Kwani wengine mnawezaje kulewa bila kupigana?

Kwani wengine mnawezaje kulewa bila kupigana?

Cha kwanza mimi na jamaa zangu tukiwa tunalewa kama unapenda ugomvi kaa tu kwa kutulia maana sisi wenyewe tunapenda ugomvi huwa tupo tunangoja tu sababu ipatikane.
Nyinyi mnapiga kolabo sasa hamjakutana na wazee wenzenu wanaopiga kolabo yaan zitapigwa mchakae maana ugomvi wa bar Mimi naujua ulivyo tena ukiwa ni wa makundi mabaunsa lazima waingilie kati maana hapo ukikaa vibaya umelampwa chupa ya kichwa hujakaa sawa umeshushiwa meza watu wanausaka ubingwa kwa mbinu yoyote hapo bia zishakolea humwambii kitu tena usiombee siku hio mvua iwe imenyesha utafurahi na roho yako
 
Ajichanganye ajute
Wanajeshi smart wanakula tungi na hawaonyeshi ubabe uraiani kuna mjeshi mmoja alikua ametoka zake huko kambi fulani Morogoro akaingia location fulani pale alikaa almost wiki 1 ni tungi na yeye yeye na tungi jioni anaenda kubambia warembo ila uzuri jamaa akishatakata huyooo anarudi alipochukua room anapoa zake kibaya zaidi sikuwahi kumuona amevusha, kesho tena yaan jamaa alikua na nidhamu na pombe sio kawaida anakunywa analewa akilewa anawapa wengine anaenda zake kulala bad enough kitu cha bob alikua anakishtua alichokozwa ila akawa mpole sana akakubari yeye aonekane mjinga yaishe wala akuvimba mimi ni soja nyenyenye baadae waliomzingua wakaambiwa oyaa yule bakabaka jamaa wakaenda kuweka mambo sawa yakaisha ikawa peace piga tungi zake siku ya siku kabeba begi lake kadandia treni akatembea ni masoja wachache sana wenye nidhamu ya namna hio uraiani
 
Kama ambavyo wanasheria wanabishana mahakamani Bila kutukanana
 
Kama ambavyo wanasheria wanabishana mahakamani Bila kutukanana
 
Back
Top Bottom