Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nature zao tu hata upige vipi hiko ni kama kitabia hakimtoki.Mwanaume unapaswa kumwelew Ili ufanye mambo Yako sawa usipomwelewa utapata shida sana hata mwingine akija atakuwa zaidi ya huyo .
Huyu kinamsumbua ni wivu tu hamna jingine anafikiria huduma unazotoa aweza kukwapua mwingine au Kuna mtu anakuiba tayari .
Cha msingi unapokuwa naye piga baba mpaka ichemke mpaka ukiomba aseme ametosha
Lkn kama hatosheki ndo atakusumbua zaidi
Hakikisha unamwelewa Ili umtreat ki jemedari
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Mkuu umesema kweli kabsa hawa watu sio kabsa hata mimi siwezi malawama mkuu bola ulivyo biga chini tu kumbavuKati ya kitu sipendi ni hiyo milawama ya wanawake.
Kuna mmoja nimempiga chini juzikat kisa ni hiyo milawama isiyo na kichwa wala miguu.
Hawawazi kua unaweza kua umepata shida, sim haina charge, uko mbali na simu, una kikao, upo na wazazi.
Yeye akipiga usipopokea basi jiandae zigo la lawama na kukuhisi ulikua unachepuka, haya maakili sijui wanayatoaga wapi.
Mkuu sio kwa muda simpi mbona Suki moja moja nakuga nae weekend Nampa nafasi ya kuspend nae time lakini sasa yeye anataka 7days zote niwe nae ningumu siwezi labda niache mamboyangu yote coz hata huo muda ninaompa najitahdi kujibana sanaaa mkuHilo ndio kosa ambalo wanaume tunafanya tunafikiri kuwa,kumpa mwanamke hela na kila kitu ndio tumemaliza,hapana wanawake wanahitaji pia mapenzi Kwa maana uspend Time nae na mambo kama hayo,ndio maana kuna Uzi mmoja niliuandika ''Baada ya kumtimizia mwanamke hitajio la kifedha kinachofuatia ni hitajio la mapenzi'' nimezungumza hayo maswala.
Kwahiyo Mzee usipanic fanya ufanyavyo kama unampenda kweli jaribu kutafuta walau mda mara moja moja WA kuwa nae, ni ushaur wangu take it or leave it
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah nimejikuta nimecheka et ananyoa nyusi ana jichora tena na wanjaOgopa sana kiumbe anaenyoa nyusi zote halafu anachora mfano wa nyusi kwa wanja. Mwanamke hata yeye mwenyewe hajui anataka nini.
Utakufa na pressure shauri ya watoto wa watu, muache huyo mwanamkeSijakuelewa mkuu hapo
Kuna watu wanawatafuta ata wakuwapea buku tu,hawapatiKweli mkuu umenena
Ushauri mzuri, imeshafikia pabaya na imegeuka chuki sasa, hata akibadilika itakuwa ngumu kumwamini tenabinafsi naona umuache tu... maana ushaanza muita "jitu".. inaonyesha umemchoka na mapenzi yamekwisha.
Mkuu sio kwa muda simpi mbona Suki moja moja nakuga nae weekend Nampa nafasi ya kuspend nae time lakini sasa yeye anataka 7days zote niwe nae ningumu siwezi labda niache mamboyangu yote coz hata huo muda ninaompa najitahdi kujibana sanaaa mku
Kama ni hivyo basi yeye ni tatizo,sasa kabla ya kumuacha mwambie Tabia yake hiyo wewe ina kukera Sana,na mwambie ukiendelea hivyo utashindwa kuendelea na uhusiano WA namna hiyo,sasa kama anakuhitaji kweli atajirekebisha kama sio basi atakuwa ameamua hatima take mwenyeweMkuu sio kwa muda simpi mbona Suki moja moja nakuga nae weekend Nampa nafasi ya kuspend nae time lakini sasa yeye anataka 7days zote niwe nae ningumu siwezi labda niache mamboyangu yote coz hata huo muda ninaompa najitahdi kujibana sanaaa mku