Hapo ndo wanakwama.
Huwa mi nachukuaga route ndefu za mabasi eurolink.
Ni kwamba mle nasafiri napiga mzigo,safari masaa mawili toka Hamburg mpk Schiphol kwa ndege nakula bus masaa 24.
Kumbe mle nafungua ofisi,
WIFI ipo mwa mwa mwa ukichoka unalaza kiti tu.