Kwani ukisema ukweli kuna nini bana??. . . .

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,891
Kuna watu wanatamani siku zirudi nyuma wasahihishe makosa waliyotenda.Sasa nakuuliza,je huyo mkeo/mumeo unajuta kuwa nae,huyo mchumba wako unajuta kumchumbia/kuchumbiwa nae?Vipi kama siku zikirudishwa nyuma ungekubali kujihusisha nae au ungepita mbali hata usingetaka salam yake?Sema ukweli tu. . . . . . .!!
 
Sijawahi kumpata wa kumlinganisha na mke wangu. Hakuna aliyewahi kuvunja record ya kunipa raha kama ile ninayopata kwa ma wife. Hapa siongelei sura na ukubwa wa masaburi, naongelea tabia za jumla.
 
Hamna niliejutia kuwa nae kimapenzi kwa wotee wa nyumba hata kwa walionitenda..huyu wa sasa ndo kabisa nashukuru nimekutana nae maishani maana naweza kumu-accomodate naye vivyo hivyo, penye matatizo ya hapa na pale nachukulia ni changamoto na kashkash za hapa na pale.

Vipi wewe Eiyer? leta ukweli wako!!
 
Hongera! Mie hapa leo msomaji kwa sana....
 
BelindaJacob,yani kuna wanawake wawili hivi nisingependa kuwafaham kabisaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Naamini kila kitu hu happen for the purpose, inaweza ikawa kukustrengthen, kukutayarisha kwa bigger challenges ahead, au kukufundisha!

So l have decided not waste my time n energy kujuta na kulive the moment, wisely lkn!
 
Hamna niliejutia kuwa nae kimapenzi kwa wotee wa nyumba hata kwa walionitenda..huyu wa sasa ndo kabisa nashukuru nimekutana nae maishani maana naweza kumu-accomodate naye vivyo hivyo, penye matatizo ya hapa na pale nachukulia ni changamoto na kashkash za hapa na pale.

Vipi wewe Eiyer? leta ukweli wako!!

....Naam BJ maisha ni safari ndefu kuna milima na mabonde ya kila aina. Hivyo hakuna sababu ya kupoteza muda kujutia lolote lile la nyuma. Yaliyopita si ndwele.....
 
BAK
Looking for u; u left unfinished business, mtaa wa juu!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuna watu wanatamani siku zirudi nyuma wasahihishe makosa waliyotenda.Sasa nakuuliza,je huyo mkeo/mumeo unajuta kuwa nae,huyo mchumba wako unajuta kumchumbia/kuchumbiwa nae?Vipi kama siku zikirudishwa nyuma ungekubali kujihusisha nae au ungepita mbali hata usingetaka salam yake?Sema ukweli tu. . . . . . .!!

Aise ningemkwepa kama ukoma acha salam hata sura yake sitaki niione
 
I never regret anything in my life cause once it was exactly what i wanted!hua naamini kila kinachotokea kwenye maisha kina sababu tena ya msingi...
 
Kuna watu wanatamani siku zirudi nyuma wasahihishe makosa waliyotenda.Sasa nakuuliza,je huyo mkeo/mumeo unajuta kuwa nae,huyo mchumba wako unajuta kumchumbia/kuchumbiwa nae?Vipi kama siku zikirudishwa nyuma ungekubali kujihusisha nae au ungepita mbali hata usingetaka salam yake?Sema ukweli tu. . . . . . .!!
Aliyekujibu kuwa hajutii Au anajutia ni muongo... anasahau kuwa siku zikirudi nyuma anaweza ukavuka hata ile siku aliyoonana naye huyo aliyenaye na hivyo anakuwa hamjui. Kumbuka ukirudisha nyuma siku, rudisha na kila kitu kilichotokea/kilichopangwa siku hiyo
 
Usiniambie hakuna kitu positive hata kimoja wameimpact katika maisha yako?

Mi napenda niwe mkweli,Kwenye mahusiano HAKUNA!Labda mahusiano yajayo!
 
Kaunga,sidhani kama kila jambo linatokea kwa sababu,mengine ni yakuepuka!
 
Last edited by a moderator:
aah nafurahi sina cha kusahihisha cha nyuma,wala sina jutio kabisa...maisha full shangwe:A S-heart-2:
 
Back
Top Bottom