Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Kuna watu wanatamani siku zirudi nyuma wasahihishe makosa waliyotenda.Sasa nakuuliza,je huyo mkeo/mumeo unajuta kuwa nae,huyo mchumba wako unajuta kumchumbia/kuchumbiwa nae?Vipi kama siku zikirudishwa nyuma ungekubali kujihusisha nae au ungepita mbali hata usingetaka salam yake?Sema ukweli tu. . . . . . .!!