Kwani wanawake mnataka nini?

Kwani wanawake mnataka nini?

Watu wengi wanadhani kushinda nyumbani na Mke ndio kumpa muda Mkeo,
Wakati muda ni Ile kampani, kupiga Stori, Umbeya, kucheza Games za kwenye Luninga, kucheki Filamu au ku-dance pamoja, Kupika wote n.k
Ndiyo hicho kisicho eleweka, sasa mtu yupo nyumbani muda wote ni laptop, TV muda wa kuongea na mwenza hakuna wanakutana kitandani saa 5, na ukute shughuli yenyewe mbofu mbofu, malalamiko lazima yawepo, mwingine akifika kitandani dakika 2 nyingi anakoroma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hilo nikweli, mtu anarudi nyumbani akifika tu akipata chakula tu laptop iko wapi mpaka anajiuliza huyu vipi mpaka muda wakulala yupo hoi j3-ijumaa, weekend napo swaga hizo hizo usiku tayari, j2 kwa wale wa ibada mara jioni hiyo basi tena, wakati mwingine wanaume hushindwa kupanga muda, upi ni wakazi upi natakiwa kuwa na familia!
Unakuta baba hata mda wa kupiga story na mwanae hana..mke hana!
Tenga basi hata siku mbili off ipe familia hizo siku, soma kitabu na mwanao,ongea mipango yenu na mkeo.
Mtu dizaini ya mtoa mada ndio hao
 
Hawataki kitu mkuu we ndo unataka kwao na hilo ndo tatizo lako achana nao..
 
[emoji848]mwanake anaweza kukuacha ukiwa huna kaz! pia mwanamke uyouyo anaweza kukuacha ukiwa bize nakaz! Ko nikuishinaotu kwa akili maana awajui wanachotak
Kweli mkuu unachosema nimekueleewa
 
Bahati mbaya sijui ndo kuongozwa na hisia na sio akili, hicho hicho kitu kimoja kinaweza muachisha kwa wanaume zaidi ya wa3 na hata asishtuke kuai tatizo ni yeye ila atasema wanaume wote ni mbwa.
Kabisa mkuu unachosema
 
Mnawapataga wapi hao wanawake? Yawezekana yeye hana kazi yeyote zaidi yakukusubilia wewe, lakini kwa Mama yake haoshi hata vyombo ili angalau mkutane jion?i [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23] hata mimwenyew sielew mkuu
 
Itakuwa ni huyo tu wakwako mbona wengine niwaelewa, mpaka huwa wanawasaidia wapenzi wao kazi zile ambazo zipo ndani ya uwezo wao? Ni wako tu akili yake ipo hivyo
Nikweli mkuu baadhi ni pasua kichwa sana kama huyu wangu
 
Hilo nikweli, mtu anarudi nyumbani akifika tu akipata chakula tu laptop iko wapi mpaka anajiuliza huyu vipi mpaka muda wakulala yupo hoi j3-ijumaa, weekend napo swaga hizo hizo usiku tayari, j2 kwa wale wa ibada mara jioni hiyo basi tena, wakati mwingine wanaume hushindwa kupanga muda, upi ni wakazi upi natakiwa kuwa na familia!
Sio wote mkuu ni baadhi
 
Daaaahhh, mkuu umeandika kwa hisia sana ila inachekesha pia.

Kila la kheri kwenye maamuzi hayo mkuu
Kuna vitu vina kera na kuumiza mkuu acha tu ndoivo sinajinsi
 
Back
Top Bottom