Ndiyo hicho kisicho eleweka, sasa mtu yupo nyumbani muda wote ni laptop, TV muda wa kuongea na mwenza hakuna wanakutana kitandani saa 5, na ukute shughuli yenyewe mbofu mbofu, malalamiko lazima yawepo, mwingine akifika kitandani dakika 2 nyingi anakoroma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wengi wanadhani kushinda nyumbani na Mke ndio kumpa muda Mkeo,
Wakati muda ni Ile kampani, kupiga Stori, Umbeya, kucheza Games za kwenye Luninga, kucheki Filamu au ku-dance pamoja, Kupika wote n.k
Wanakijua wewe![emoji848]mwanake anaweza kukuacha ukiwa huna kaz! pia mwanamke uyouyo anaweza kukuacha ukiwa bize nakaz! Ko nikuishinaotu kwa akili maana awajui wanachotak
Unakuta baba hata mda wa kupiga story na mwanae hana..mke hana!Hilo nikweli, mtu anarudi nyumbani akifika tu akipata chakula tu laptop iko wapi mpaka anajiuliza huyu vipi mpaka muda wakulala yupo hoi j3-ijumaa, weekend napo swaga hizo hizo usiku tayari, j2 kwa wale wa ibada mara jioni hiyo basi tena, wakati mwingine wanaume hushindwa kupanga muda, upi ni wakazi upi natakiwa kuwa na familia!
😆😆😆😆NimechekaJipalilie mama, kwenye kadi ya harusi usinisahau.
Sio wote mkuu ni baadhiHilo nikweli, mtu anarudi nyumbani akifika tu akipata chakula tu laptop iko wapi mpaka anajiuliza huyu vipi mpaka muda wakulala yupo hoi j3-ijumaa, weekend napo swaga hizo hizo usiku tayari, j2 kwa wale wa ibada mara jioni hiyo basi tena, wakati mwingine wanaume hushindwa kupanga muda, upi ni wakazi upi natakiwa kuwa na familia!