Kwani urais Tanzania unatokea kama zari? Kwa nini mtu akijiandaa nao anaonekana amekosea sana! Which is which, zai ka la jpm au kuniandaa?

Kwani urais Tanzania unatokea kama zari? Kwa nini mtu akijiandaa nao anaonekana amekosea sana! Which is which, zai ka la jpm au kuniandaa?

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Hii tamadani inayojijenga tanzania siyo nzuri kabisa. Mtu akijiandaa kwa mda mrefu kwa ajiri ya urais ataundiwa zengwe mpaka ataonekana ni jambazi.

Ninachofahamu mimi kila position huwa ina maamdalizi kwa anayetaka siyo kumlazimisha kama alivyolazimishwa jpm. Na ndo mana uongozi wake kulikuwa na maauaji mengi yaani kila anayedhani kushindana naye ama anamuua au anampoteza mazima. Hii ni effect ya kutojindaa kiuongozi.

Ndo mana mara nyingi kuna usaaili au kutuma maombi ni moja ya maamdalizi mapema.

Kwa nini tunataka kujenga culture ya mtu kuwa rais iwe zari la mentali.
 
Huku watadhani unataka kumtoa Rais hata kwa kumuua. Kwanini upange baraza lako kabla ya uchaguzi.
Angekuwq hana connection si ajabu angepewa kesi ya uhaini
 
Swali zuri sana umeuliza.

Mtu akitaka kuwa Dokta anasoma PCB na anajiandaa vizuri tu, ukitaka kuwa askari unapambana na ukomavu sasa kwann mtu akijiandaa kuwa Presidaa inakuwa nongwa jamani?
 
Back
Top Bottom