Kwani wanawake mnataka nini?

Oh kwahiyo anataka muda wotee?
Yani asubuhi mpaka usiku,jmosi had jmosi
Si ndio? Hata ile wa weekend haumtoshi anaona?
Yeah exactly sio kwamba simpi muda Nampa mbona hadi weekend zangu nakuwa nae lakini akaona hazimtosh
 
Sawa mkuu nimekuelewa ngoja nione kwa Darlin labda pako powa
 
Mti unampigilia vizuri au unakuja kutulalamikia huku. alaf tafta pesa zikufaanyie kazi upate muda wa kukaa na mkeo
 
mti unampigilia vizur au unakuja kutulalamikia huku. alaf tafta pesa zikufaanyie kazi upate muda wa kukaa na mkeo
Mkuu pesa nashukuru mungu kanijalia lakini mambo ya muda Wang wito nikupe siwez
 
From dear,darling,my love to Jitu,maana umeona kama jitu pia haitoshi ukaongezea na lijitu,kaazi kwelikweli....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Brainless creatures (japo sio wote) wanawake hamana akili mkuu kuna uzi nitauleta hapa usipoteze muda na hawa viumbe
Bahati mbaya sijui ndo kuongozwa na hisia na sio akili, hicho hicho kitu kimoja kinaweza muachisha kwa wanaume zaidi ya wa3 na hata asishtuke kuai tatizo ni yeye ila atasema wanaume wote ni mbwa.
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Mnawapataga wapi hao wanawake? Yawezekana yeye hana kazi yeyote zaidi yakukusubilia wewe, lakini kwa Mama yake haoshi hata vyombo ili angalau mkutane jion?i [emoji3]
 
Yaani acha tu mkuu ni pasua kichwa hawa sipata kuona
Itakuwa ni huyo tu wakwako mbona wengine niwaelewa, mpaka huwa wanawasaidia wapenzi wao kazi zile ambazo zipo ndani ya uwezo wao? Ni wako tu akili yake ipo hivyo
 
Hilo nikweli, mtu anarudi nyumbani akifika tu akipata chakula tu laptop iko wapi mpaka anajiuliza huyu vipi mpaka muda wakulala yupo hoi j3-ijumaa, weekend napo swaga hizo hizo usiku tayari, j2 kwa wale wa ibada mara jioni hiyo basi tena, wakati mwingine wanaume hushindwa kupanga muda, upi ni wakazi upi natakiwa kuwa na familia!
 
Sawa mkuu muda nitakupa lakini sio wote kumbuka nina pambana kutafuta hela na wewe unahtaji huduma alafu unataka muda wangu wote ningumu siwezi kwakweli akatafute tu atakae weza kumfanyia hivyo
Atakuwa ni mswahili mswahili huyo basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…