Wewe utakuwa sukuma gang. Siyo bureUnajua hizi Familia za akina Mwinyi, Karume, Makamba, Membe, Msuya, na JK walisha tuona Watanzania ni Wajinga. Yaani ni pachika bandua. Akitoka huyu , ana kuja huyu. Ni muda tuwaoneshe dunia ni mduara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe utakuwa sukuma gang. Siyo bureUnajua hizi Familia za akina Mwinyi, Karume, Makamba, Membe, Msuya, na JK walisha tuona Watanzania ni Wajinga. Yaani ni pachika bandua. Akitoka huyu , ana kuja huyu. Ni muda tuwaoneshe dunia ni mduara.
Usisahau Na Kiingereza ya shule za Kata......kuungaunga sentensiJaffo anakigugumizi labda ndio sababu
Siyo kweli.Hana uwezo wa hayo masuala na mijadala kama hiyo.
Miaka yote aliyokuwa anahudhuria makongamano huko nje ya nchi alikuwa akitumia Kizaramo?..Jafo hajui kuzungumza KIINGEREZA.
Msitake kuhalalisha ujinga!LUGHA NI TATIZO.
JAFO MZEE WA NYUNGU KIINGLISHI HAKIPANDI!
Tazama sura za hao aliokaa nao utapata majibuView attachment 2346895
Nauliza kwa nia njema kabisa, iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
Kule wanazungumzia maswala ya Carbon emissions. Mzaramo hajuwi kuhusu hilo, so Kipara anauzoefu na familia katika hayo.View attachment 2346895
Nauliza kwa nia njema kabisa, iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
Sasa ile Masters aliiandika Kizaramo?
😂 asinge faulu labda kuna aliye proof read au kuliandika.Andiko limejaa ze ze ze ze ze ze
Jibu: Ana uzoefu na masuala haya!View attachment 2346895
Nauliza kwa nia njema kabisa, iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
Siku hizi Kuna Teknolojia nzuri ya kutafsiri/kalimani lugha ya Kiingereza kwenda kiswahili. Hivyo, Hiki si kigezo. Kigezo JM ni mzoefu na masuala haya!Huyo unayemtaka bahati nzuri(kwa Makamba) lugha haipandi.
Nimesoma comments zote, swali na HOJA ya mwandishi haijajibiwa.View attachment 2346895
Nauliza kwa nia njema kabisa, iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
Narudia tena na hata Kama huridhiki ndio ukweli huo Rais humchagua yeyote kumuwakilisha kwenye masuala ya kimataifa na itifaki haimzuii kufanya kwa Sababu mgeni maalumu' envoy' anaweza kuwa yeyote yule na Kama ni hivyo kwa nini hatujajiuliza hajaenda Balozi Mulamula ambaye ndiye muwakilishi wa Rais masuala ya kimataifa?Hili jibu bado haliridhishi, narudia swali la mleta mada, kwanini isiwe waziri anayehusika na mazingira badala yake akapelekwa waziri anayehusika na gesi?
Habari ya kusema kwa hapa ndani, hapo sikuelewi zaidi, ina maana ndani Rais ndio anafuata taratibu, lakini nje anavuruga atakavyo?
Tusikwepe ukweli hapa, Rais hamuamini Jaffo, kama anamuamini angemtuma yeye, na hiki alichofanya amekosea, ndio anazidi kuwafanya hawa jamaa wengine wazidi kujiona wajuaji, anatengeneza makundi kwenye baraza lake la mawaziri bila kujua.
[emoji23][emoji23][emoji23]LUGHA NI TATIZO.
JAFO MZEE WA NYUNGU KIINGLISHI HAKIPANDI!
Daaah....!!!Tatizo lugha dada
ya kusomea na ya kwenye mijadala ni tofauti.Sasa ile Masters aliiandika Kizaramo?