Kwani wengine mnawezaje kulewa bila kupigana?

Hakua na kampani ya wrnzake... umoja ni nguvu.
 
Na ndivyo hupaswa kuishi hivyo maana kwa mafunzo yao kupigana na raia asie na mafunzo n uonevu japo kuna raia wanawamudu.
 
Hakua na kampani ya wrnzake... umoja ni nguvu.
Alikua man alone siku zote mpaka anaondoka ila jamaa alikua na coin za kutosha yaan ni mwendo wa gambe wiki nzima non stop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…