Kwani wengine mnawezaje kulewa bila kupigana?

Kwani wengine mnawezaje kulewa bila kupigana?

Naomba kuuliza hivi nyie wengine mnawezaje kunywa kulewa halafu hampigani ngumi? Mbona mimi siwezi!!
Tangu nigunduwe kuwa watu wanatembea na visu na beto siwezi pigana hata kwa dawa.Pesa yangu halafu initese tena huo ujinga sifanyi.
 
Back
Top Bottom