Kwanini 90% ya Maafisa wa Vyeo vya Juu wa JWTZ Wakistaafu Ugonjwa wao mkubwa huwa ni 'Stroke: tu?

Katika Askari wote, trafik wanaongoza kwa madhambi, hawajui Kuna baadhi ya watu wanaowakomoa barabarani Ni wadigo.
Pale kimara kibo ukishuka ile down kama unaenda bucha,kuna trafiki pale kati,kuna trafiki mmoja yuko age ya kustaafu uwa anakua pamoja na hawa askari wapya 2 wanaovaa vest,yule mzee kazi yake kukusanya rushwa na wale madogo na vivest uwa wanakusanya rushwa,yule mzee anawafundisha ushenzi madogo ndio kwanza wanatoka depo!
 
Pembeni ya duka la marehemu mzee Nyengombili, karibu na kiwanja cha kina Zube ambacho walikuwa wanakigombania na watoto wa marehemu Mzee Hamisi mpaka marehemu mzee Ramoza akaingilia kati, mkabala na mgahawa wa marehemu shekhe Ngwasuma
Mental Case.
 
Pressure, unene wa ziada, na cholesterol ikizidi mwilini lazima mishipa ya damu iwe na clot na kuziba
Hapo Stroke ndio mahali pake
Sio wao tu ni watu wengi tu ambao hawafuatilii miili yao na kuifanyia vipimo mara kwa mara

Unakuta mtu kila wakati anapeleka gari lake Garage kulifanyia services lakini mwili wake anausahau kuwa unataka service pia isitoshe sio mwili mpya bali umekata mileage kibao na zingine wanarudisha nyuma
 
Huwa nikila nyama nyekundu nakuwa mzito sana kukimbia kimazoezi lakini nikibanana na samaki, dagaa au vyakula vya mbegu mbegu kama kunde, choroko, njegere, dengu, mbaazi, maharagwe na soya wala sina shida yoyote.

Nyama nyekundu husababisha cholesterol na hata mmeng'enyo wake mwilini ni balaa tupu.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Chunga afya yako mkuu
Mimi ni mzee lakini mara kwa mara naendesha baiskeli na nikitoka kwenye ajira huwa natembea saa moja lazima
Chakula sio mlaji hivyo na sina tatizo lolote Namshukuru Mungu
Pambana hivyo hivyo usije kuwa mzigo kwa watoto wako
 
kimsingi wastaafu wengi wana changamoto za afya hasa wale waliokuwa na vyeo hii inatokana na kwanza kutokubali kwamba wamestaafu, hii inatokana na kwamba walizoea umungu mtu, saluti kunyenyekewa sasa wakija uraiani wanaonyeshwa tu kidole cha kati na madogo wanywa eneji, pili wanakosa mazoezi, tatu hela wanazopata za mkupuo wanakua hawajajipanga kuwa watatumiaje ,zitazalishwaje ili zisiishie kwenye pombe na mamdogo chuchu mchongoma, kuna kitabu kinaitwa kujiandaa na maisha ya kustaafu, wengi wakisome kitawasaidia sana.
 
Nasikitika hujapewa Likes nyingi kwa hii Post yako wakati umeandika Madini na Ukweli mtupu ambaye nimeyapenda. Heko Mkuu.
 
kimsingi wastaafu wengi wana changamoto za afya hasa wale waliokuwa na vyeo hii inatokana na kwanza kutokubali kwamba wamestaafu, hii inatokana na kwamba walizoea umungu mtu, saluti kunyenyekewa sasa wakija uraiani wanaonyeshwa tu kidole cha kati na madogo wanywa eneji, pili wanakosa mazoezi, tatu hela wanazopata za mkupuo wanakua hawajajipanga kuwa watatumiaje ,zitazalishwaje ili zisiishie kwenye pombe na mamdogo chuchu mchongoma, kuna kitabu kinaitwa kujiandaa na maisha ya kustaafu, wengi wakisome kitawasaidia sana.
[emoji16]

Sent from my SM-G998B using JamiiForums mobile app
 
kwa sababu walipokuwa makazini waliishi maisha ya furaha na heshima kubwa sana,wakiingia ikulu kama wewe unavoingia kwenye ubanda,wakiogopwa mitaani,wakichukua peace kali,wakila nyama pori,wakipata mishahara mikubwa sana na mikopo!!!! sasa wanapostaafu,,,,,kunakuja kuishi yale maisha ye2!!! hamna heshima,ikulu inakuwa kama mbingu,kitaa wanakuwa wanaona noma manake hawaogopwi tena,pisi kali zinawatenga manake hawajui kutongoza kwani walitegemea pesa na pesa hamna!!! sasa lile ombwe ndo linazalisha hilo balaa!!!!!,,,2jifunze kuishi simple kwani ukiwa simple unaelea kama boya kwenye hii bahari ya dhiki! lakini ukiishi kama m2 flani mzito utazama!!
Tafadhali naomba huu Uzi uwe na Mjadala wenye Mantiki kwa Faida ya Wengi kwani kwa Utafiti wangu GENTAMYCINE nikienda Kuona Wagonjwa Lugalo Military General Hospital na hata Majumbani / Mitaani 90% ya Wagonjwa wa Kiharusi ( mliosoma mnauita Stroke ) huwa ni Wanajeshi Wastaafu ( tena waliokuwa na Vyeo Vikubwa ) kabisa.

Nini hasa hupelekea hali hii? Bujibuji Simba Nyamaume katika Mitaa yako ya Mbezi Beach ( hasa usawa wa Kona Baa ) nyuma ya Nyumba ya Marehemu Mzee Kitundu kuna. Wajeda Watatu ( Wastaafu wa Vyeo vya Juu. ) wote wana 'Stroke' na Nyumba zao ziko jirani jirani tafadhali kuanzia Saa 11 sema utakuwa wapi nikupitie ili tukawasalimu kwani Walifanya Kazi Kubwa sana katika Kumtia Adabu Nduli Idi Amini Dada.

Nichukue nafasi hii kuwapa Pole nyingi mno wale wana JamiiForums wote Wanaouguza Wazazi wenye hili tatizo la Kiharusi ( Stroke ) ambalo GENTAMYCINE naona ni kama vile limeachwa tu wakati naliona kwa sasa ndiyo limeshika Kasi na linatishia sana.

Mwenyezi Mungu awapiganie Wagonjwa wote wa Stroke ( Kiharusi ) na awatie Nguvu na awape Uvumilivu na Ujasiri wale Watu ( Wanafamilia ) wote Wanaowauguza M
 
kwa sababu walipokuwa makazini waliishi maisha ya furaha na heshima kubwa sana,wakiingia ikulu kama wewe unavoingia kwenye ubanda,wakiogopwa mitaani,wakichukua peace kali,wakila nyama pori,wakipata mishahara mikubwa sana na mikopo!!!! sasa wanapostaafu,,,,,kunakuja kuishi yale maisha ye2!!! hamna heshima,ikulu inakuwa kama mbingu,kitaa wanakuwa wanaona noma manake hawaogopwi tena,pisi kali zinawatenga manake hawajui kutongoza kwani walitegemea pesa na pesa hamna!!! sasa lile ombwe ndo linazalisha hilo balaa!!!!!,,,2jifunze kuishi simple kwani ukiwa simple unaelea kama boya kwenye hii bahari ya dhiki! lakini ukiishi kama m2 flani mzito utazama!!
Mkuu nimeipenda mno hii Post yako kwani ulichokiandika ni Ukweli mtupu na ndiyo Uhalisia wenyewe. Heko mno..
 
kwa sababu walipokuwa makazini waliishi maisha ya furaha na heshima kubwa sana,wakiingia ikulu kama wewe unavoingia kwenye ubanda,wakiogopwa mitaani,wakichukua peace kali,wakila nyama pori,wakipata mishahara mikubwa sana na mikopo!!!! sasa wanapostaafu,,,,,kunakuja kuishi yale maisha ye2!!! hamna heshima,ikulu inakuwa kama mbingu,kitaa wanakuwa wanaona noma manake hawaogopwi tena,pisi kali zinawatenga manake hawajui kutongoza kwani walitegemea pesa na pesa hamna!!! sasa lile ombwe ndo linazalisha hilo balaa!!!!!,,,2jifunze kuishi simple kwani ukiwa simple unaelea kama boya kwenye hii bahari ya dhiki! lakini ukiishi kama m2 flani mzito utazama!!
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom