Kama anakupenda atakuelewa kama anataka huduma tu bhasi atatafuta mwingine au ataendelea kulalamika kila siku[emoji23][emoji23][emoji23] ulitisha mkuu hukutaka kusjmbuliwa kabsa
Kuna mahusiano mengine unakuta upweke had unajiuliza am I really dating someone?Na anaweza kuwa anampa muda wake lakini hampi attention, yaani wapo wote lakini anafanya mambo mengine
Sawa mkuu muda nitakupa lakini sio wote kumbuka nina pambana kutafuta hela na wewe unahtaji huduma alafu unataka muda wangu wote ningumu siwezi kwakweli akatafute tu atakae weza kumfanyia hivyoKuna mahusiano mengine unakuta upweke had unajiuliza am I really dating someone?
Nina mahusiano au nko single?
Katika kipengele cha mda kinahitaji somo.
Mda unasaidia sana kutengeza bond kati ya wapenzi.sio wapenzi tu hata familia na watoto.
Mtu upo nae lakini bize na simu sijui computer mnashinda ndani hivo kweli?
Inaonekana yuko idle , hana kazi, mtafutie shughuli hata ya gengeAcha tu mkuu asante Sana ila mwache aendee nishachoka
Oh kwahiyo anataka muda wotee?Sawa mkuu muda nitakupa lakini sio wote kumbuka nina pambana kutafuta hela na wewe unahtaji huduma alafu unataka muda wangu wote ningumu siwezi kwakweli akatafute tu atakae weza kumfanyia hivyo
Njoo piemu chap kwa haraka kabla mambo hayajawa mengiKweli kabsa mamaa inabidi tuongee nahsi you are so differ
Kuna mahusiano mengine unakuta upweke had unajiuliza am I really dating someone?
Nina mahusiano au nko single?
Katika kipengele cha mda kinahitaji somo.
Mda unasaidia sana kutengeza bond kati ya wapenzi.sio wapenzi tu hata familia na watoto.
Mtu upo nae lakini bize na simu sijui computer mnashinda ndani hivo kweli?
Daah attention [emoji848][emoji848]
Hawa viumbe ni shida sana sema tu ndio wana utamu wao unao fanya watusumbue na kutuumiza vichwa.
Heheheheh hayaa mkuu mi ngoja ninyamaze kwa hii comment yakoWatu wengi wanadhani kushinda nyumbani na Mke ndio kumpa muda Mkeo,
Wakati muda ni Ile kampani, kupiga Stori, Umbeya, kucheza Games za kwenye Luninga, kucheki Filamu au ku-dance pamoja, Kupika wote n.k