Kwanini aende Makamba na si Jaffo?

Unajua hizi Familia za akina Mwinyi, Karume, Makamba, Membe, Msuya, na JK walisha tuona Watanzania ni Wajinga. Yaani ni pachika bandua. Akitoka huyu , ana kuja huyu. Ni muda tuwaoneshe dunia ni mduara.
Wewe utakuwa sukuma gang. Siyo bure
 
View attachment 2346895

Nauliza kwa nia njema kabisa, iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
Kule wanazungumzia maswala ya Carbon emissions. Mzaramo hajuwi kuhusu hilo, so Kipara anauzoefu na familia katika hayo.
 
Huyo unayemtaka bahati nzuri(kwa Makamba) lugha haipandi.
Siku hizi Kuna Teknolojia nzuri ya kutafsiri/kalimani lugha ya Kiingereza kwenda kiswahili. Hivyo, Hiki si kigezo. Kigezo JM ni mzoefu na masuala haya!
 
Narudia tena na hata Kama huridhiki ndio ukweli huo Rais humchagua yeyote kumuwakilisha kwenye masuala ya kimataifa na itifaki haimzuii kufanya kwa Sababu mgeni maalumu' envoy' anaweza kuwa yeyote yule na Kama ni hivyo kwa nini hatujajiuliza hajaenda Balozi Mulamula ambaye ndiye muwakilishi wa Rais masuala ya kimataifa?

Itikifaki ya kuangalia nafasi ya mtu inatumika kwenye nchi husika tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…