Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikweli mkuu unachosema lakini huyu Wang is to much kiukweli mbaka ananikata hamu ya kuishi nae daahMuoe kabisa, awe anakuona usiku kucha atariudhika, n kweli wanawake wanataka mda n fedha pia
Unatakiwa upate mwanamke muelewa la sivyo lawama ztazdi n mtaishia pabaya
Muoe mkuu kero zinapunguaHabari wakuu
Natumai wote mko wazima.
Naandika huu uzi nikiwa nishachefuka nnachotaka nijue leo kunabaadhi ya wanawake huwa mtaka nini kwenye maisha
Mkuu acha kupiga kelele hapa hayo umemwambia ? Je unaweza kumwacha au ni povu tu juu ya glass wakati coca iko nusu glass?? Acha zako tulizo poyoyo hizo wanaume tunawafinya taratibu wanatulia .Habari wakuu
Natumai wote mko wazima.
Naandika huu uzi nikiwa nishachefuka nnachotaka nijue leo kunabaadhi ya wanawake huwa mtaka nini kwenye maisha
Mkuu kila kitu natimiza hata kitandani nambutua fresh piga Sana show ila anacho lalamika yeye ni kuwa niko busy sana sina muda na yeye sasa mambo nimengi mkuu huyohuyo namtafutia mahtaji wanataka hela hawa mkuu sjui umenielewa lakiniInaonekana mke wako anakaa ndani anakula anashiba anaoga akisubiria apigwe show ya ukweli ila wewe uko busy kutafuta mali na ukifika unakuwa umechoka. Pia kwa mazingira ya kuchoka yawezekana unapiga show faster kama kuku. Kama hivi ndivyo basi wanawake wote watakukimbia. Nasikia malalamiko kama haya kwa vijana hasa kutoka kaskazini.
Nimemfungulia biashara yake lakini wapi mkuu sasa mimi nishachoka atajua mwenyew yaan now ndo sitomjali kweli kweli kama anavosemaAna kazi au hana kazi? tuanzie hapo maana wengine wakiwaga hawana cha kuwaweka busy wanatakaga hata wenza muwe mnashinda tu wote, mnachati tuu na kuongea ukiwa busy visirani vinazidi anaona humjali kumbe anakukera hajui.
Mkuu kwan kuachana shingapi?Mkuu acha kupiga kelele hapa hayo umemwambia ? Je unaweza kumwacha au ni povu tu juu ya glass wakati coca iko nusu glass?? Acha zako tulizo poyoyo hizo wanaume tunawafinya taratibu wanatulia .
Daah sawa mkuu lakini kasha nichefua kikukweli acha tu ajui mwanamke gani sio muelewaMwanaume unapaswa kumwelew Ili ufanye mambo Yako sawa usipomwelewa utapata shida sana hata mwingine akija atakuwa zaidi ya huyo .
Huyu kinamsumbua ni wivu tu hamna jingine anafikiria huduma unazotoa aweza kukwapua mwingine au Kuna mtu anakuiba tayari .
Cha msingi unapokuwa naye piga baba mpaka ichemke mpaka ukiomba aseme ametosha
Lkn kama hatosheki ndo atakusumbua zaidi
Hakikisha unamwelewa Ili umtreat ki jemedari
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app