roadmaster
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 1,609
- 2,751
Dawa ya moto ni moto au dawa ya mtu mshenzi ninkuwa mshenzi mara mbili yake!! Dawa ni Moja " huku Bara na nyie kamata Moja piga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa ya moto ni moto au dawa ya mtu mshenzi ninkuwa mshenzi mara mbili yake!! Dawa ni Moja " huku Bara na nyie kamata Moja piga
Really 😂😂??kumbe ndiyo maana PAPA aliamua kuwapa Ruksa masalia ya watumwa au siyo teh tehZanzibar ni jamii ya mashoga na vichaa, masalia ya watumwa ni jamii za mashoga
Na kuna kesi moja maskini mama wa watu anapikia zake ndani anawapa bodaboda wanawapelekea wateja si wakamkamata. Huu kama si ukicha ni nini? Kwanza hajafanya hadharani lakini pengine mtu hana biashara nyingine tofauti na hiyo ya kumuingizia kipato na kuna wateja wasiofunga kwa sababu zao wanazozijua, ni vipi mtu kama huyu unaenda kumkamata?Kwa akili za wazanzibari watavunja mlango tu wakutoe mzimamzima
Ujinga wa mtu mweusi kupigania dini ya mwarabu.
Na ndio maana siku zote waarabu hutudharau na kutuchulia kama vijakazi/watumwa
Mkristo wa wapi ambaye happening muislam na muislam wa wapi asiyempenda Mkristo?Mkristo hampendi muislam na muislam hampendi mkristo huo ndo uhalisia.
Kwa Muktadha huo ni akina nani wanakuwa wanufaika wakuu na scenarios hizo ??!!Mkristo hampendi muislam na muislam hampendi mkristo huo ndo uhalisia.
Umeoa katika familia ambayo haina iman muislam kuondoka katika uislam na kwenda katika ukafiri ni kigezo tosha cha kuvunja undugu na ndugu zake.Mkristo wa wapi ambaye happening muislam na muislam wa wapi asiyempenda Mkristo?
Mi nimeona katika familia ya Kiislam na mke wangu anaitwa Aziza na sasa amebadikisha Jina anaitwa Eliza huku akiwa a.etoka familia ya kishehe.
Tumezaliwa na kukulia katika maisha ya Ukristo, Baba yangu akiwa mzee wa Kanisa la Lutheran ila Dada yangu kabisa ameolewa na muislam na amebadilisha Dino sasa ni muislam. Watoto wake ambao ni wajomba zangu ni Waislam. Watoto wangu ni Wakristo huku Wajomba, Mama zao wakubwa na wadogo, mababu na mabibi ni Waislam. Sasa hapo chuki ipo wapi? Tunapendana, tunaheshimiana na kuvumiliana huku tukichukuliana ila nyie vijana wa hovyo humu JF kwa kutumia fake ID ndio mnatoa comments za kuchukiana ila kiuhalisia humu mitaani tu Binadamu na tu watanzania.
Shut upHii video ya Zamani sana
Hakuna kitu kama hiko. Tunaoa popote tu, tungekuwa tunaruhusiwa kuoa wake wengi hata wewe ningekuoa tu😀😃😄😁😆😅🤣Umeoa katika familia ambayo haina iman muislam kuondoka katika uislam na kwenda katika ukafiri ni kigezo tosha cha kuvunja undugu na ndugu zake.
Mkuu siyo watatu wote wanneItoshe tu kusema"Katika kila waafrika wanne watatu wana changamoto ya afya ya akili"
Mkuu ni wewe kweli unayecomment?Wazanziba dini imeshindwa kuwaondolea ubaguzi kwenye nafsi zao hata wao wana baguana muunguja anambagua mpemba hawafai kabisa
Uongo.Mkristo hampendi muislam na muislam hampendi mkristo huo ndo uhalisia.
Kwahiyo kisa papa Francis karuhusu ndoa za kishoga unatamani kuoana na wanaume wenzako?Hakuna kitu kama hiko. Tunaoa popote tu, tungekuwa tunaruhusiwa kuoa wake wengi hata wewe ningekuoa tu😀😃😄😁😆😅🤣
Nakutania mkuu, ninachomaanisha panoja na yote hakuna chuki huku mitaani zaidi ya hizi comments zenu tu za kutumia fake ID.