Kwani wanawake mnataka nini?

Kwani wanawake mnataka nini?

Muoe kabisa, awe anakuona usiku kucha atariudhika, n kweli wanawake wanataka mda n fedha pia
Unatakiwa upate mwanamke muelewa la sivyo lawama ztazdi n mtaishia pabaya
 
Muoe kabisa, awe anakuona usiku kucha atariudhika, n kweli wanawake wanataka mda n fedha pia
Unatakiwa upate mwanamke muelewa la sivyo lawama ztazdi n mtaishia pabaya
Nikweli mkuu unachosema lakini huyu Wang is to much kiukweli mbaka ananikata hamu ya kuishi nae daah
 
Inaonekana mke wako anakaa ndani anakula anashiba anaoga akisubiria apigwe show ya ukweli ila wewe uko busy kutafuta mali na ukifika unakuwa umechoka. Pia kwa mazingira ya kuchoka yawezekana unapiga show faster kama kuku. Kama hivi ndivyo basi wanawake wote watakukimbia. Nasikia malalamiko kama haya kwa vijana hasa kutoka kaskazini.
 
Habari wakuu
Natumai wote mko wazima.

Naandika huu uzi nikiwa nishachefuka nnachotaka nijue leo kunabaadhi ya wanawake huwa mtaka nini kwenye maisha
Mkuu acha kupiga kelele hapa hayo umemwambia ? Je unaweza kumwacha au ni povu tu juu ya glass wakati coca iko nusu glass?? Acha zako tulizo poyoyo hizo wanaume tunawafinya taratibu wanatulia .
 
Inaonekana mke wako anakaa ndani anakula anashiba anaoga akisubiria apigwe show ya ukweli ila wewe uko busy kutafuta mali na ukifika unakuwa umechoka. Pia kwa mazingira ya kuchoka yawezekana unapiga show faster kama kuku. Kama hivi ndivyo basi wanawake wote watakukimbia. Nasikia malalamiko kama haya kwa vijana hasa kutoka kaskazini.
Mkuu kila kitu natimiza hata kitandani nambutua fresh piga Sana show ila anacho lalamika yeye ni kuwa niko busy sana sina muda na yeye sasa mambo nimengi mkuu huyohuyo namtafutia mahtaji wanataka hela hawa mkuu sjui umenielewa lakini
 
Ana kazi au hana kazi? tuanzie hapo maana wengine wakiwaga hawana cha kuwaweka busy wanatakaga hata wenza muwe mnashinda tu wote, mnachati tuu na kuongea ukiwa busy visirani vinazidi anaona humjali kumbe anakukera hajui.
Nimemfungulia biashara yake lakini wapi mkuu sasa mimi nishachoka atajua mwenyew yaan now ndo sitomjali kweli kweli kama anavosema
 
Mwanaume unapaswa kumwelew Ili ufanye mambo Yako sawa usipomwelewa utapata shida sana hata mwingine akija atakuwa zaidi ya huyo.

Huyu kinamsumbua ni wivu tu hamna jingine anafikiria huduma unazotoa aweza kukwapua mwingine au Kuna mtu anakuiba tayari.

Cha msingi unapokuwa naye piga baba mpaka ichemke mpaka ukiomba aseme ametosha

Lakini kama hatosheki ndo atakusumbua zaidi

Hakikisha unamwelewa Ili umtreat ki jemedari
 
Mkuu acha kupiga kelele hapa hayo umemwambia ? Je unaweza kumwacha au ni povu tu juu ya glass wakati coca iko nusu glass?? Acha zako tulizo poyoyo hizo wanaume tunawafinya taratibu wanatulia .
Mkuu kwan kuachana shingapi?
Kwani yeye ni nani nisiachane nae?
Kwani mwanamke yupo pekeake?
Kwani yeye ndo wakwanza kuwa nae?
 
Mwanaume unapaswa kumwelew Ili ufanye mambo Yako sawa usipomwelewa utapata shida sana hata mwingine akija atakuwa zaidi ya huyo .

Huyu kinamsumbua ni wivu tu hamna jingine anafikiria huduma unazotoa aweza kukwapua mwingine au Kuna mtu anakuiba tayari .

Cha msingi unapokuwa naye piga baba mpaka ichemke mpaka ukiomba aseme ametosha

Lkn kama hatosheki ndo atakusumbua zaidi

Hakikisha unamwelewa Ili umtreat ki jemedari

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Daah sawa mkuu lakini kasha nichefua kikukweli acha tu ajui mwanamke gani sio muelewa
 
Kati ya kitu sipendi ni hiyo milawama ya wanawake. Kuna mmoja nimempiga chini juzikat kisa ni hiyo milawama isiyo na kichwa wala miguu.

Hawawazi kua unaweza kua umepata shida, sim haina charge, uko mbali na simu, una kikao, upo na wazazi.
Yeye akipiga usipopokea basi jiandae zigo la lawama na kukuhisi ulikua unachepuka, haya maakili sijui wanayatoaga wapi.
 
Back
Top Bottom