Hamna niliejutia kuwa nae kimapenzi kwa wotee wa nyumba hata kwa walionitenda..huyu wa sasa ndo kabisa nashukuru nimekutana nae maishani maana naweza kumu-accomodate naye vivyo hivyo, penye matatizo ya hapa na pale nachukulia ni changamoto na kashkash za hapa na pale.
Vipi wewe Eiyer? leta ukweli wako!!
BelindaJacob,yani kuna wanawake wawili hivi nisingependa kuwafaham kabisaaaaa!
Hamna niliejutia kuwa nae kimapenzi kwa wotee wa nyumba hata kwa walionitenda..huyu wa sasa ndo kabisa nashukuru nimekutana nae maishani maana naweza kumu-accomodate naye vivyo hivyo, penye matatizo ya hapa na pale nachukulia ni changamoto na kashkash za hapa na pale.
Vipi wewe Eiyer? leta ukweli wako!!
Kuna watu wanatamani siku zirudi nyuma wasahihishe makosa waliyotenda.Sasa nakuuliza,je huyo mkeo/mumeo unajuta kuwa nae,huyo mchumba wako unajuta kumchumbia/kuchumbiwa nae?Vipi kama siku zikirudishwa nyuma ungekubali kujihusisha nae au ungepita mbali hata usingetaka salam yake?Sema ukweli tu. . . . . . .!!
Aliyekujibu kuwa hajutii Au anajutia ni muongo... anasahau kuwa siku zikirudi nyuma anaweza ukavuka hata ile siku aliyoonana naye huyo aliyenaye na hivyo anakuwa hamjui. Kumbuka ukirudisha nyuma siku, rudisha na kila kitu kilichotokea/kilichopangwa siku hiyoKuna watu wanatamani siku zirudi nyuma wasahihishe makosa waliyotenda.Sasa nakuuliza,je huyo mkeo/mumeo unajuta kuwa nae,huyo mchumba wako unajuta kumchumbia/kuchumbiwa nae?Vipi kama siku zikirudishwa nyuma ungekubali kujihusisha nae au ungepita mbali hata usingetaka salam yake?Sema ukweli tu. . . . . . .!!
Aaah!Ndo nini hivyo?Tuambie kama una majuto yoyote!