kwa sababu walipokuwa makazini waliishi maisha ya furaha na heshima kubwa sana,wakiingia ikulu kama wewe unavoingia kwenye ubanda,wakiogopwa mitaani,wakichukua peace kali,wakila nyama pori,wakipata mishahara mikubwa sana na mikopo!!!! sasa wanapostaafu,,,,,kunakuja kuishi yale maisha ye2!!! hamna heshima,ikulu inakuwa kama mbingu,kitaa wanakuwa wanaona noma manake hawaogopwi tena,pisi kali zinawatenga manake hawajui kutongoza kwani walitegemea pesa na pesa hamna!!! sasa lile ombwe ndo linazalisha hilo balaa!!!!!,,,2jifunze kuishi simple kwani ukiwa simple unaelea kama boya kwenye hii bahari ya dhiki! lakini ukiishi kama m2 flani mzito utazama!!