Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama umechoka muache, hakuna solution ya tabia yakeMkuu anajua kilakitu sio mala ya kwanza hii ni mala kadha wa kadha huwa najaribu kumuweka chini na kumueleza anielew lakini baada ya siku kupita mambo yaleyale malawama nimechoka mkuu kichwa inamambo mengi nisije kufa kwa presha
Acha kulia lia na mapenzi Mkuu,,,,ni MARUFUKU mwanaume kulalamika,,,,Mwanaume unatakiwa uchukue hatua...Niko kwenye mahusiano na mwanamke mmoja lakini mbaka naandika huu uzi kashanchefua roho naa kwendree anako kwendraaa nishamvumilia Sana sasa nazani niwakati muafaka endee tu.
Sawa.basis kama nae chini umueleze Bali halisi..au kama haelewi utajua cha kufanya.Mkuu ivi unafahamau ni mangpa yanahtaji muda wangu okay. So ninge mpa huo muda quality na nisimpe hela nako ungesemaje maana huo muda wa kuitengeneza hiyo hela niwe Sina nmpe yeye sasa kama unavosema
Daah nashukuru mkuu umeelewa ninachpitia ndomana nimeamua kumuacha aende coz niupumbavu tu nishachoka mtu haeleweki anataka nini kiukweli siwezi kumpa mwanamke muda wangu wote mkuu niache kutafuta hela sifanyi huo upumbavu kuna watu wengi wananitegemea ukiacha yeye Nina wadogozangu wakike na somesha mavyuoni alafu jitu linakuja kunichanganya akili kiukweli hata kumuoa siwezi aende tuKwahiyo tunakubaliana mwanamke hawezi kuridhika sio ?! Kila siku mnabweka "tafuta hela" haya jamaa kamua na kaweza kutafuta hela, mmeamua kudai muda.
Hivi MNAAKILI KWELI ?! KWAHYO AACHE KUTAFUTA FEDHA AMPE MUDA ILI AFILISIKE AFU MWANAMKE AANZE TENA KULALAMIKA HAPEWI HELA ?! Hivi nyie mna akili kweli au mnatumia hayo makalio kuwaza badala ya kichwa.
Kweli mkuu sasa yeye sikaona muda ndo kitubola ngoja aende kwa atakae mpa muda misiwezi nishamwambia siwezi kuchanganya mapenz na kazi neverStupid takers. Wanawake wanawazaga kuchukua na kuchukua na kuchukua ukiampa hichi atataka kile akikipata atataka kile.
Huyu mwanamke kapewa kila kitu, sasa hataki tena pesa maana ipo sasa anataka "muda" na hataakipewa muda atataka "privency" nk nk mahitaji ya mwanamke ni endless.
Alafu anataka muda hiyo hela itapatikana vipi ?! Stupid proffesional complainers, takers.
Usinitukane kaka...Kwahiyo tunakubaliana mwanamke hawezi kuridhika sio ?! Kila siku mnabweka "tafuta hela" haya jamaa kamua na kaweza kutafuta hela, mmeamua kudai muda.
Hivi MNAAKILI KWELI ?! KWAHYO AACHE KUTAFUTA FEDHA AMPE MUDA ILI AFILISIKE AFU MWANAMKE AANZE TENA KULALAMIKA HAPEWI HELA ?! Hivi nyie mna akili kweli au mnatumia hayo makalio kuwaza badala ya kichwa.
Njoo kwangu sina shida na mda wakoDaah nashukuru mkuu umeelewa ninachpitia ndomana nimeamua kumuacha aende coz niupumbavu tu nishachoka mtu haeleweki anataka nini kiukweli siwezi kumpa mwanamke muda wangu wote mkuu niache kutafuta hela sifanyi huo upumbavu kuna watu wengi wananitegemea ukiacha yeye Nina wadogozangu wakike na somesha mavyuoni alafu jitu linakuja kunichanganya akili kiukweli hata kumuoa siwezi aende tu
Mkuu in short mwanamke haridhikiUsinitukane kaka...
Sawa basis nenda katafute hela jtatu- jpili
SAA 11 asubuhi mpk SAA 5 usiku
Halafu mkeo ashinde na houseboy
Ama akitoka kazini akirudi jioni ashinde nae mpaka usiku.
We kazana na kazi yako,usimpe hata siku ya weekend moja
Sawa?
Ila mda wako kupiga kimasihara huko unao?noma sana ukipata mwanamke wa hivyo utajui hujuii... me alipiga simu kila siku analalamika why simpi muda wangu anataka kilaa muda nimpigiee siku hiyo alipiga aakajiongelesha wee eti maraa ooho sipo romantic nkamwambia bhasi tafuta ambae yuko romantic... ikawa mwisho wa story na muhaya yuleee 😀 😀 😀 hela inisumbue akili na mwanamke pia??? huo ujinga sifanyi
😀 😀 😀mambo yasiwe magumu... muda wa kuzagamuana upo sio kubebishana kutumiana ma msg ya umekula beib...sijui karibu tulalee nishavukaa hizo stageIla mda wako kupiga kimasihara huko unao?
[emoji1]
Oseee wanawake hawajawahi kueleweka wanatakaga kitu gani, unaweza jitahidi kwa kila kitu lakini wapiii, pole sana mkuu
Usidate watoto was chuo hutokutana na hayo mambo..mtu hana kazi anashinda saluni ama anazurura tu..kwanini asiwe na akili za hivo.?😀 😀 😀mambo yasiwe magumu... muda wa kuzagamuana upo sio kubebishana kutumiana ma msg ya umekula beib...sijui karibu tulalee nishavukaa hizo stage
Mpenzi wako anahitaji quality time nawe. Inaonesha unamridhisha kwa vingine vyote lakini sio mda wako.
[emoji23][emoji23][emoji23] ulitisha mkuu hukutaka kusjmbuliwa kabsanoma sana ukipata mwanamke wa hivyo utajui hujuii... me alipiga simu kila siku analalamika why simpi muda wangu anataka kilaa muda nimpigiee siku hiyo alipiga aakajiongelesha wee eti maraa ooho sipo romantic nkamwambia bhasi tafuta ambae yuko romantic... ikawa mwisho wa story na muhaya yuleee 😀 😀 😀 hela inisumbue akili na mwanamke pia??? huo ujinga sifanyi