Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

Mahali akitawala Muislam 100% basi huwa ni marufuku kutoa nafasi kwa imani nyingine kuishi maisha yao yaani wao wanajiona wapo sahihi zaidi hawataki kuskia imani nyingine, Angalia Saudi Arabia,Iran,Oman,Qatar na nchi nyingine za kiislam ambazo tayari zimeshawaambukiza hizo tabia hadi kwenye makoloni yao hapa Africa now wanajiona ni kama waarabu.

Muislam akienda nchi yenye wakristo wengi huwa anataka haki sawa na anapewa uhuru wa kujenga Misikiti na hawasumbuliwi, Angalia Ngome ya Ukristo Rome Italy ipo misikiti ya kumwaga tu yaani unaweza ukaingia Rome kipindi cha kwarezma ukakuta Muislam anakula ila hasumbuliwi ila ukikutwa Saudi unakula ramadhani na ww ni mkristo, wao kwao ni jela Direct ila nchi za wengine wanataka uhuru na wanapewa

Nchi kama China na India wana Dini zao ila wengi mnaenda China kufunga mizigo na kurudi huwezi ukaenda Guangzhou,Beijing ukakuta mchina anakwambia hapa hamna kula inshort wana imani zao na hawazitumii kunyanyasa wengine

Maswala kama haya na mambo mengine mengi kama kujitoa muhanga na kuuwa watu hovyo ndio yanayofanya nnchi nyingi zinawachukulia kama sio watu wastaharabu

Ndio maana naanza kuamini kuwa Harakati za India na China kupambana kuzuia uislam kuenea kwao huenda kuna kitu walishakipima na wanaanza kuchukua Tahadhari, Maana India au China sijawahi kuskia Wakristo wakipigwa vita ila Wanapiga sana vita uislam kuenea kwao na sijui mna shida gani
Kwani hicho kipindi cha kwaresma wakristo wenyewe huwa wanafunga? Lini wameanza kufunga?
 
Kwani hicho kipindi cha kwaresma wakristo wenyewe huwa wanafunga? Lini wameanza kufunga?
Mnaongea huu upuuzi kisa unajiona upo safe. Udini ukitamalaki Tanzania no one atakuwa safe. Awe Mkristo au Mwislamu. Same goes for Utanganyika na Uzanzibari.
 
Kule Zanzibar kuna ustaarabu wake mijitu mingi ya Tanganyika ikija kule inataka kufanya uchokozi kwa makusudi matokeo yake ndio hayo apo, mimi ushauri wangu kama huna kazi ya maana huna haja ya kwenda Zanzibar na ndo maana tunaomba duaa passport zirejeshwe kuingia Zanzibar ili kuondoa vitendo kama ivi
Mimi ni Muislam lakini hakuna mafundisho yoyote katika uislam yanayofundisha kuwashambulia ambao hawajafunga mchana wa Ramadhan na ndiyo maana uislam umemruhusu mtu mwenye maradhi ale mchana wa ramadhani, msafiri asifunge ale mchana wa ramadhani hivyo hivyo kwa wanawake zipo siku wameruhusiwa kula kilichokatazwa ni kula hadharani, lakini hata anaekula hadharani haijaruhusiwa kumpiga isipokua anaelekezwa.

Huu utaratibu wa kumpiga mtu ni utamaduni wa kizanzibar ulio nje ya uislam na siyo mbaya kuwa na utamaduni huo ila maneno ya kibaguzi kuwa hapa siyo bara hiyo haifai maana bara wapo wanzanzibar wanaishi bila kufanyiwa ubaya.
 
Nimeambiwa Zanzibar kuna wakristo pia, sasa kama kuna wakristo, kuweka taratibu za nchi zinazolinda dini moja sio jambo zuri. Unataka wakristo wazanzibar waende wapi kila inapofika wakati wa Ramadhani?
Wakristo waliopo zanzibar ni hawa watu wanaotoka bara huku
 
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.

Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu ya chuki ambayo ni hatari kwa Taifa.

Kwani mtu ukifunga, ukaendelea na mfungo wako inakuathiri nini kwa asiyefunga kula?

Siyo sawa Kitendo cha kuwachapa au kuwafanyiwa vitendo mbalimbali vibaya watu wasiofunga mwezi wa Ramadhani.

View attachment 2947747

Soma pia:

1) Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya wahanga na kuzaa Gharika

2) Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!

3) PEMBA: Achapwa Mikwaju Kula Mchana Mwezi mtukufu wa Ramadhan

Ni mpumbavu tu ataeenda nchi ya watu halafu aanze kuwapangia maisha.
 
Huo ni uvunjifu mkubwa wa amani na haki za raia katika hii Jamuhuri, hao wanaompiga huyo kijana ni watu mafedhuli sana wanaoonekana kuwa na akili finyu sana.

Hata kwa nduguyo baba mmoja mama mmoja huwezi kwenda ukampangia maisha nyumbani kwake.
 
Mkristo hampendi muislam na muislam hampendi mkristo huo ndo uhalisia.
Basi iwekwe wazi tuwe na Sheria zinazotambua hii chuki na kujua jinsi ya kuishi pamoja kama jamii ikiwemo sisi tusiokuwa na dini.
 
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.

Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu ya chuki ambayo ni hatari kwa Taifa.

Kwani mtu ukifunga, ukaendelea na mfungo wako inakuathiri nini kwa asiyefunga kula?

Siyo sawa Kitendo cha kuwachapa au kuwafanyiwa vitendo mbalimbali vibaya watu wasiofunga mwezi wa Ramadhani.

View attachment 2947747

Soma pia:

1) Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya wahanga na kuzaa Gharika

2) Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!

3) PEMBA: Achapwa Mikwaju Kula Mchana Mwezi mtukufu wa Ramadhan
Wazanziba dini imeshindwa kuwaondolea ubaguzi kwenye nafsi zao hata wao wana baguana muunguja anambagua mpemba hawafai kabisa
 
Back
Top Bottom