Huwa najiuliza maswali mengi sana juu ya uhusika wa dini ya kislamu kwenye jambo zima la ugaidi.
1. Kwanini wanaotekeleza mashambulizi ya kigaidi hutumia maandiko ya kuruani?
2. Kwanini waislamu huwa hawawapingi wanaoshambulia kigaidi kwa kujihusisha na uislamu, bali wao hujikita kwenye kuwapinga wanaopingana na ugaidi unaohusisha uislamu?
3. Kwanini majina ya vikundi vya kigaidi vingi yanauhusiano na uislamu? Mfano ISIS, na wakati huo huo hatuoni muislamu analipinga hilo?
4. Nikiangalia matukio ya fujo za waislamu kwa wengine hapa Tanzania (mfano kuvunja mabucha ya nguruwe kariakoo, kuchoma makanisa etc) kwanini fujo hizo, wale wafanya fujo huwa wanahusisha fujo zao na imani za kiislamu? Na kwanini waislamu wengine wasipinge hilo?
5. Msikitini ni mahala pa kufanya swala (ibada), kwanini bunduki zifichwe huko? kwanini makareti yafundishwe huko? Na kwanini hili halipingwi na waislamu?
Shukran ndugu kwa maswali yako mazuri.
Kuna hoja mbili uziraise.
Moja juu ya ugaidi
Pili Fujo mfano mabucha ya nguruwe k.koo, manzsese.
jibu kwa hoja ya kwanza ni
Tz, afrika na duniani kwa ujumla tunaamini hakuna ugaidi wa waislam bali kuna FALSE FLAG TERROR
Ndio maana hao ISIS husikii wakienda kuwapiga wazayuni ambao wamejipambanua kwa uwazi kuwa ni maadui wa uoslam.
Kuhusu Fujo za mabucha ya nguruwe k.koo. .
kwa taarifa tu kkoo hakuna bucha za nguruwe na haijapata kutokea.
Vurugu za bucha zilikuwa kule manzese.
Sheria za serikali za mitaa kinatamka wazi kuwa bucha za nguruwe zitengwe.
Lkn la pili na naamini linahitaji mjadala wa kitaifa with YOU ALL BLACK MUZUNGU.
Kuwa tz si taifa la kisekyula. Halijawahi na haitokuwa. Kwa maana ile finyu inayotafsiri tz pekee. Kuwa tz ni taifa lisilo na dini.
Mimi na naaminu waislam wengi tunataka itikadi ya "taifa la dini zote" Na si taifa lisilo na dini.
Hii haina maana tuwe na serikali za kidini.
Laa. Bali ina maana tuwe na taifa linaloheshimu tamaduni na values za kila dini na kuzilinda.
dhana ya Usekyila kwa serikali za kijamaa ni kutaka jamii zote ziwe na utamaduni mmoja.
Utamaduni wa imani ya kipagani.
Hilo haliwezekani kwa nchi kama tz.
Bali we believe we Tanzania are a Cultural Diversity State. Tunaishi watu wenye values na tamaduni tofauti pamoja.
You black mzungu need to understand this kwamba jamii ya waislam haiamini kuwa tz ni Monoculture or multicultural society. Bali we are cultural divesity society.
Sisi waislam ni jamii yenye kukaribisha jamii nyingine zenye tofauti za Kitamaduni na sisi katika ardhi zetu (Mwambao).
Tunakaribisha na kukubali watu kutoka kwa mazingira yote ya kijamii, kisiasa, kidini, kikabila na kimaeneo. Watu wote wako huru kukiri dini yao na tamaduni zenu. Kama ambavyo sisi tunahitaji uhuru huo katika maeneo yenu huko tukuyu, serengeti, mufindi nk.
Hata hivyo katika kuishi huko tufate kanuni kuu ya kidemokrasia WENGI NDIO WATUNGA SHERIA KUANZIA NGAZI YA SERIKALI YA MTAA.
kwamba wachache wanapaswa kuvumilia tamaduni za walio wengi.
Na kwamba pindi tamaduni ya walio wachache inapingana na tamaduni ya walio wengi, wachache huvumilia tamaduni kuu ya wengi.
Kwani wengu wanahitaji huo utofauti wetu lakini pia wanahitaji nafasi zaidi.
Cultural Diversity ni dhana nzuri ya kuishi na kuifata kama taifa kwani hufungua upeo mpya kwa watu ambapo wanaweza kukutana na kuingiliana bila vizuizi.
tamaduni mbalimbali kuwepo bega kwa bega bila kukiuka haki za kidemokrasia. (prular ni washindi).
Kwa lugha nyepesi ni kuwa kuweka bucha ya nguruwe maeneo ya waislam wengi ni kosa ktk taifa la kidemokrasia lenye kufata itikadi hii ya Udaivasi au Diversity state.
Na hata ktk secular kwa maana halisi ya Secularism. Ni kuwa Usekyula unalinda watu wa dini walio na uwezo ya kushinda kura ya maoni na kushinda na hulinda tamaduni zao. Lkn kama taifa
tuna viongozi wasio na uwezo, wabaguzi, wenye Matumizi Mabaya ya Madaraka. Kwa kuwaruhusu wachache ktk jamii alindwe dhidi ya walio wengi.
Mabucha ya nguruwe manzese ni case study.
Wachache walio serikali waliamua kupindisha sheria za miji ili kuutukukuza utamaduni wao.
Kwa tz Usawa mbele ya Sheria ulishakufa muda mrefu. Ndio mtu kama wenye wa 2000 unataka sasa waislam wawaombe msahaba wakristo kwa kuvunjwa bucha za nguruwe zilizo maeneo ya waislam wengi. Ni kibri au kutojua sheria.
Kama taifa lingeheshimu shana ya Udaivasi. Diversity kusingetolewa leseni za mabucha ya nguruwe manzese. Mabucha yangeishi huko ukonga na kibamba tena baada ya baraza la madiwani kuamua kuwatengeza huko.
Turudi tena ktk swali la kwanza nenda google Uliza maana ya False Flag.
Halafu unataka waislam waache kujikita na watengeneza ugaidi wa kutengeneza na kuungana nanyi kupinga ugaidi wa waislam ambao kimsingi haupo.
Ndio maana tukaleta andiko hili tufanye utafiti. Na dodoso hizi za utafiti muzitoe ninyi wenyewe msije kusema tunategemea majibu.
Kama umenielewa nikita sasa kwenye dodoso