Kwani wanawake mnataka nini?

Kwani wanawake mnataka nini?

From dear,darling,my love to Jitu,maana umeona kama jitu pia haitoshi ukaongezea na lijitu,kaazi kwelikweli....
Mkuu huyu kiumbe namjua mimi mbaka nimefikia hii stage nishaelewesha haelew nishavumlia now nimechoka
 
Na anaweza kuwa anampa muda wake lakini hampi attention, yaani wapo wote lakini anafanya mambo mengine
Kuna mahusiano mengine unakuta upweke had unajiuliza am I really dating someone?
Nina mahusiano au nko single?
Katika kipengele cha mda kinahitaji somo.
Mda unasaidia sana kutengeza bond kati ya wapenzi.sio wapenzi tu hata familia na watoto.
Mtu upo nae lakini bize na simu sijui computer mnashinda ndani hivo kweli?
 
Sawa mkuu muda nitakupa lakini sio wote kumbuka nina pambana kutafuta hela na wewe unahtaji huduma alafu unataka muda wangu wote ningumu siwezi kwakweli akatafute tu atakae weza kumfanyia hivyo
 
Aiseeeeee pole sana mkuu
Vumilia tuu maana hatueleweki ila me naeleweka kidogo[emoji38]
Kweli kabisa mamaa inabidi tuongee nahsi you are so differ
 
Sawa mkuu muda nitakupa lakini sio wote kumbuka nina pambana kutafuta hela na wewe unahtaji huduma alafu unataka muda wangu wote ningumu siwezi kwakweli akatafute tu atakae weza kumfanyia hivyo
Oh kwahiyo anataka muda wotee?
Yani asubuhi mpaka usiku,jmosi had jmosi
Si ndio? Hata ile wa weekend haumtoshi anaona?
 
Kuna mahusiano mengine unakuta upweke had unajiuliza am I really dating someone?
Nina mahusiano au nko single?
Katika kipengele cha mda kinahitaji somo.
Mda unasaidia sana kutengeza bond kati ya wapenzi.sio wapenzi tu hata familia na watoto.
Mtu upo nae lakini bize na simu sijui computer mnashinda ndani hivo kweli?

Watu wengi wanadhani kushinda nyumbani na Mke ndio kumpa muda Mkeo,
Wakati muda ni Ile kampani, kupiga Stori, Umbeya, kucheza Games za kwenye Luninga, kucheki Filamu au ku-dance pamoja, Kupika wote n.k
 
Daah attention [emoji848][emoji848]

Wanawake hasa Mke wako anahitaji attention kuliko pesa yako. Ni Kama watoto wadogo.

Ukitoka Kazini, kaa naye, cheza naye, piga naye Stori, Kama unamuda pikeni pamoja au kama mvivu Kama Mimi basi kaa karibu wakati anapika wewe mpigishe Stori.

Ukiona unahitaji kuangalia Mpira au kwenda kijiweni Muage mwambie unaenda Kwa washikaji,

Penda kumsifia kila mara,
 
Hawa viumbe ni shida sana sema tu ndio wana utamu wao unao fanya watusumbue na kutuumiza vichwa.

Akikuvuruga hautamami hata utamu wake, anakukera kiasi kwamba hautamami chochote kutoka kwake.
 
Watu wengi wanadhani kushinda nyumbani na Mke ndio kumpa muda Mkeo,
Wakati muda ni Ile kampani, kupiga Stori, Umbeya, kucheza Games za kwenye Luninga, kucheki Filamu au ku-dance pamoja, Kupika wote n.k
Heheheheh hayaa mkuu mi ngoja ninyamaze kwa hii comment yako
 
Back
Top Bottom