Inabidi uwaelewe tuu, niliwahi kuwa naye mmoja alikuwa akitumia sex kupata anachotaka, alikuwa anaweza kunibania hata zaidi ya mwezi kwa sababu tuu kakasirika au kunikomoa tuu for some reasons, relationship was hell lakini mapenzi nilikuwa nayataka, akili iliporudi nilimchezea game yake mwenyewe nikaanza kukataa kufanya naye mapenzi na chochote anachotaka hapati (ilikuwa mwaga ugali namwaga mboga) na nilikuwa tayari tumalizane, aliomba poo mwenyewe akarudi mstarini lakini hatukudumu maana damage ya kisaikolojia ilikuwa kubwa sana