeneo ambayo kuna vurugu