Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Ni suala la muda tu.Unajua chuki ni kama ugonjwa kuna siku utakuumbua tu.
Serikali isipokuwa makini na kuwakaripia Wazanzibari tutajikuta kwenye vita kubwa kati ya Tanganyika Vs Zanzibar na Wakristo Vs Wasalimu.
Waondoke warudi kwao hatutaki ubaguzi.hili jambo lazima tuone linafanyiwa kazi waliofanya ichi kitendo wakamatwe watiwe adabu.na serikali itoe tamko otherwise sisi wabara tunaonekana mapoyoyoHawa wazanzibar wanatukanyaga kichwani ,hili clip inatakiwa tuwarudishie majibu ! Kama wameuchoka muungano nao waondoke kwetu ! Hii clip ingekuwa huyo anaepigwa ni mzanzibar mambo yangekuwa si mambo lazima wangelipiza kwa kuwapiga watu wetu huko
Video hizi hapaHiyo clip iko wapi mkuu... π€π€,,, Au tuamini ulichoandika??
Kwa hiyo alitandikwa kizamani hakuumia wala kudhalilishwa na kubaguliwa?Hii video ya Zamani sana
Hata kuwa na utu kunahitaji kuzurula nchi nyingine?Wamejawa uhayawani tu.Nazani hao jamaa hawajawi kutoka nje ya zanzibari hawana exposure yoyote
mie nadhani ikiwa ni ndugu, muislamu mwenzao ambae hana sababu ya msingi ya kutokufunga, wako sahihi katika kurekebisha na kumsahihisha licha ya kua uamuzi wa kufunga au kutoka kufunga ni wake binafsi πVideo hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.
Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu ya chuki ambayo ni hatari kwa Taifa.
Kwani mtu ukifunga, ukaendelea na mfungo wako inakuathiri nini kwa asiyefunga kula?
Siyo sawa Kitendo cha kuwachapa au kuwafanyiwa vitendo mbalimbali vibaya watu wasiofunga mwezi wa Ramadhani.
View attachment 2947747
Soma pia:
1) Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya wahanga na kuzaa Gharika
2) Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!
3) PEMBA: Achapwa Mikwaju Kula Mchana Mwezi mtukufu wa Ramadhan
Wengi hapo ni rangi nyeupe, anayechapwa ni kama katokea Kigoma, halafu kuna wengine wanafanana na wakwere, wameungana na weupe kumsulubu mweusi mwenzaoVideo hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.
Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu ya chuki ambayo ni hatari kwa Taifa.
Kwani mtu ukifunga, ukaendelea na mfungo wako inakuathiri nini kwa asiyefunga kula?
Siyo sawa Kitendo cha kuwachapa au kuwafanyiwa vitendo mbalimbali vibaya watu wasiofunga mwezi wa Ramadhani.
View attachment 2947747
Soma pia:
1) Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya wahanga na kuzaa Gharika
2) Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!
3) PEMBA: Achapwa Mikwaju Kula Mchana Mwezi mtukufu wa Ramadhan
Ni kweli si vizuri kujichukulia hukumu mikononi mwetu, kwani tuna sheria ambazo zinazotuongoza. Lakini tujaribu kuishi kwa kuzingatia khulka, silika na tamaduni za sehemu tunazokuwepo. Hakuna kitu kizuri kama kuheshimiana, kustahamiliana na kupendana kwani kama watanzania tuna mengi ya kutufanya kuwa wamoja kuliko hizi tofauti zetu za kiimani au kichama.Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.
Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu ya chuki ambayo ni hatari kwa Taifa.
Kwani mtu ukifunga, ukaendelea na mfungo wako inakuathiri nini kwa asiyefunga kula?
Siyo sawa Kitendo cha kuwachapa au kuwafanyiwa vitendo mbalimbali vibaya watu wasiofunga mwezi wa Ramadhani.
View attachment 2947747
Soma pia:
1) Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya wahanga na kuzaa Gharika
2) Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!
3) PEMBA: Achapwa Mikwaju Kula Mchana Mwezi mtukufu wa Ramadhan
Kwa akili za wazanzibari watavunja mlango tu wakutoe mzimamzimahata hivyo,
kuzingatia table manners ni muhimu zaidi, sio tu katika mwezi huu wa mfungo bali nyakati zote za kula ...
hivi ukapika chakula chako kwako ukakaa ndani kwako mezani na familia yako mkafakamia msosi wenu taratibu bila kuwasumbua wengineo walioko njee , waliofunga nani atahangaika na wewe?π