GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Je, Wakatoliki kupitia Kanisa lao Tukuka ( ambalo GENTAMYCINE ni Muumini Wao Mtiifu ) la Katoliki wana Mtambo Maalum wa Kuutajirisha Ubongo wa Mtu anayesoma Kwao kuwa na IQ Kubwa na Maarifa mengi kuliko wengine waliopita huko Kwingineko?
Nitakuwa ni Mchoyo wa Fadhila na hata Shukran tu nisiposema Asante kwa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro ( Peter ) Oysterbay kwa Elimu yao ya Kindagarten katika Shule yao na Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine ( SAUT ) Mkoani Mwanza kwa Elimu ya Juu waliypnipa.
Nitashangaa sana na mno pale nikiona Wazazi mnaacha kuwapeleka Watoto wetu katika Shule za Kikatoliki na hasa nyie Wazazi wenye Watoto wanaoelekea Vyuo Vikuu kama msipowapeleka SAUT Mwanza ( Genius Based University in Tanzania ) ili Wakaelimike na Wakataalumike vyema ili waje kuwa Msaada wa Kifikra na Kivitendo kwa Tanzania, Afrika na Dunia.
Asanteni sana Kanisa langu Katoliki.